Ole (@Mbobezi) header
Ole (@Mbobezi) profile picture

Siwajibiki na Vile Ulivyonielewa, Nawajibika na Nilivyoandika. #FikiriTofauti

Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2015
Photo by Ole (@Mbobezi)Photo by Ole (@Mbobezi)Photo by Ole (@Mbobezi)Photo by Ole (@Mbobezi)Photo by Ole (@Mbobezi)Photo by Ole (@Mbobezi)Photo by Ole (@Mbobezi)Photo by Ole (@Mbobezi)Photo by Ole (@Mbobezi)Photo by Ole (@Mbobezi)
Delap and Jackson Had Unfinished Business With Meresca 😂😂😂😂
1
160
Chelsea Leo Tumejipatia Sukari 😂😂
1
215
Exposure Ndilo Tatizo La Watu Wengi, Mzee Kula Maisha, Furahia, Maisha ni Haya Haya
Basi wazee Za Kariakoo ndo OG nimekoma mi mshamba Nimepigwa. EASY😂
154
Serikali Punguzeni Mageti ya Ushuru Barabarani, Yaani Tunapoteza Muda Mwingi Sana Kwa Ajili ya Kaguzi, Unakuta Kila Wilaya Wana Geti. Safari Iliyotakiwa Utumie Masaa 12 Unatumia Masaa 14. Unachelewa Soko Unauza Kiporo Unapata Hasara
1
172
Mikopo ya wafanyakazi ni Basi Tuu Lakini ni Umaskini Mwingine Unaoendelea. Unarudisha Mara Mbili ya Ulichokopo Kwa Miaka Yote Hiyo.
This post is from a suspended account. Learn more
116
Sasa Unafikiri Pale Alikuwa Asomi? Na Imekuwaje Akaletewa Masahihisho Tena Yaliyokosewa?
This quoted post is unavailable.
10
Lakini Unaona Ni Sawa Kabisa Kwa Kilichotokea? Yaani Waliondaa Speech Na Waliopitia Wote Huoni Ukajanja Wao? Kwenye Jambo Kama Hili Wamemuingiza Mama Chaka, Unafikiri Ni Mangapi Pia Wanamdanganya?
Chadema wanatype press release mida hii kisa mtu kachapia
27
Japhet Kirilo Mmeru Huyu Naye Alienda Kuomba Uhuru Wa Wameru
Kumbe kuna Mchaga alienda UN miaka ya zamani kuomba uhuru kwa ajili ya Wachaga wawe wanajitegemea, kufika kule akakutana na Nyerere akamwambia naomba Uhuru kwa ajili ya Watanganyika wote na sio wachaga peke ake. Ilibaki kidogo tu wachaga wawe na nchi yao 😃.
83
Naomba Anayefahamu Sehemu Wanafua au Kuosha Carpet za Ndani Kwa Machine na Kukausha Anitajie Tafadhali, Iwe Around Ubungo, Sinza au Mwenge .
56
Umaskini ni Mbaya Sana, Sasa Angalia Namna Ngozi Nyeupe Imewaibisha Watu Huko.
1
51
Simba Mwaka Huu Bahati Haipo Kwetu, Tujipange Kwa Ijayo
2
1
63
Tanzania moves to the Round of 16. Kenya remains behind the narrative.😂😂😂😂😂
Tanzania qualify from the group stages for the first time in their history! All without ever winning an AFCON match. Kenyans will be cursing them, remembering 2019 when three points wasn't enough 😂
1
69
Gamond Naona Kibarua Chake Kikipata FUNGUS Maana Aliyoyasema Hawatayapenda
31
Ujawahi Kuona Soko La Dunia Yameshuka Hapa Kwetu Bado Bei Ikawa Kama Ya Dunia Nyingine?
Mwezi January mafuta yatakuwa bei nafuu sana, inawezekana hata yakawa 2,000 ikiwa tutaamua🤝
104
As we celebrate Independence Day without tasting full freedom, Do not lose heart. A new Tanzania is on the horizon. I speak what the Spirit has revealed, We are a season of change, breakthrough, and awakening. Keep your faith alive. A NEW TANZANIA 🇹🇿 HAS COME!!!
1
295
In One Of the Dialogues Organized By Kavazi La Mwalimu Nyerere and University of Dar es Salaam, President Mkapa on The Issue Said He was Advised Wrongly But Again He Also Failed To Have the System To Follow Up The Privatization Process, That The Intended Plan Is Followed
A Tanzanian friend of mine once told me that former TZ President Benjamin Mkapa was once asked if he had any regrets regarding his leadership - and the answer was YES. He regretted selling state assets. The Government should NOT sell strategic state assets. The Kenya Pipeline is a STRATEGIC STATE Asset and so are many others! It amounts to giving a away something of the nation’s sovereignty!
1
303
Awamu Hii Kwenda Kaskazini Abiria Wameanza Mapema Sana
2
106
Nami Nimetoka Kuwaza Hili ?
Nanauka anajua kwanini kawa waziri wa vijana?
1
161
Pesa Chafu Everywhere
1
63