Laizer Mayon (@MayonLaizer) header
Laizer Mayon (@MayonLaizer) profile picture

“Tourism Expert | Human Rights & Environmental Activist ✊🌍 | Defender of Justice & Nature | Wonder’s Adventures | FC Barcelona ❤️ Arsenal 🔴⚪”

Miami, FL
Joined September 2021
Photo by Laizer Mayon (@MayonLaizer)Photo by Laizer Mayon (@MayonLaizer)Photo by Laizer Mayon (@MayonLaizer)Photo by Laizer Mayon (@MayonLaizer)Photo by Laizer Mayon (@MayonLaizer)Photo by Laizer Mayon (@MayonLaizer)Photo by Laizer Mayon (@MayonLaizer)Photo by Laizer Mayon (@MayonLaizer)Photo by Laizer Mayon (@MayonLaizer)Photo by Laizer Mayon (@MayonLaizer)
"Mimi ni kijana wa Kitanzania ninayejitambua, na sitakaa kimya mbele ya dhuluma. Niko tayari kuwa sehemu ya historia kudai haki ya Mhe. Tundu Lissu. Kufunga mdomo wa mpigania haki ni uoga wa watawala waovu. Hatukubali, hatushindwi! Tunadai aachiliwe huru bila masharti yoyote sasa! ✊🏾🇹🇿 #FreeTunduLissu #HakiKwaLissu #TanzaniaYetu #StandWithLissu #JusticeForLissu #Demokrasia"
16
175
2
648
15,150
Tundulisu, stay strong! ❤️ Never let life’s challenges break your spirit. No matter how difficult the journey becomes, keep pushing, keep believing, and never give up. Tough times don’t last forever, but strong people do. Your story isn’t over, and brighter days are ahead. Keep fighting! 💪🙏 #FreeTundulisu #StayStrongTundulisu #JusticeForTundulisu #FreedomForTundulisu #StayStrong #NeverGiveUp
13
215
“Sasa, Waheshimiwa Majaji, kuna maneno ambayo yamesemwa hapa na Wakili Mkuu wa Serikali, ambapo amejigeuza kuwa shahidi badala ya kubaki kuwa Wakili wa Serikali. Amesema kwamba matukio ya vurugu za Oktoba yalitokana na kauli zangu, kama nimemwelewa vizuri. Waheshimiwa Majaji, sina uhakika kama katika kesi hii mmeletewa ushahidi wa hotuba ya Jaji Mkuu, Othman Chande. Hotuba hiyo haipo katika ushahidi wa kesi hii. Jaji Mkuu Othman Chande hajaja hapa kutoa ushahidi kuthibitisha kwamba kauli hizo zilitolewa na wanasiasa gani. Mnaombwa kutoa adhabu kwa kosa, kama kweli lipo, ambalo inadaiwa lilitokea miezi sita baada ya mimi kuwa tayari nimewekwa mahabusu. Mkikubaliana na mwaliko huo, Waheshimiwa Majaji, itakuwa ni uthibitisho kwamba huu ni uamuzi wa maelekezo. Kesi nyingi kuhusu matukio mbalimbali ya uchochezi yamezungumziwa hapa. Lakini matukio hayo ni mangapi? Yametokea wapi? Na nani ameyafanya? Wakili Mkuu wa Serikali anataka muamini porojo za mitandaoni. Mkizikubali, Waheshimiwa Majaji, itakuwa ni uthibitisho mwingine kwamba huu ni uamuzi wa maagizo.” Tundu Antiphas Mughwai Lissu, 6 Novemba 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, katika hukumu ya kesi yake ya uhaini.
17
168
2
993
39,080
Mkundu wenu wasenge nyie ccm na Millard Ayo
Katibu wa NEC, Itikadi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosii amesema wameumizwa na hukumu iliyotolewa katika kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na kwamba wanamuombea atoke. Akizungumza mkoani Morogoro, Kihongosi amesema Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amemwandikia barua akiomba wakutane kwa ajili ya mazungumzo ya maridhiano. “Tuwe na siasa zenye tija, zenye kujenga Nchi lazima tulilinde Taifa letu, leo nitawapa siri hata Tundu Lissu ambaye jana amehukumiwa sisi binafsi tunamuombea Mungu atoke, Lissu amesema mara nyingi anahitaji maridhiano,” amesema Kihongosi. #MillardAyoUPDATES
105
Vurugu za October 29 zilieababishwa na @SuluhuSamia nyie @tanpol kamkamateni huyo Muaji yuko ikulu #FreeGWAMAKAMBUGHI
This quoted post is unavailable.
1
36
👇🏾👇🏾👋🏽😁 Mpo? Kumbe anam admire Lissu siku nyingi? Screenshot this hata akifuta 👊🏽
This quoted post is unavailable.
31
42
238
30,155
Laizer Mayon retweeted
Tanzania opposition leader acquitted of treason, jailed for incitement Tanzania's main opposition leader Tundu Lissu has been acquitted of treason but sentenced to four years in prison for incitement. The High Court found him guilty over remarks urging the public to disrupt the 2025 general election. Lissu, who was arrested in April 2025 after calling for electoral reforms, and has remained in detention for more than 18 months.
3
65
1
149
2,262
‼️TUMFARIJI TUNDU LISSU‼️ Kila anayeweza AFIKE kwenye msiba na aende kwenye mazishi ya Mzee Alute kumwakilishi Lissu Tuseme kwa pamoja 👉🏽 I AM TUNDU LISSU “Mimi ni Tundu Lissu” Kushindwa kumzika mpendwa wako kwa kuzuiwa na mafedhuli inauma sana! Naongea nikijua uchungu huu! Lissu, Heche na wanachadema walinifariji sana walipoenda kufariji familia yangu na kumzika Baba yangu! Sitasahau upendo huu! (Isipokuwa mnafiki dalali Lema huyu ❌) Kwa sasa kila anayeweza, kila mtanzania asimame na Lissu na familia yake katika huu msiba! #FreeTunduLissu
21
194
1
896
16,407
Laizer Mayon retweeted
Nimekumbuka wakati wa Magufuli alikuwa akipanga siri kufanya jambo lake, likivuja tu na kufika kwa Wanaharakati alikuwa anaghairi kufanya ili Wanaharakati tuonekane waongo ila Nduli Idd Amin Mama kwasababu yeye ni bogus akipanga jambo hata livuje anasonga nalo mbele habadilisha hata kimoja. Leo kajua kuwadhalilisha maji mie ningekuwa Jaji Ndunguru baada ya mpango kuvuja ningeomba hata kujitoa kwenye kusoma hiyo Hukumu ili mradi tu nilinde heshima yangu ila ndo ivo pesa za Nduli Idd Amin Mama ukila lazima udhalilike to the maximum.😂😂😂
31
156
2
1,276
49,999
Laizer Mayon retweeted
Leo Media zote kubwa huko Duniani mjadala ni Hukumu ya Mhe. Lissu. Kazi nzuri wakili msomi @TitoMagoti
14
333
2
1,710
26,538
Endelea kutumika na Abduli
Mwenyekit Tundu Lissu amehukumiwa kifungo cha miaka minne kwa kosa la uchochezi ambalo, kwa mtazamo wangu, ni la kutengenezwa. Safari sasa ni kwenda Mahakama ya Rufaa, lakini tusisahau kwamba hata Mahakama ya Rufaa haiwezi kuwa mbadala wa dhamiri ya umma katika kutetea haki na kupinga matumizi mabaya ya mifumo ya dola. Mahakama ya rufaa ya Lissu haipaswi kuwa Mahakama ya Rufaa pekee. Inapaswa kuwa umma wote tunaohofia kwamba kesi hizi zinatumika kama njia ya kuwanyamazisha na kuwadhibiti wanasiasa wakosoaji. Hatari kubwa zaidi si kifungo cha Lissu pekee. Ni uwezekano wa kifungo kutengeneza mazoea hatimaye kuwa sehemu ya mfumo wa kawaida wa kudhibiti upinzani. Hapo ndipo tunapopaswa kuwa na wasiwasi. Leo hukumu imetolewa, lakini nchi inaendelea na shughuli zake kana kwamba hakuna jambo kubwa lililotokea. Kana kwamba ni mtu mwingine wa kawaida tu aliyefungwa. Hii ni ishara inayopaswa kutufanya tutafakari kwa kina kuhusu hali ya dhamiri ya jamii yetu. Watu wengi, wakiwemo wanachama wetu, tayari wako mahabusu. Tusipojiuliza kwa pamoja tunakoelekea, tunaweza kuamka siku moja na kukuta magereza yamekuwa sehemu ya kawaida ya maisha ya kisiasa ya nchi yetu. Uonevu hauzuiliwi na nguvu ya waliouonewa pekee, bali pia na dhamiri ya jamii inayokataa kuuzoea. Kukaa kimya mbele ya jambo linalogusa haki za msingi za binadamu kunaweza kuifanya jamii izoeane na hali ambayo kesho inaweza kumkuta yeyote kati yetu.
6
34
543
Solidarity ✊🏽 Nawapongeza sana @ChademaTZ2 Mmekuwa mfano wa kuigwa! Leo mmefika mahakamani kwa wingi pamoja na wengine kufukuzwa na kuumizwa mmesimama imara Msiyumbe - nyie ndo frontline ya harakati hizi ngumu! Leo nimeona Lissu amefarijika na amekuwa imara sana Mshikamane achaneni na madalali cheap wa Abduli
18
181
2
886
19,949
Laizer Mayon retweeted
“Hukumu haikuvuja tu ilimwagika…”-; Mhe. @jjmnyika
12
253
2
1,617
31,328
Tuliwaambia! Kuanzia leo mtuheshimu sana! Tuna taarifa ya vikao vyao vya siri! ✊🏽
TUNDU LISSU ; Waheshimiwa Majaji toeni hukumu ambayo mnayo. TOENI HUKUMU AMBAYO MMEAGIZAWA. Nimemaliza . Asante.
11
105
1
729
24,595
Muaji Samia Suluhu anaendelea kuwa huru huku Mheshimiwa Tundu Lissu, mpambanaji wa haki na demokrasia, akikabiliwa na kifungo katika mazingira yanayozua maswali mazito kuhusu matumizi ya mamlaka na uhuru wa Mahakama. Kama madai ya kuingiliwa kwa Mahakama na mamlaka ya kisiasa yana ukweli, basi huu ni ukurasa wa kusikitisha katika historia ya haki nchini Tanzania. Hakuna mamlaka iliyo juu ya sheria, na hakuna Mahakama inayopaswa kuwa chombo cha kutekeleza matakwa ya mtu yeyote. Historia haitasahau! #FreeTunduLissuNow
12
1
26
864