Dogo unatokea Kasulu moja au Kazulamimba
Replying to @Thereal_taivina
Inakuwaje mkeka umepost umeweka 100, halafu kwenye kula unaonyesha uliweka 300k? Why upost bila verification code hapo chini kama huna nia mbaya ya kuwaonyesha watu unakula mikeka kwa big win ila kiuhalisia unachoshinda hakiendani na unachowaonyesha watu?
1
56
Maverick 🇸🇴 retweeted
Nimemtuma mtoto wa jirani bulb nikampa 1500 Anunue Kwa Tsh 1,400, 100 Itakayobaki Anunulie Ice Cream.
Tupo Nae Hapa Anakula Ice cream Yake Karudisha 1,400 Kasema Bulbu Ni 1500..😂🫵🏾
Maverick 🇸🇴 retweeted
Lyne furniture and interior we elevate your kitchen to the highest level of quality and beauty💃🏼✨
Tunahakikisha Jiko lako linapendeza🙏
Call/WhatsApp +255783809061
Maverick 🇸🇴 retweeted
Wakili wangu msomi @TitoMagoti pamoja na wakili @KumbushoDawson wameshinda kesi yao ya kikatiba dhidi ya Serikali na sasa Serikali imeamriwa kuufungulia mtandao huu wa X (zamani Twitter) uliokuwa umezuiwa tangu Mei 20, 2025
Hongereni sana kwa ushindi huu mkubwa. Mmeonesha weledi, ujasiri na dhamira ya dhati katika kutetea haki na uhuru wa wananchi. Hakika mmeitendea haki taaluma ya uwakili 💪
Maverick 🇸🇴 retweeted
Replying to @TitoMagoti
@TitoMagoti waitu amang’ana…👋
Wakishaufungulia uje Zanzibar nikuspoil sawa🌚💀
Maverick 🇸🇴 retweeted
Macho kwa macho na Kanjibai wa Morogoro kwenye Movie la Wakamaria.
Mr Boniventure
Maverick 🇸🇴 retweeted
🤣🤣 Zamani tulikuwa tunadate mtu because of their profession. Mwanajeshi yule, Daktari yule, Lawyer yule! Mhandisi yule ..Siku hizi hata awe dalali, as long as ana akili, good character, ambition na anajua how to build a life
Maverick 🇸🇴 retweeted
Movie la Wakamaria @Nyonyoma1 ndani.🚀🚀
Maverick 🇸🇴 retweeted
Lakini pamoja na wazimu wenu 😂, men are good people. Unaamka asubuhi, unaenda kuitafuta hela yako, na uchumi ulivyo mgumu mnagombana na watu huko na bado mnatuhudumia. Mungu awabariki na awape more and more than you provide. 🥰❤️👌










































