Amos Masolwa retweeted
Usiwafanyie watu mabaya tu, bali pia usiwatamanie mabaya mioyoni mwako. Maana dunia ina mzunguko—unayotenda au kutamani kwa wengine, nayo hukurudia. Chagua wema kila wakati. 🙏
Amos Masolwa retweeted
Mtoto wa sita kuzaliwa aliyekuwa na ndoto ya kuwa Padri tangu akiwa mdogo. Msomi aliyebobea katika Maadili ya Kanisa na aliyefanyiwa Operation 3 kubwa za Uti wa mgongo, India na Marekani. Kadinali wa pili Mtanzania, Polycarp Pengo amefariki kwa matatizo ya moyo akiwa na miaka 81.
Amos Masolwa retweeted
Jane Goodall had a remarkable ability to inspire us to connect with the natural wonders of our world, and her groundbreaking work on primates and the importance of conservation opened doors for generations of women in science. Michelle and I are thinking of all those who loved and admired her.
Amos Masolwa retweeted
Mtoto Vincent Ibrahim (09) wa Manyoni, Singida amepigana vita dhidi ya kifo kwa miaka 8 sasa na amefikia hatua ya kukata tamaa. Akiwa na umri wa mwaka mmoja aligundulika kuwa na tundu kwenye moyo – Ventricular Septal Defect (VSD) ambalo linasababisha damu safi na chafu kuingiliana.
Afya yake ilianza kuzorota, kushindwa kupumua vizuri, kuchoka, kupungua uzito, kutoka jasho sana na kukakamaa kama mtu mwenye degedege. Awali familia haikujua tatizo na hivyo mama yake akawa anampeleka kwenye maombi akiamini amelogwa. Lakini hali ilizidi kuwa mbaya na ndipo akampeleka hospitali ya St. Gaspar Itigi.
Baada ya vipimo alipewa rufaa kwenda Benjamin Mkapa, Dodoma alipogundulika kuwa na tundu kwenye moyo. Alipewa rufaa kwenda taasisi ya moyo JKCI, lakini wazazi hawakuwa na fedha hivyo walimrudisha nyumbani ili kujipanga kwanza.
Mwaka 2019 baba aliaga kwenda kutafuta kibarua mgodini ili apate pesa za matibabu ya mwanae, lakini haijulikani kama alifia huko au yupo hai, kwa sababu hajawahi kurudi wala kuwasiliana na familia. Hivyo basi mama akajikuta anapambana na mwanae peke yake.
Mwaka jana Vincent alizidiwa na kulazwa hospitali ya St. Gaspar Itigi. Jumuiya ya Kanisa ikamchangia fedha kidogo zilizomuwezesha kufika JKCI. Baada ya vipimo aliandikiwa upasuaji kwa gharama ya TZS 6M. Lakini baada ya kujielezea hali yake, alipewa msamaha na kutakiwa kulipia 3.6M tu.
Hata hivyo alishindwa kumudu gharama hizo, akaomba arudi nyumbani kujipanga. Kutokana na kukosa matibabu, hali ya Vincent imezidi kuwa mbaya. Kwa sasa amedhoofika, anashindwa kupumua vizuri, na ameshindwa kuendelea na masomo katika Shule ya Msingi Sayuni, Manyoni anaposoma darasa la 3.
Kumbuka Vincent aligundulika na tatizo la moyo akiwa na umri wa mwaka mmoja. Kwa sasa ana miaka 9. Amepigania maisha yake kwa miaka 8 bila matumaini. Miaka 8 ya mateso kwa kukosa 3.6M tu.
Mimi na wewe tuna nafasi ya kurudisha tabasamu kwa Vincent na kumsaidia kufanyiwa upasuaji. Sadaka yako ya leo ielekeze kuokoa maisha ya Vincent. M-PESA #0752581983, Tigopesa #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation
#RudishaTabasamu #LetLoveLead
Amos Masolwa retweeted
Happy #FathersDay DOYEN and to all responsible fathers!
Good job 💯
📍Stockholm, Sweden
His Excellency Ambassador Mobhare Matinyi (third from left) in a photo with the Marshalls of the Royal Court of Sweden (second from left and far right) and the Marshall of the Diplomatic Corps (to his left) after presenting his Letters of Credence to His Majesty King Carl XVI Gustaf of Sweden at the Royal Palace in Stockholm. He was accompanied by officials of the Embassy of Tanzania in Stockholm: Head of Chancery, Counsellor Tunsume Mwangolombe (left); Minister Counsellor Malik Hassan (fourth from right); Counsellor Abel Maganya (third from right); and Administrative Attaché Yunge Massa (second from right). (Photo: Lisa Raihle Rehbäck of the Royal Court of Sweden).
1
20
Amos Masolwa retweeted
Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Hayati John Pombe Magufuli .
#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
Amos Masolwa retweeted
Kwenye Movie ya Jonathan Livingston Seagull iliyotoka mwaka 1973 kunasimuliwa kisa cha ndege waliokuwa wakiishi kama familia katika maisha yenye mateso mengi ya kugombania chakula kwakua Chakula kilikuwa kichache na ndege walikuwa wengi.
Ndege Jonathan alikuwa na uchaguzi mmoja wa kuondoka katika maisha hayo. Lakini ndege wenzake walimkatisha tamaa sana ya kwamba hawezi kuruka (kupaa) kwakua kupaa sio utamaduni wao yeye anapaswa kukaa na kuishi maisha ya kugombania chakula basi.
Ndege Jonathan aliona hayo sio maisha yake akaamua kufanya mazoezi ya kupaa mwanzoni alipata ugumu lakini aliendelea bila kuacha pamoja na kukatishwa tamaa aliendelea kufanya mazoezi na baadaye akaweza kupaa na kwenda kwenye ulimwengu mwingine wa maisha yenye fursa nyingi na chakula kingi.
Hata wewe unaweza kupaa. Paa fanya mazoezi ya kupaa na utaweza.
Late J.P.M ( 17/03/2021)
(Voice) 👇
Tumkumbuke kwa jumbe hizi nzito na zenye kufikirika zaidi na tumtakie pumziko jema na la milele huko peponi.
Amen
2
21
Mzee wa kazi
Leo Machi 17, 2025 ni miaka minnne tangu kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Dkt. John Pombe Magufuli. #RIPJPM #Miaka4YaMagufuli
1
12
Also God knows this👊...@realDonaldTrump – at Dodoma, Tanzania
🚨President Trump: “From today forward, it will be the official policy of the United States to recognize only two genders: male and female.”
NO MORE WOKE 🔥🔥
1
26
Amos Masolwa retweeted
High performers live by a certain code!
What is it?
According to Aristotle, "We are what we repeatedly do. Excellence, therefore, is not an act, but a habit"
So, if you want to be a top performer, you must develop the right habits.
8 rare habits I see in every high performer:
1. They’re early risers and make their bed.
2. They’re strategic planners and take action.
3. They delegate as a reflex.
4. They use “no” often and yes as a gift.
5. Rest is essential. Not just sleep, but mind rest.
6. They’re growth-minded and follow their curiosities.
7. Feedback loops are foundational.
8. They build strong relationships.
Bonus habit: They call one person a day to check in on them.
Retweet to be the hero of your network and follow me @Fuel_YourGrowth for more posts on personal growth.
Home of Community Psychological help & healing
Wishes you #MerryChristmas
2
22
Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary – at Dodoma, Tanzania
1
14
































