Medrick mapembe retweeted
"Watanzania hawana shida waongezee na leseni ktk kada zao"😂
@Thommunkondya mwenyekiti unaonaje hii asubuhi yetu watanzania 😂Tunahitaji mabadiliko kweli?Tukitoka hapa tunaenda kucheza dubwi ili tulipe marejesho,baade tunarusha kindege tupate pesa ya kikoba🙌
Ps:Usinishauri 😂
Medrick mapembe retweeted
Replying to @therealrigoh
Huyu ni Mwana Familia Kabisa. Sk. Dry ndio vitu vyake.
Medrick mapembe retweeted
Jamaa tokea aoe ameacha na kutweet kweli kazi iliyomleta twita imeshaisha 😁😁
Medrick mapembe retweeted
Replying to @BongoNewsTV
😂 bongo sisi kila kitu n content hakuna professionalism kabisa. Wakati hapo wanasema tukamatie KABILA
Medrick mapembe retweeted
#TajiriLaKihaya
Hivi KWA Nini BANGI ambayo inamfanya mtu kuwa STRONG na kupiga kazi Kama Punda … inazuiwa na SERIKALI!
Alafu Pombe ambayo inamfanya mtu kuwa WEAK … Hawezi Fanya kazi yoyote… anakua Taira IMERUHUSIWA na Serikali?
Medrick mapembe retweeted
Replying to @TanzaniaLeaks
Hizi habari za hivi huwa mnapewa ili kushsuhwa credibility yenu, mnapost leo kesho anaonekana hadharani. Ndio maana mwenzenu Mange anawaacha mbali kwa kuhakikisha hapost post hovyo
































