SON OF PEASANT✝️🇯🇲 retweeted
Hakuna kikao cha darasa kilichowahi fanyika kikaisha bila mtu kusema
"Tatizo hili darasa hatuna ushirikiano" 😂
SON OF PEASANT✝️🇯🇲 retweeted
Maisha Yangu Yataendelea Kukuchanganya, Mpaka Pale Utakapo Elewa Kuwa Hayakuhusu Kabisa!!
SOMA TENA 😂😂
SON OF PEASANT✝️🇯🇲 retweeted
Siku moja, kila kitu unachomiliki kitatumiwa na wengine, kitatolewa kama msaada, au kitatupwa. Kile kitakachobaki si mali uliyokusanya, bali ni mabadiliko chanya uliyoyaleta katika maisha ya watu wengine.
SON OF PEASANT✝️🇯🇲 retweeted
TIPS ZA KUMJUA MTU
1. Viatu
Huonyesha hali yake
2.Kucha
Huonyesha nidhamu
3. Mkao
Huonyesha adabu
4.Macho
Huonesha nia ya MTU
5. Kicheko
Huonesha tabia
6. Kutembea
Huonesha kujiamini
7. Kusikiliza
Huonyesha akili ya mtu
8. Kubishana
Huonyesha ukomavu
SON OF PEASANT✝️🇯🇲 retweeted
Kwenye bible Gideoni alikuwa anamuomba Mungu vitu vya kijinga jinga tu na anajibiwa😁
Kuna muda alijigundua ni miyeyusho akamwambia Mungu naomba usinikasirikie😁🙌🏾
SON OF PEASANT✝️🇯🇲 retweeted
Palestinians are now sharing that Israel is dropping snakes on Gaza.
You literally cannot make this up.
SON OF PEASANT✝️🇯🇲 retweeted
Movement by running was something else. Unaamka mbio kuchange venue ya kulala 😂😂💔
SON OF PEASANT✝️🇯🇲 retweeted
Ile abadili yenu haifanyagi kazi kwenye mambo ya msingi au inasubiri mtu aibe viatu msikitini ndio asomewe ?
SON OF PEASANT✝️🇯🇲 retweeted
2030 ndio mwaka tutakaopata ukombozi.
Ataachiwa huru na utabiri utakuwa umetimia🙏
Let’s keep pushing 💪
SON OF PEASANT✝️🇯🇲 retweeted
"Micheal Carrick is a useless manager for losing to 10 men at home"
Guess who just lost to 10 men at home in an European competition 😂😂





















