Hellow @Tigo_TZZ Huduma za mtandao na kifedha ziko chini
What's going on?
1
79
Here we go💪
It was my dream to study at Muhas kipindi nagraduate A-level pale Ilboru. But i never had hopes if i will ever make it; nilikua najiona so weak.. Hapo unaambiwa bila One ya point 3 hutoboi😀😀! Matokeo yalikuja nikiwa JKT @FrancisKazobaMD @Msinde_Junior
Wakati tunaelekea kwenye tukio kubwa la kitaifa la sensa ya watu na makazi ambalo litafanyika tar 23/8 mwaka huu tunaweza pia kupata takwimu muhim ya watanzania walio na bima ya afya kwa kaya katika kufikia sera ya afya ya bima kwa wote
@wizara_afyatz
Hii inaeza kuwa intergrated kwenye questionare question formulated @NormanJonasMD @ummymwalimu
3
Hellow @Tigo_TZ napata shida kupiga simu kupokea simu na text.. internet iko sawa wats wrong?
1
2
Gharama za maisha zinapanda kipato kiko pale pale🤦♂️
#changetanzania🇹🇿
Kama huna Imani na kiongozi wako kwa muhula uliopita, basi una haki ya kubadilisha kwa kutumia haki yako ya kikatiba ya kupiga kura.
Jk Nyerere 1970
1
8
Kura sio Asante kwa kazi iliyofanyika, bali ni Imani juu ya kazi na utawala ujao.
Jk Nyerere, 1970
3






