Ma-Effect retweeted
Kwa tuliolelewa na mama wa kambo tumejifunza kitu kimoja kikubwa sana kwenye maisha ya binadamu ‘subra’ mimi sitakutukana kwasababu kwenye umri wako hakuna tusi hujawahi sikia, ila ipo siku tutakukumbusha, M/Mungu atupe uhai.
Ma-Effect retweeted
TUNDU LISSU ; Waheshimiwa Majaji toeni hukumu ambayo mnayo. TOENI HUKUMU AMBAYO MMEAGIZAWA. Nimemaliza . Asante.
Ma-Effect retweeted
TUNDU LISSU : Wakili Wa serikali anasema Matukio ya Oktoba 25, 2025 yametokana na kauli zangu. Waheshimiwa Majaji kwenye kesi hii sidhani kama mmeletewa ripoti ya hotuba ya Jaji Chande, kuthibitisha hizo kauli zilithibitishwa na Wanasiasa.
Ma-Effect retweeted
TUNDU LISSU: Wasiokuwa na hatia kama Mimi hawaombi msamaha. Nataka niwe very clearly kwamba haya nitakayoyasema siombi msamaha kwasababu am completely Innocent
Ma-Effect retweeted
Bro went bar to bar with Jamhuri, defended himself with no access to his lawyers and witnesses and the Cort didn't find him guilty of TREASON. He didn't lose his mind and kept smiling in every appearance he made despite foul play, Tundu Antipas Lissu is GOATED 🙌
Ma-Effect retweeted
TUNDU LISSU : Waheshimiwa Majaji nina msiba mkubwa wa Mtu ambaye amenifanya Mimi kuwa Mwanasheria mkubwa na Mtu aliyenilea. Nilikua natumaini kwasababu sikupata nafasi ya kumuuguza, Mahakama utaona ukweli kwamba hii kesi hamna kitu iniache nikamzike Mzee ALUTE
Ma-Effect retweeted
Tundu Lissu is now pleading mitigating factors before sentencing. A very awkward trial from the start.
Ma-Effect retweeted
TUNDU LISSU: Kwa sababu ni kosa la kisiasa ni lazima visababu vitengenezwe kumfunga huyu mpinzani wetu kisiasa. Kosa la uchochezi ni kosa ambalo ninyi Waheshimiwa Majaji mmelitengeneza. Mmetafuta kosa ambalo halikuwepo na mmefanya hivi kwasababu ya Maelekezo ya kisiasa.
Ma-Effect retweeted
President Tundu Lissu has won the historic treason case, but the court has convicted him of sedition. Strange. We will appeal.




















