Kuna hofu ya kusambazwa kwa ebola kutokana na mashambulzi ya watu wanao dhaniwa kuwa ADF wilayani Beni na Lubero,wana vijiji wakihama makaazi yao kwa nguvu.
ADF/Mabalako
Mashambulizi ya vijiji vya mabalako wilayani Beni na watu wenye silah wanao dhaniwa kuwa ADF kivu Kaskazini ya sababisha watu kuhama vijiji vyao.
DRC/BENI/LUBERO
Nini yahitajika kuwapa usalama wakaazi wa vijiji vya lubero na Beni ambako wakaazi waandamwa na ADF,na kuwalazimisha kuhama vijiji vyao.
DRC/Butuhe
Hali ya wasiwasi yaripotiwa Mwenye magharibi mwa Butuhe baada ya watu kutekwa eneo la Mwenye.
Huku wakaazi,wana vijiji wakihama makaazi yao na kupiga kambi katika Mji wa Butuhe ambako hawana chakula na msaada.
DRC/Ebola/Butembo
Wafanya kazi wa afia wanao saidia kupambana na Ebola wadai malipo yao ya muda mrefu.
Wauguzi na madactari wasema wafanya kazi katika mazingira magumu bila kukipwa kwa muda unao faa wenzio wakiambukizwa na hata wengine kufariki Dunia.