Dr Wiseman (@MAKIRIA001) header
Dr Wiseman (@MAKIRIA001) profile picture

Stay Healthy

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2022
Photo by Dr Wiseman (@MAKIRIA001)Photo by Dr Wiseman (@MAKIRIA001)Photo by Dr Wiseman (@MAKIRIA001)Photo by Dr Wiseman (@MAKIRIA001)Photo by Dr Wiseman (@MAKIRIA001)Photo by Dr Wiseman (@MAKIRIA001)Photo by Dr Wiseman (@MAKIRIA001)Photo by Dr Wiseman (@MAKIRIA001)Photo by Dr Wiseman (@MAKIRIA001)Photo by Dr Wiseman (@MAKIRIA001)
Dr Wiseman retweeted
Uniondolee ubatili na uongo; Usinipe umaskini wala utajiri; Unilishe chakula kilicho kadiri yangu. Nisije nikashiba nikakukana, Nikasema, Bwana ni nani? Wala nisiwe maskini sana nikaiba, na Kulitaja bure jina la Mungu Wangu. (Mithali 30:8-9)
14
30
390
Replying to @jahman_adamski
He’s actually going to die in a plane crash. Save this post.
3,328
8,042
4,125
23,960
7,534,406
Dr Wiseman retweeted
Na hizi mheshimiwa waziri akizikataa basi itabidi tu niache hii kazi ya kuwa designer😂📍📌 Hii kandarasi nabeba au sibebi wakuu??
🤖 Made with AI
80
14
13
142
16,440
Return Of DXE 🔥🔥🔥🫵 We Iiite EXE HUKOSEII
20
17
228
4,918
Dr Wiseman retweeted
Kuna msemo wa kiswahili "Mbwa mwitu akitaka kuwala watoto wake anawasingizia wana harufu ya kondoo" Anita's time is up,this is a perfect exit strategy watawala wameamua,sio kwamba kama ameanza utapeli ni wiki iliyopita. War of gods.
JUST IN: Security search of former Speaker of Parliament @AnitahAmong's residence in Kigo has led to the discovery of several luxury cars, including a Rolls-Royce. The probe ordered by President @KagutaMuseveni is over allegations of corruption and money laundering. This search is the second following one at her other home in Nakasero, Kampala city, yesterday. #VisionUpdates
5
2
10
2,379
Baadhi ya wafanyabiashara humu tunatamani kuwasupport ila mnauza bidhaa mnaziekea na bei za vilemba kama frame sjui😭 Tunakaa tu kimya basi tusiingilie yasiyo tuhusu ila badilikeni jamani some of us were also wingaz🙌
25
41
4
263
12,827
Dr Wiseman retweeted
“Kumtafutia mtu kazi sio kumtumia tangazo la kazi aombe bali ni kumwambia tarehe flani aende kwenye interview au apeleke vyeti Jumatatu aanze kazi” Sijui nani aliandika hii tweet ila aliandika ukweli.
52
216
7
1,469
37,510
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi Wamekataa kuketi, kusomewa uongo Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA 👏
101
751
5
4,172
72,430
TANZIA
215
81
23
535
53,074
Dr Wiseman retweeted
R.I.P StarTv & radio Free. Si mlikuwa mnaagizwa muondoe matangazo ya Dira ya Dunia ya BBC na DW walipokua wanaasema ukweli.. Aya waliokua wanawaagiza mbona hawawasaidii msifilisike. Main Stream Media ni Muhimu ila zitakufa kwa sababu za KIUCHUMI na kutosimama kwenye misingi yake
49
123
6
1,208
48,535
Dr Wiseman retweeted
Mithali 4:23 “Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo,
maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.”
2
33
159
2,619
Why don’t we take advantage of Hoima crude oil and rebuild our own refinery plant, like we once had with TIPA, instead of focusing only on building storage tanks? A refinery brings much greater long-term value. It produces fuel and important by-products such as bitumen for road construction, LPG, and petrochemical materials that support plastic and other manufacturing industries. This can reduce infrastructure costs, strengthen local industries, and create jobs. With proper refining capacity, we can lower fuel costs, improve energy security, and keep more value within our economy. Combined with the SGR, we could trade petroleum products across East Africa and position ourselves as a strong regional economic hub with improved living standards for our people.
Mwonekano wa eneo la mradi wa ujenzi wa Matanki ya Kupokea Mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam, Kigamboni mkoani Dar es Salaam. Ujenzi wa matanki hayo unatarajiwa kuimarisha usalama wa nishati hiyo, kupunguza muda wa meli kusubiri nangani kutoka wastani wa siku 22 hadi siku 7 na kupunguza muda wa meli kuhudumiwa gatini kutoka siku 7 hadi siku 1.
16
10
1
34
3,958
Dr Wiseman retweeted
Mithali 3:3–4 “Fadhili na kweli zisikuache… Ndivyo utakavyopata kibali na akili njema mbele za Mungu na wanadamu.”
2
12
99
1,866
Dr Wiseman retweeted
Zaburi 1:1–3 “…Naye atakuwa kama mti uliopandwa kando ya vijito vya maji… na kila alitendalo litafanikiwa.”
2
16
100
2,040
𝐒𝐓𝐀𝐑 𝐁𝐎𝐘 amefika⭐️👦🏾 @AllanOkello8 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
249
833
66
8,291
115,705
WATU WEUSI TUNATAKIWA KUTAWALIWA NA UPYA. SABABU YA PILI - Imagine wakati reli ya TAZARA inajengwa na kumalizika ilikua na km 1,860 na ndiyo ilikua reli yenye line ndefu zaidi katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara. - Pia unatakiwa kujua kwamba, Wakati huo reli hii inajengwa ndio ulikua mradi mkubwa zaidi kuwahi kugharamiwa na Serikali ya China "largest single foreign-aid project undertaken by China" - Rais Mao Zedong's aliongeza 2% ya Kodi katika kila product ya China ili waweze kujenga Reli hii ambayo ilijengwa kwa gharama ya Dola za Kimarekani $406 Million (Kwa wakati ule) ambayo ni sawa na Dola za Kimarekani $3.29 billion (Kwa leo hii) ambayo ni sawa na shilingi za Kitanzania 8,718,500,000,000.00. - Kiufupi Hii reli hata Tuambiwe tuijenge leo hii nina uhakika hatuwezi, Hii pesa ni kama wachina walitupa Chooni. - POINT YANGU: mpaka leo tunapozungumza, Nchi yenye Longest railway system ni South Africa ambayo ina Kilomita 20,986 za reli, Huku Tanzania ikiwa nafasi ya Tano sababu ina Kilomita 4,097 tu za Railway, na sina uhakika kama zote zinatumika. Sasa sisi tulifeli wapi kuexpand TAZARA line.
WATU WEUSI TUNATAKIWA KUTAWALIWA NA UPYA. Hii naomba itokee hata Kilazima, Maana ni Wazi sisi tumeshindwa kujiendesha, Ngoja nikupe sababu: SABABU YA KWANZA 1 - Tazara ilijengwa kwa Miaka mitano 1970-1975. - Kwa miaka hiyo mitano, Tena kipindi ambacho Teknolojia ya Ujenzi ilikua Chini, Wachina walifanikiwa kujenga Kilomita 1,860. - Kinachonishangaza Kwa Miaka 50 yaani toka 1975 mpaka 2025 nchi hizi mbili ZAMBIA na TANZANIA zimeshindwa kabisa hata kuongeza line, Zimeshindwa hata Kuexpand hata Kilomita 10 za Reli, Kwa miaka 50 ipo na urefu ule ule waliotuachia Wachina. - Imagine Tazara kupanda Treni au Kupakia Mizigo si bure, Lakini Nchi hizi mbili zimeshindwa Kuiendesha reli hiyo mpaka imekufa na wameirudisha kwa aliyeijenga. INAENDELEA
29
35
1
129
16,773
Dr Wiseman retweeted
Joint Statement by the British High Commission, the Canadian High Commission, the Embassies of Norway, Switzerland, Belgium, Denmark, Finland, France, Germany, Ireland, Italy, the Netherlands, Poland, Slovakia, Spain, Sweden, and the EU Delegation, on Recent Events in Tanzania.
214
1,468
131
3,823
207,463