LongaZimale (@LongaZimale) header
LongaZimale (@LongaZimale) profile picture

MUNGU NI MUWEZA JUU YA KILA KITU.

Joined July 2022
Kuendesha gari barabara kuu ni tatizo sana, zimejaa Magari na Mashimo, unachagua kugongana na gari nyingine au utumbukie shimono, au vyote viwili.
158
Marekani amechaguliwa “Shoga” kuwa M’bunge, na akadhihirisha ushoga wake, Marekani amechaguliwa Muislam kuwa M’bunge, na akadhihirisha Uislam wake, Nini tutarajie?.
2
165
Kuna siku nilipita Unguja kuelekea Micheweni Pemba, nilimtembelea Sheikh MSELEM ALY pale Unguja, nilimuuliza maswali matatu, alinijibu maswali mawili, hilo moja nikahisi kama anataka kunipasua kichwa. IJUMAA MUBARAK.
79
Mfumo wa Soko “Utandawazi” ni adui mkubwa wa utamaduni na Dini, siku zijazo tutakua na vijana wa hovyo sana Misikitini, Makanisani na kwenye Jamii isiyo amini Dini.
135
Kuna muda unaamua kucheka ili kuonyesha Watu kwamba una furaha tele, lakini kumbe ukweli ni kwamba Moyoni una madonda yanayo vuja damu. Nawatakia siku njema.
1
3
4
191
Barabara zetu ni finyu, hazina alama na michoro yakutosha kuongoza Madereva, tuna Magari mengi ya kisasa yanayo hitaji miundo mbinu Bora, tutazifungia leseni za madereva “Bora” hadi tubaki na waendesha Magari, huku ajali zikigharimu roho na mali za Watu.
8
189
Makkah na Madinah ni Miji mitukufu kwa Waislam Duniani, Lakini sio miji ya Kiislam, haingozwi kwa Sheria za Kiislam.
1
1
3
214
Kule Yemen wanaishi ukoo wa “Bani Hashim” walio furushwa toka Nchi yao ya asili “Hijazi”, Saudia ya leo, Saudia inatawaliwa na ukoo wa “Su’ud”, kwamba ni vita kati ya Ukoo wa Su’ud na Ukoo wa Bani Hashim. Ngoja tuone.
204
Wapo Watu wanaishi maisha magumu sana kutokana na hali ya kipato, lakini wanajizuia kuomba omba ili kulinda heshima zao.
1
2
12
357
Alhamdulillah. Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu Viumbe, hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila yeye, tajiri wa matajiri, Mwalimu wa walimu. Nawatakia siku njema.
1
2
5
193
“Ushirikina” sio kuabudu Mizimu pekee, hata kuamini kwamba riziki yako mtoaji ni kiumbe mwenzio ni ushirikina tosha. @ElimikaWikiendi
1
2
165
“Unafiki”, Ni kusema au kutenda jambo usilo liamini moyoni, Na huu ni ugonjwa wa hatari sana kiimani. @ElimikaWikiendi
135
Kwa wasomaji wa Quran, Aya ya mwisho kushuka kwenye Quran ni hii, Quran 2:281, inasema, Na iogopeni siku ambayo mtarudishwa kwa Mwenyezi Mungu, kisha Viumbe wote watalipwa kwa “ukamilifu” yote waliyoyachuma, nao hawatadhulumiwa. Nawatakia “Sabato” njema.
1
1
1
4
335
Wanaume tunahitaji mambo mawili tu kwa Mwanamke “Bora” (1) Kuheshimiwa (2) Kutiiwa Hili ndio Limbwata isilo chacha. Mengine ni funika kombe.
2
207
Baadhi ya Watu hawatamani usiku uingie kutokana na kero za wake au waume zao, pole kwao.
1
1
18
344
Kuna baadhi ya Wanaume wanapenda Uwanauke, na wapo Wanawake wanapenda uwanaume, hii sijui tuiiteje!!.
163
Kuna muda unalazimika kucheka japo moyo uko mbali na kicheko.
1
4
1
5
1,120
Kwamba tusipite kama tunaaaaga maiti. ✅✅
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰 👉 Size S,M,L,Xl,& XXL 👉Bei 25,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
1
2
3
191
Alhamdulillah. Siku yangu ya kuzaliwa leo. Nawakaribisha Supu ya Pweza na Uji wa Shurba toka Kojani. 😂😂😂😂
2
4
15
256