Big JTC (@LifeofDeo) header
Big JTC (@LifeofDeo) profile picture

✍Big Skepta!🤗 ✍LIVERPOOL FC ✍SIMBA SC

Joined October 2020
Photo by Big JTC (@LifeofDeo)Photo by Big JTC (@LifeofDeo)Photo by Big JTC (@LifeofDeo)Photo by Big JTC (@LifeofDeo)Photo by Big JTC (@LifeofDeo)Photo by Big JTC (@LifeofDeo)Photo by Big JTC (@LifeofDeo)Photo by Big JTC (@LifeofDeo)Photo by Big JTC (@LifeofDeo)Photo by Big JTC (@LifeofDeo)
BOOOOOM Jana nimeokota mkeka humu X hata sikumbuki Nani alipost naamka nakutana na Million 5 Aaah Betting ni Maisha!
6
4
1
15
1,424
Sema saivi Betting imekua ngumu maana nahisi hata wachezaji Professional watia mikeka Mfano game ya Porto jana utaniambia yule janja wa Porto aliyejifunga hakuweka mzigo??
2
5
262
Wazee sasa huku tumefika mbali tutakuja kukosana Mbona nimeona video ya Bibi yangu anapigwa miti wakati aliaga anaenda Dar juzi kwa matibabu! No No Nooo halafu ile sauti ni ya Ibra asee huu mtaa utanuka! 🤦‍♂️
1
7
1,126
“Tunaomba Utupe LEO mkate wetu wa kila siku” 🙏🏻17
8
5
41
1,679
Akumbukwe BAFETIMBI GOMIS 🔥🔥🔥
1
10
495
Sasa hebu mtu anieleweshe kwa utaratibu tu Nikisema Timu flani itashinda au timu flani itapata goli 2 Dhambi iko wapi hapo? Hebu nieleweshe ni namna gani Betting ni dhambi au ni kumkosea Mungu.
1
11
410
Mkeka nimeokota huku X kutoka kwa huyu janja @iamBigChops umeboom Hii tabia nimeiga kwa @dullah_abuu @sportybettz nakuja taratibu
7
4
79
23,153
Kucheza Ulaya sometimes kuna mengi unajifunza Unaona hiyo Assist ya Miroshi pale mtu angepiga 😅😂
6
372
Ukweli ni kwamba; Matatizo ni kama Matako kuna mwenye makubwa na mwenye madogo ila hakuna ambae Hana kabisa! Tuishi ✍🏽
1
2
5
490
Watu wa Punyeto kaeni mbali na hizi odds tafadhali tutakosana 🤝 55JC5U
2
31
2,270
BOOOOM 🔥🔥🔥 Ila @sportybettz @SportyBet nitawakamata tu siku moja. Mikeka nayojaza kibunda mnakula ila hii nayoweka masihara mnanipa! Odds 735 nimeweka buku 2 tu🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️
5
6
33
3,306
Tujaribu hii huenda wapiga nyeto wameshalala kwa uchovu huenda tukapata chochote kitu
4
2
12
1,332
5XB7V1 Akumbukwe CHEICK TIOTE.
1
8
443
Juzi nimeenda Harusi ya kishua ile nafika tu nikavamia dafu nikapiga, kama dk 5 nikashika lingine nikapiga. Wahudum wananiangalia kwa mshangao😅 Nikasema hawa wivu tu na sherehe sio Yao! Asee nilidondoka kama mnazi! Nilikuja kuamka nipo nje ya ukumbi kwenye ukoka saa 12 asubuh
2
4
53
7,460
Hizi hapa odds 791 za leo🔥🔥🔥 Ni marufuku kukaa bila mkeka wowote active! Uwe na kitu unasikilizia, usikae kizembe!
6
4
40
2,093
Mnaona jinsi @Thereal_taivina anateseka kutoa 100M Sasa fikiria sisi tunaocheza mikeka mara 5 siku ikiboom hiyo 500M+ itakuaje?😅 @SportyBet @sportybettz hii sio fair tupeni option ya bank, kama issue ni KYC tupo tayari ku update taarifa zetu ili kwenda sawa na AML laws za TZ.
17
28
254
19,954
Huyo jamaa aliyemlomba huyo mtoto amejipoteza miaka 30 kizembe sana yani! Hata wazazi wasipochukua hatua hapa serikali lazima ichukue points 3😅 Ndo maana unaambiwa adui yako sometimes ni Kiherehere chako, kushindwa kuficha mambo yako! ✍🏽
3
250
Yan hata siku kusiwe na mechi kabisa tutabeti mechi za mtaani kwetu 😅😂 Tuondokee ✅✅✅14
2
11
755
Ukiona wamekupa reward kubwa hivi ujue wamekupiga parefuu mnoo 😅😂 Hii wiki @sportybettz 🙌🏻🙌🏻 Yote haya kasababisha Chelsea na City yan🤦‍♂️
10
4
77
3,498
Wachezaji wa Man Utd mechi ikianza tu 👇🏻😅😂 Chuma 2 ndan ya dk 4😂😂😂
1
4
310
Chelsea kakusanya mikeka yangu yooote 28 kuchana qmmke 🙌🏻🙌🏻 Kama we n Shabiki wa Chelsea unalombwa na hiyo timu yako😌 Narudi jikoni kupika mechi za jioooni!
1
1
7
363