Pinned Tweet
We are LensationEnts, A multicultural Photography/video/film Company based in East and Southern Africa. Our customers range from individuals, group of people, small to large Companies.
LE™️ retweeted
Replying to @enamalisa
Yho. Its insane cuz. The humour is replaced by soo much hate. 🙆🏾♀️ Ndo maana people log out aisee.
kwanza kabisa jifunze kujua unataka kufocus kwenye kua photographer wa aina gani!!
Pili unatakiwa kujua aina ya Lens based na aina ya picha unazotaka kupiga
Tatu aina ya camera na matumizi yake
Nne unapaswa ujifunze uhusiano wa picha na mwanga kwenye picha utakazo piga(hili somo ambalo wengi hawalijui). Mwanga unakufanya ujue rangi sahihi kwa wakati sahihi ndio tunaita WHITE BALANCE.
Mwisho jifunze kuna kitu kinaitwa Framing
Yani ukiwa unatazama kitu jicho lako linakua limefocus na nini? Ile ndio framing Yenyewe sasa
Mfano hizo picha hapo chini
Sometimes framing inaweza kukupa Depth sababu kupata good framing kunahusisha mengi. Things like distance from subject to background etc etc.
Karibu sana #LensationEnts upate kilicho bora zaidi🤞🏾🤞🏾
This post is from an account that no longer exists. Learn more
LE™️ retweeted
Kuna hawa @LensationEnts wanaweza kukupa Somo
LE™️ retweeted
Replying to @LensationEnts
Jana nilikua na Director wangu na kashabariki next project we on…💯
Utakuja kustukia too late. #LensationEnts
by then itakua untouchable!
LE™️ retweeted
My young Tanzanians, that “Title” you are chasing comes with responsibilities and expectations. It requires you to look inwards more than looking at who’s looking at you.
Kujua sio jambo ambalo linataka nguvu.
Ni kama kuendesha baiskeli tu. Ukijua umejua lakini kufikia level ya kua pro kuna juhudi zake. #LensationEnts
LE™️ retweeted
Na kwanini utumie smartphone wakati @LensationEnts wapo kwa ajili yako?
Achana na smartphone, wacheki hawa wataalamu kwa kazi nzuri zilizonyooka.
LE™️ retweeted
Capturing the essence of the moment🔥
Picha huwa inaandaliwa, Picha zako ni mbaya sababu muandaaji wa picha zako dont know a thing about Photography. #LensationEnts
LE™️ retweeted
Kwa picha kali hakuna wa kuwazidi hawa @LensationEnts
Unapoongelea picha kali basi tambua una wagusa moja moja kwa @LensationEnts
Damn hawa ni next level🔥🔥🔥
Hii ni moja kati ya kumbukumbu muhimu sana. Kwanini usiifurahie kila unaporudia kuitazama? #LensationEnts
LE™️ retweeted
⚡
Mwenzako I feel so good pindi nikikuonaaa
Hizo pozi unafanya kusudi na ulivyo nonaaa
#LensationEnts
LE™️ retweeted
🔥
A passion for excellence. Whether you're looking to promote your business, capture the highlights of a special event, or stream a live performance, we have the skills and resources to make it happen. #LensationEnts
We concur and together we could give you a spectacular appearance. 😉
This post is from an account that no longer exists. Learn more


























