
@YoungAfricansSc | @manutd | POLITICAL ANIMAL | DON'T TRUST MY SMILE | A WOUNDED BUFFALO | AM NOT LUCKY, AM BLESSED | I LOVE MYSELF | SELECTIVE SOCIAL #WANAZIHQ
Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2016
- Tweets29.5K
- Following6K
- Followers32K
- Likes94.7K
Mama Ntilie ambao bado mnatuuzia ugali wa buku Mungu awabariki sana, awafungulie milango ya riziki. Nyinyi ni mashujaa wa wapambani wote 😂🙏❤️
MACHINERY BELTS ZA UBORA WA JUU!
Belts imara, madaraja (Classes) zote zinapatikana.
📍 Kariakoo
📞 Adam: 0756 938 433
Popote ulipo, Atakufikishia mzigo wako!
Wateja eeh, karibuni machinery belts imara, aina ya V belts class, A,B,C,D, flatbelts, timming belts, na fen belts za magari zipo available ⚡⚡🔥, tunapatikana kariakoo mtaa wa mnadani karibu na bigboni, tunafanya delivery kwa mteja akinunua kwa bei powa kabisa.
Cont;0756938433
Mimi naenda kulala, lakini ukipata muda tafadhali niombee. Hali ninayopitia ni ngumu sana, nahitaji sana maombi yako. Mungu akubariki.🤝🙏
Mwanamke ni moja ya viumbe hatari sana ambayo Mungu ameviumba, tulisisitizwa kuishi nao kwa akili🙌🙌🙌
Kutegemea misaada wakati wa kujenga nyumba yako kunaweza kukunyima uhuru wa kuishi kwako mwenyewe, hata ukiwa na hati miliki ya iyo nyumba.📌
𝗸𝘂𝗻𝗮 𝘄𝗮𝗸𝗮𝘁𝗶 𝘄𝗮𝗰𝗵𝗮𝗻𝗴𝗮𝗻𝘆𝗲 𝘃𝗮𝗮 𝗸𝗶𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲 𝗰𝗵𝗮 𝗺𝗸𝗲𝗼 𝗮𝘂 𝗴𝗮𝘂𝗻 𝗹𝗮 𝗵𝗼𝗻𝗲𝘆 𝗸𝗮𝗮 𝗻𝗻𝗷𝗲 𝗼𝘁𝗮 𝗷𝘂𝗮....𝘄𝗮𝗽𝗲 𝗺𝗮𝗱𝗮 𝘄𝗮𝗸𝘂𝘁𝗮𝗻𝗴𝗮𝘇𝗲.
Imefika hatua injili tunaachiwa masela na wahuni waitangaze! Leo maji ya upako, kesho gesi, mafuta na mawe. Bora tubaki na imani yetu na Yesu mioyoni kuliko kutapeliwa na kufanywa wajinga na watu wanaotumia jina la Yesu kujipigia pesa.








