NI SAHIHI KABISA LAVA LAVA KUONDOKA WCB mwamba Alipelea sana mpaka kuonekana anatengwa Kama Mtoto wa KAMBO.
WAZEE wa na HAPA IPO walikuwa wameshajiandaa kutoa CHUMA KUMBE kijana wetu ALIKUWA anajitolea zake CHENI ya Mama馃槀
KWAHIYO YANGA wasipocheza MCHEZO namba 184 LIGI KUU msimu huu uliopangwa JUNE 15 (YANGA vs SIMBA), SIMBA wanaweza KUFUNGUA MASHTAKA kwa sababu wapinzani wao wamegomea MCHEZO huo?







