Kuwa Mwema Haimaanishi Ukubali Kila Kitu.
Unaweza Kuwa Na Moyo Mzuri Na Bado Ukasema HAPANA.Unaweza Kuwajali Watu Bila Kuruhusu Wakutumie Vibaya.
Wema Bila Mipaka Unaweza Kukugharimu Amani Yako.
Mwanaume Anayesema Leo Sina,Lakini Nitapambana,Ana Thamani Kubwa Kuliko Anayeishi Maisha Ya MAIGIZO.Kwa Sababu Anayesema UKWELI Anakupa Nafasi Ya Kujenga Maisha Pamoja Naye,Lakini MUONGO Anakunyima Hata Nafasi Ya Kujua Unaishi Na Nani.
Good Morning🌄Ladies And Gentlemen🫂
Mkumbushe Mwanao Kuwa 5+5=10,Lakini Pia Hata 6+4=10.Kwahiyo Kama Yake Ni 9+1=10,Kuna Ambaye Ni 8+2=10 Na Kuna Sisi Ambao 0+10=10.Mkumbushe Siku Zote Katika Maisha Hatuwezi Kuwa Sawa Ila Tunaweza KUHESHIMIANA.
Ewe Mungu,Katika Siku Hii Ya Leo,Tusamehe Madhambi Yetu,Tuondolee Huzuni Na Mahangaiko Yetu,Waponye Wagonjwa Wetu,Warehemu Waliotangulia Mbele Ya Haki,Tutimizie Mema Tunayoyatamani Na Uturuzuku Kutoka Pale Tusipotarajia.🤲
GOOD MORNING🌄LADIES AND GENTLEMEN🫂
Usiogope Kwenda Sawa Na Tabia Za Watu.Wakati Mwingine,Njia Pekee Ya Kuwafanya Wakuheshimu Ni Kuwatendea Jinsi Ambavyo Wao Wanakutendea.✍🏼
Ishi Vizuri Na Kila Mtu,Heshimu Wote Na Usimchukie Yeyote.Lakini Kumbuka,Si Kila Anayekuchekea Anakutakia Mema.Kuwa Mwema Kwa Wote,Lakini Usimwamini Kila Mtu.
Maisha Yanahitaji Moyo Mzuri,Macho Ya Kuona Na Akili Ya Kutambua.✍🏼
Usiogope Ukubwa Wa Changamoto Unazopitia.Mungu Anaweza Kukutana Na Shida Yako Na Kuigeuza Kuwa Ushuhuda,Machozi Yako Kuwa Furaha,Na Majaribu Yako Kuwa Mlango Wa Baraka.
Kumbuka:Mungu Anapokutana Na Shida Yako, Mwisho Wake Si Kushindwa Bali Ni Ushindi.✍🏼
Good Morning
Marafiki Vinyonga Awawezi Kukusumbua.Kama Ukijua Rangi Zao.Wanapo Igiza Chukulia Kama Elimu.Ila Matendo Yako Chuja Yasiwe Fimbo
Kwao.✍️
Jifunze Kutabasamu Hata Wakati Mambo Hayaendi Kama Ulivyopanga.Si Kila Vita Vinahitaji Watu Wajue Unapitia Nini.
"Jitahidi Sana Matendo Yako Yawe Ndio Yanajazilizia Maneno Yako Na Si Maneno Yako Kujazilizia Matendo Yako."
Kila Asubuhi Ni Mwaliko Mpya Wa Kumtumaini Mungu Tena,Huenda Siku Ya Jana Ilikuwa Ngumu,Maombi Yako Yanaweza Kuwa Bado Hayajajibiwa,Na Baadhi Ya Maswali Yanaweza Kuwa Bado Hayajapata Majibu,Lakini Uaminifu Wa Mungu Hauko Kwenye Jaribio,Yeye Bado Ni Mungu,Na Bado Ni Mwema.
Morning
"Zungumza Vizuri Na Kila Mtu Kwa Sababu Huwezi Kujua Ni Nani Mwenyezi MUNGU Atamtumia Kubadilisha Maisha Yako."
Mwenyezi Mungu Tubariki Kwa Mambo Ambayo Pesa Haiwezi Kununua,Tulinde Dhidi Ya Mambo Ambayo Utajiri Hauwezi Kuyazuia,Na Utujaalie Amani Ambayo Hupatikana Tu Kwa Kuwa Karibu Na Wewe.
Good Morning🌄Ladies And Gentlemen🫂
Pesa Inaweza Kununua Vitu Vingi,Lakini Si Kila Kitu Chenye Thamani Kina Bei.Amani Ya Moyo Ni Utajiri Wa Kweli.
Shamba La Maisha Ni Fumbo Kuu,Unachokipanda,Ndicho Kitakachoota Juu.
Ukipanda Miiba,Usisubiri Maua,Ukipanda Wema, Furaha Itakukuwa Upande Wako.
Basi Panda Leo Mbegu Zenye Thamani,Upate Kuvuna Furaha Duniani Na Mbinguni.Mungu Akubariki Sana Na Uwe Na Siku Njema.🙏🏾
"Ukiwa Na Mwanamke Ambaye Anaweza Ku-offer Maishani Mwako Kitu Huku Akiwa Amevaa Nguo Ni Baraka Kubwa Sana."
#ElimikaWikiendi
Msamaha Unakomboa Roho.Huondoa Hofu Kabisa.Ndiyo Maana Msamaha Ni Silaha Yenye Nguvu Sana.
Kusamehe Hakumaanishi Kusahau Au Kufuta Yaliyopita;Inamaanisha Kuchagua Kutokuruhusu Maumivu Ya Jana Yaamue Mustakabali Wako Wa Kesho.
#ElimikaWikiendi








