Mhe. Dkt. @SuluhuSamia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amempokea Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt. @SWAPOPRESIDENT Ikulu, jijini Dar es Salaam. Mei 20, 2025.
1
58
On 19th May 2025, Tanzania officially launched the 2024 Edition of its 2001 Foreign Policy at the JNICC in Dar es Salaam. @NoelMtafya from @mfa_tanzania emphasized the critical need to bring young people to the center country's foreign policy processes.
1
51
Balozi @HassaniMwamweta awasilisha salamu za pongezi na kheri kutoka kwa Mhe. Dkt. @SuluhuSamia Rais wa JMT kwa Papa Mtakatifu @Pontifex leo tarehe 18/05/2025. Rais Samia amempongeza Papa Leo XIV kufuatia kuchaguliwa kuwa Papa wa 267 na Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani.
1
42























