Skywalker_Tz (@KiangiAri) header
Skywalker_Tz (@KiangiAri) profile picture

Author|Writer|Art & Photography lover|Perfume connoisseur||Serial chiller✌️|East African🇹🇿🇰🇪🇺🇬 #Arsenal/#Yanga

Arusha, Tanzania
Joined May 2013
Photo by Skywalker_Tz (@KiangiAri)Photo by Skywalker_Tz (@KiangiAri)Photo by Skywalker_Tz (@KiangiAri)Photo by Skywalker_Tz (@KiangiAri)Photo by Skywalker_Tz (@KiangiAri)Photo by Skywalker_Tz (@KiangiAri)Photo by Skywalker_Tz (@KiangiAri)Photo by Skywalker_Tz (@KiangiAri)Photo by Skywalker_Tz (@KiangiAri)Photo by Skywalker_Tz (@KiangiAri)
Unaandika vitu ambavyo huvijui vizuri... 1. Christianity was in Africa for centuries before Europe.. 2. Communism was started by Jews.. 3. Communism doesn't make life better ( read books)
Replying to @privaldinho
Christian ni Eurocentric theory, Islamic ni arabcentric theory, Lengo ni kumtawala mtu MWEUC Ki mwili kiakili na kifikra.. Jiulze Why nchi za kjamaa kma china , Japan Korea north and south , hawana mda na hizo story za ukristo Wala uislam? Kuna nchi za kikomunist Mf Russia.
3
423
We don't even have a functioning democracy Lakini tunawapita Kenya?...Kwa lipi hasa?
Unpopular Opinion: _Tanzania is quietly outplaying Kenya Let’s talk about it. Kenya has the spotlight. Tanzania has the strategy. Kenya moves fast Tanzania moves smart. Kenya is a spark. Tanzania is a slow-burning wildfire. While Nairobi tweets policy storms, Dodoma builds railways in silence. Ports expand. Mines dig deeper. Inflation stays calm. Growth stays steady. _No drama. Just progress_. Tanzania is not loud — it’s efficient. Not flashy — just focused. Not trending — but winning long-term. Kenya shines today. Tanzania is preparing to shine forever. Bookmark this. Screenshoot it. Argue with your chest. But one day very soon, East Africa will wake up and realize: Tanzania didn’t overtake Kenya loudly — it just walked past with grace. 🇹🇿
231
Wewe hakuna anayekuona bana..endelea kulima bamia Mbutu huko...
Leo nimesikiliza hotuba ya Rais yenye Mamlaka kamili, Hotuba ya Rais wa Nchi Huru, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama. Pamoja na mapungufu kwenye maeneo kadhaa hasa mfano kushambulia kwa nguvu kubwa wale wanatajwa ni wachochezi wa ndani, badala yake kwa maoni yangu ilitakiwa wahubiriwe kwa lugha ya Mfariji Mkuu (Comforter in Chief), lugha ambayo Yesu na Mtume Mohamed waliitumia dhidi ya watu wema na wahalifu wa enzi hizo waliopinga kazi yao dunia, nimemuona rais kachukia sana, yes lazima achukie mbele ya washenzi wa taifa letu, ndivyo inavyotakiwa kwa taifa lenye nguvu ya kulinda uhuru wake! Lakini kwa kiasi kikubwa imekuwa hotuba thabit ya mkuu wa nchi halisi, Binafsi kwa miaka mingi nilikuwa sijaliona taifa langu likitetea ukuu wake kwamtindo wa hotuba ya Mkuu wa Nchi yenye ladha njema kama leo. Imenikumbusha hotuba ya Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 23 Januari 1967. Akizionya Ureno, Uingereza na Marekani. Pia imenikumbusha Rais Nyerere alipovunja uhusiano wake na Uingereza kwakumfukuza Balozi wa Uingereza nchini Tanzania. Imenikubusha Rais Nyerere alipopinga ubaguzi wa Raingi kwasusia shughuli zote za kimataifa zilizoihusisha Afrika Kusini ya Makaburu hadi kufika kuzuia timu zetu za taifa kutoshiriki michuano ya Olimpiki. Na mwisho imenikumbusha hotuba ya Rais Mkapa mwaka 2001 alipopinga kwa nguvu zote shinikizo la mabeberu waliotaka kuingilia mgogoro wa ndani uliotokana na mauaji ya zanzibar na mwembechai yaliyotokana na CUF kupinga matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2000. Rais Samia amegusa vitu vingi muhimu sana ambavyo nimekuwa nikivisema tangu mwanzo, Na vingine tulivisema huko nyuma kabisa ndani ya vyama vya siasa, ikatafsirika kuwa ni propaganda. Vitu hivyo ni: 1. Amesema kuwa tukio la 29 oktoba lilikuwa jaribio la mapinduzi. Hili nilishalisema tangu siku moja baada ya jaribio lile na ndio msimamo wangu leo na kesho na historia itaandikwa hivyo! Hakukuwa na maandamano! 2. Amesema waandaaji wa uhalifu huu ni mabeberu wanaopigana vita vya kiuchumi kuzisaka raslimali zetu na ustawi wetu. Hili nilishalisema tangu siku moja baada ya jaribio lile na ndio msimamo wangu leo na kesho na historia itaandikwa hivyo! 3. Amesema vijana wengi walilipwa kuhamasisha na kufanya uhalifu huu. Hili nilishasema na kuweka ushahidi wa taasisi zilizowalipa ikiwemo taasisi ya Ford Foundation ya Marekani ambayo imemlipa Maria Sarungi kupitia taasisi yake inayoitwa Change Tanzania iliyopokea zaidi ya bilioni 10 katika kipindi kifupi cha miezi 10 tu hivi, Zingatia taasi ya Maria imesajiliwa Tanzania inatakiwa kufanya kazi zake Tanzania, lakini kwa miaka zaidi ya mitano Maria hayupo Tanzania, na taasisi haifanyi kazi zake lakini inapokea mabilioni, nakuwalipa vijana makumi kwa mamia nchini na wengine amewatoroshea Nairobi huko sasahivi. 4. Rais ameweka ukweli rasmi na kufuta propaganda ya muda mrefu iliyoenezwa na Tundu Lissu kipindi cha uchaguzi wa Chademw kwamba Mbowe amelambishwa asali. Rais amesema kuwa Lissu ndie alimpatia pesa alipokwenda kumuona Ubelgiji tena Rais alitoa pesa yake ya safari, Rais hajaishia hapo, amesema Lissu na Wenzake waliporudi Tanzania kwaamana ya Gobless Lema nk aliwapa pesa ya kujikimu. Na mwisho wakaanza kumtukana Rais huyuhuyu! Si mimi nasema, bali Rais Samia kasema yeye kwa kinywa chake! Hili jambo la Lissu kulambishwa asali mimi binafsi nilisema kipindi cha kampeni kwamba ninazo taarifa sahihi Lissu amepewa pesa, na kama nimsafi kweli mbona hajatangaza hadharani hiyo pesa aliyopewa pale Ubelgiji? Bahati mbaya tayari wanaharakati uchwara walikuwa washavamia na kuteka chama hivyo hawakusikia wala kuelewa sauti yoyote nje ya Lissu ambae alijimilikisha usafi wa moyo na mwili na akajimilikisha ukweli na haki ya nchi hii. Lakini sisi tunaomjua kuwa ni muongo na mlamba asali mkubwa, wala hatukuwashangaa, tuliacha ungo upande lifti, na sasa tunafurahi kuona ukweli umefika kwa njia ya ngazi. Rais wa nchi kafunga mjadala wa Uzushi ulioenezwa na Lissu na
1
168
Press ya kukanisha yaliyoripotiwa na CNN &BBC...unawaalika Chanel 10 na Jambo TV..😁
89
What happened to shame?
VIDEO: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya ziwa Victoria na Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje, amesema kuwa uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Tanzania uliendeshwa kwa utulivu mkubwa katika maeneo mengi, akibainisha kuwa wagombea wote 17 wa Urais hawakuwahi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais ambapo Dkt. Samia Suluhu Hassan alishinda, wala kudai kuwa kulikuwa na wizi wa kura- jambo analoliona kama hoja muhimu katika mjadala unaoendelea kuhusu uhalali wa matokeo na matukio yaliyofuata. Akizungumza katika mahojiano maalumu na TV47 nchini Kenya, Wenje ambaye kwa sasa ni kada wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameeleza kuwa kati ya vyama 18 vilivyoshiriki uchaguzi, vyama 17 vilikuwa na wagombea wa Urais ambao hakua yeyote kati yao aliyewasilisha malalamiko ya kupinga matokeo kwa tume wala mahakamani. Amesisitiza kuwa hoja ya msingi katika kuelewa kilichotokea nchini ni kutenganisha jambo la maandamano na utaratibu wa upigaji kura, kwani kati ya 90% na 95% ya vituo vya kupigia kura-zoezi la kupiga kura lilikwenda vyema. Amebainisha kuwa changamoto zilijitokeza katika maeneo machache kama Dar es Salaam, Arusha na Mwanza, lakini kwa ujumla mchakato wa kupiga kura ulikuwa shwari. Wenje ametumia nafasi hiyo kutuma pole kwa familia za Watanzania na Wakenya waliopoteza ndugu au kujeruhiwa katika matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi, akisema kuwa ni muhimu mataifa ya Afrika Mashariki kuwekeza katika misingi ya amani na utatuzi wa migogoro kwa njia ya majadiliano.
105
Tree-planting is now a job? Why don't you lot leave University corridors and start a forest?
One of the ways we can have a meaningful engagement of the Gen Z is through looking at opportunities coming with climate change and provide them with jobs such as tree planting and nurturing. In Tanzania, loans for women and youths could be directed to such projects.
2
152
Since when Umoja wa Madalali ukaitwa taasisi? ACT ni kijiwe tu Cha kupigia Dili!
Hoja hujibiwa kwa hoja sio matusi wewe ni wakili unafahamu hilo vizuri tuu. ACT ni taasisi na sio Zitto tuu lawama za watu ni kwa nini ACT haikujiunga kususia uchaguzi it’s not about ZZK it’s about the role of ACT kama chama cha upinzani.
111
Unaogopa kifo Lakini mijadala ya Utekaji uliizuia .. ...Kwa matamko.makali na kebehi! History will judge you guys very harshly....
1
1
119
Sawa..Sisi tutakusamehe! Vipi kuhusu hiyo damu ya maelfu ya watu iliyomwagika? Huwa mnakula laana Kwa vipande vya fedha bila kujitafakari... What is 10k?...Shame!
Nimekuwa humu kwa muda mrefu na kuishi na nyote kama ndugu , Nikawasaliti na kufanya reli na kazi za Ccm . Leo naomba radhi kwa wote . Naungana na Watanzania wenzangu kudai haki na uponyaji wa taifa letu. Poleni kwa wote mliofiwa na kujeruhiwa. 1/3
1
2
225
The last time you closed..you ate a lot of hot rice..😊
🚨 Santiago Bernabeu roof will be CLOSED tonight.
1
217
Tuliwaonya..Mkatuambia mna mpango kabambe wa kulinda kura... Hii milio tuliitegemea...ila we didn't expect milio ya ghafla hivi!
TAARIFA KWA UMMA Kuhusu dosari katika zoezi la kuapishwa mawakala. Oktoba29 #LindaKura #MuhuniHasusiwi @ACTwazalendo
1
2
296
Mchambuzi wa mboga na vichwa vya dagaa.. ~"Kanisa liombe radhi"
Hatimaye, Padre Camillus Nikata wa Jimbo Katoliki la Songea amepatikana akiwa salama nyumbani kwao, Kijiji cha Mawa, Namtumbo, lakini tukio hili limeibua mjadala mpana unaogusa uadilifu, maadili, na wajibu wa taasisi za dini mbele ya jamii. Padre Nikata aliripotiwa kutoweka ghafla, jambo lililoibua taharuki kubwa mitandaoni na ndani ya Kanisa. Hata hivyo, baada ya uchunguzi wa awali, taarifa zimebainisha kwamba tukio hilo lilihusisha masuala binafsi zaidi ya kiimani. Tukio hili linakuja muda mfupi baada ya lile la Padre Kibiki wa Mafinga, ambaye naye alidaiwa kutekwa, lakini baadaye ikagundulika alikuwa amepata msongo wa mawazo kufuatia matatizo ya kifedha. Haya si matukio madogo. Ni kengele ya tahadhari kwa taasisi yenye heshima kama Kanisa Katoliki, ambayo kwa miaka mingi imekuwa mwalimu wa maadili na mwongozo wa kiroho. Wakati wananchi wakitarajia maelezo ya kina na uwazi, swali linaibuka, je, Kanisa litajitokeza kuomba radhi kwa umma na kuzungumza ukweli kuhusu matukio haya, au tutaendelea kufunika kombe ili mwanaharamu apite? Taasisi yenye ushawishi mkubwa kama Kanisa Katoliki ina wajibu wa kudumisha imani ya waumini wake kupitia uwazi na uwajibikaji. Kukaa kimya ni hatari, kwa sababu kinachojengwa kwa karne moja kinaweza kubomolewa kwa matukio machache yanayoacha doa la mashaka. Ni wakati sasa wa taasisi zote, za dini na kijamii, kuchagua uadilifu badala ya taswira. Maadili hujengwa kwa ukweli, na uwazi ndio unaorejesha imani ya umma. Padre amepatikana, lakini mafunzo ni makubwa zaidi ya tukio. Ukweli, uwajibikaji, na uadilifu ndivyo vinavyoweza kulinda heshima ya taasisi yoyote inayojinasibu kuwa nguzo ya maadili.
1
170
Eating and vomiting at the same time.. Sasa km ziko mtaani huku unatafuta Nini?
Narudia tena siasa ziko mtaani. Haina shortcut. #ElimikaWikiendi
1
3
520
Makosa ya wazi ya kimtandao.. Bad enough unatumia brand ya watu kusambaza uzishi wako! @itvnews should fix you wakupeleke mahakamani!
1
1
1
201
The dumbest tweet of the year...
Uzuri wa CCM ni uwezo wetu wa kubadilika kulingana na wakati. Unaweza kutupinga leo, ukatuunga mkono kesho kwa sababu tunasoma ishara za nyakati na kujua Watanzania wanataka nini. Unaweza kutuchukia, lakini huwezi kutuchoka. Mnadhani hatuoni.? Tunaweza kukaa kimya labda but We take note of everything,every change, every concern, every voice. That’s how we keep moving with the people and for the people.
1
119
This is interesting ..🤔
This quoted post is unavailable.
1
1
2
342
It's even healthy to hate them..! In life you must have things You Love to Hate!
ALL THESE PRIVILEGES AND PIGGY SALARIES, YET THEY’RE TAX EXEMPTED AS COMMONERS WE HAVE EVERY REASON AND GROUNDS TO HATE POLITICIANS WITH PASSION
1
2
314