Pinned Tweet
We test and live trade our bots on Headway. Check them out and get $150 no deposit bonus headway.partners/promo/bonus…
125
Kenito SODF retweeted
Replying to @abuga_makori
We know what we want and it is in Sifuna. We know the hole Ruto uhuru and Raila have put Kenya and you should feel ashamed for trying to use failures as ones to set the bar for Sifuna.
Kenito SODF retweeted
We are building this shit brick by brick mamaee. Hata amri jeshi kuu itaheshimu wananchi come 2027. They will feel where the actual powers of the nation belongs to, when we form a new gvt led by H.E Edwin Sifuna the 6th.
Kenito SODF retweeted
Biblia nayo ilikuwa cruel kwa watu ambao sio main characters buana walikuwa wanakapitia ajabu😂kwanza huko jericho umechill tu kejani captain uko aluta alafu kidogo kidogo unaona cracks kwa ceiling unadhani ni zako zimeshika kumbe ni live buana ukuta inakubonda😂siet
Kenito SODF retweeted
Maybe haukua class hii announcement ikifanywa, lemme repeat unipate:
UKIKUWA NA SWALI KAMA HII INTERESTING NA HAUKO OCHA UNACHUKUA SIMU UNAPIGIA YOUR NYANYEZ
Kenito SODF retweeted
Siku moja tutachangamkia huyo Mzee hataamini. Anapatronize nani?
This issue of calling Sifuna “Hii Kijana” is not from a position of mutual respect. It is from a position of trying to infantilize Sifuna. Make him seem small and sound like someone who does not know much.
To reduce him to the level of just another errand boy. Sifuna is an adult. He is a senior citizen.
It is all psychological manipulation. Just call him Sifuna or Senator. Because there is a consistency in being unable to address him as the Linda Mwananchi Movement(LMM) Party Leader, Presidential candidate, or H.E.
We see these things and we take notes.
Kenito SODF retweeted
This issue of calling Sifuna “Hii Kijana” is not from a position of mutual respect. It is from a position of trying to infantilize Sifuna. Make him seem small and sound like someone who does not know much.
To reduce him to the level of just another errand boy. Sifuna is an adult. He is a senior citizen.
It is all psychological manipulation. Just call him Sifuna or Senator. Because there is a consistency in being unable to address him as the Linda Mwananchi Movement(LMM) Party Leader, Presidential candidate, or H.E.
We see these things and we take notes.
Kenito SODF retweeted
Mutahi nguruwe, naona akili imegwama kabisa, allow me nikuingise class yetu kidogo sababu naona iko mahali hatuelewani kabisaa.
Numero uno, tulisema whenever you're addressing Sifuna always use plural sababu Sifuna apana mtu mmoja. Na sasa ukishafanya hivyo ndo utajua huezi ongelesha watu 18 mirrion strong vile unataka.
Numero mbwekse, tulisema ukikua na advice msuri kama hii na hauko ushago, unachukua simu unapigia nyanya yako jomba, sio sisi.
Numero utat, hakuna mahali tumesema Sifuna is needed by Ruto. Sisi ndio tuliendea yeye, sisi ndio tunamuhitaji, tell Kasongo to need kina Farouk na Cherargei.
Numero cuatro, na hapa ndio nataka unishike msuri, wazee wenzako wanacheza golf, wanaenda world summits and big business meetings lakini wewe uko hapa unataka kubishana na watu wanatoshana na wajukuu wako. Get out and touch some grass sababu tumesema hii mwaka all Atwolis are going home.
Sasa meanwhile geukia jirani yako hapo umwambie WANTAM na jina usimuulize anajiita Sifuna na ujue HE EDWIN WAKENYA SIXTHFUNA SHALL BE THE 6TH PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF KENYA, whether you ndikni or kendni.
Kenito SODF retweeted
Replying to @yoyachris1
Nishai pasulia mtu chupa ya Mac Mohan Kwa kichwa. I was praying for my enemy all day and night asikufe ju saa hii ningekua nmetulia na jersey ya Newcastle
Kenito SODF retweeted
😂😂😂😂Mungu wa Sifuna halali ona sasa tumejua ..what a fraud!
'Bigwigs' Busted: Nyakundi, Xtian Dela try to extort sh50m from Bidco #TTTT
Kenito SODF retweeted
Boiz alifungua hadi separate accounts za news ati "Wolf Brief" kumbe yeye ndio mbwa mwitu all a long
Kenito SODF retweeted
Replying to @NjiruAdv
But kama Kalonzo alisema he's been out for so long coz that's what you're confirming then itabidi tu atafute Bibi mwingine ata kama ni Ile wavinya
Ama kweli mwenye mavi ujishuku
Kundinya is like that parasite which sucks blood off things which you do not feed.
Nobody is in Sifuna's movement to make money or to trend, but to bring a better Kenya.
He'd rather trend ata kama ni for the wrong reasons. Tamaa kama ya malaya.
50
Kenito SODF retweeted
Mtu alilipwa 8000 Kenyatta shillings na to spread fake news about me ndio anawatishia huku.
Cheap liquor packaged in an expensive bottle hoping nobody will notice 😂😂
Kenito SODF retweeted
Ile sherehe tunapiga locals baada ya kuzima 2 bigwigs in a span of 1 week. SODF soldiers are lethal. 2 down, onto the next?
Kenito SODF retweeted
I once said here that by December, all legacy bloggers will be supporting Ruto and tutam and you guys thought I was joking? Take it to the bank all of them will be singing tutam apart from the very few who'll be in opposition to tear it apart. The pattern is simple, first, attack Sifuna and opposition leaders, second state that opposition can't defeat Ruto.
One good thing is kenyans on X are not allowing them to control the narrative here.






















