JBK / π ∆ (@KasongaJohn) header
JBK / π ∆ (@KasongaJohn) profile picture

Every new day is a new chapter of life, be blessed in God.

Mwanza, Tanzania
Joined October 2015
Photo by JBK / π ∆ (@KasongaJohn)Photo by JBK / π ∆ (@KasongaJohn)Photo by JBK / π ∆ (@KasongaJohn)Photo by JBK / π ∆ (@KasongaJohn)Photo by JBK / π ∆ (@KasongaJohn)Photo by JBK / π ∆ (@KasongaJohn)Photo by JBK / π ∆ (@KasongaJohn)Photo by JBK / π ∆ (@KasongaJohn)Photo by JBK / π ∆ (@KasongaJohn)Photo by JBK / π ∆ (@KasongaJohn)
Bora tu maana ......
Mfanyabiashara tajiri nchini Tanzania, Mohammed Dewji, amesema ana mpango wa kuwekeza dola milioni 100 za Marekani [TZS bilioni 263] katika mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta unaojengwa na mfanyabiashara Aliko Dangote nchini Kenya.
18
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Bw. Ali Kibao. Ninatoa pole kwa familia yake, ndugu, jamaa, na marafiki wote. Tanzania ni nchi ya amani, umoja, na upendo, na vitendo vya ukatili havina nafasi katika jamii yetu. Tuendelee kujenga mshikamano, upendo, na amani. Roho ya Bw. Ali Kibao ipumzike kwa amani. Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un 🙏🏼
19
114
112
1,611
171,336
JBK / π ∆ retweeted
Shambuliajie letu jipyaa
53
75
3
1,364
39,904
JBK / π ∆ retweeted
Kwa raha niliyo ipata Baada Ya Jobe Kuondoka Nafollow back Chap Chap watu 20 watakao wahi Kuchapa Handle hapa.
79
25
381
10,721
JBK / π ∆ retweeted
Hivi huyu bwana mdogo anachezea club gani huko ulaya? Kama hujui wewe weka hendo tukufollow,muwe fasta usiku umeingia 🫶🏿
264
53
4
1,156
73,736
JBK / π ∆ retweeted
Hello Dears ♥️ Tunapokua kwenye movement za kujitafuta tunajifunza kutosheka sio kushiba ili tujitengenezee mazingira ya kushiba bila kuteseka baadae unapokua mwenye nguvu bado ndipo ilipo fursa ya wewe kuchagua heshima yako au unyonge wako wa baadae PAMBANA💪🥰
63
68
2
130
3,480
Mhhh
This quoted post is unavailable.
20
Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary
16
Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary
12
🇵🇹❤️ #VesteABandeira
9,432
27,427
1,039
639,510
36,842,931
JBK / π ∆ retweeted
💛💚
302
251
26
6,424
170,365
Sala ya Kutamani: Roho yangu inakutamani Mungu wangu, ndiwe mwenye kunifurahisha, ndiwe mwenye kuniletea heri. Unionee huruma, unifanyie neema kuu, uje kuniangalia, uje kukaa kwangu nami nikae nawe. radiomaria.co.tz #RadioMariaTz – at Dar es Salaam, Tanzania
12
36
383
6,249
It’s matchday.
41
132
4
3,267
60,217
Usiache chochote kwenye moyo wako kwa mtu yoyote. Mauti huja ghafla mno, Samehe na puuza na dhania dhana njema, kwani uhai ni kijisehemu tu, unastahiki kuishi kwa raha. Ijumaa Mubarak.
11
17
174
11,138
JBK / π ∆ retweeted
Mkandaji gani leo amewakanda vizuri wakamiaji 🇧🇫 @Aziz10Ki 🇹🇿 Waleed Mzize 🇨🇮 Yao Yao 🇨🇩 Maxi Nzengeli Mbappe 🇺🇬 Khalid Aucho Jisajili kidigital na @CRDBBankPlc upate kadi yako ya uanachama papo hapo
170
60
8
1,609
50,508