ManSimba (@Kanali23) header
ManSimba (@Kanali23) profile picture

Content Creator|Athlete|Commentator|Blogger|NBCPL|Avoid P®n&S³x

Tanzania
Joined September 2023
Photo by ManSimba (@Kanali23)Photo by ManSimba (@Kanali23)Photo by ManSimba (@Kanali23)Photo by ManSimba (@Kanali23)Photo by ManSimba (@Kanali23)Photo by ManSimba (@Kanali23)Photo by ManSimba (@Kanali23)Photo by ManSimba (@Kanali23)Photo by ManSimba (@Kanali23)Photo by ManSimba (@Kanali23)
Habari za siku wadau wangu wanguvu? Elon anasemaje huku?
2
76
Utakula hili papai au utaacha?😂😂
442
Wadau, hii ni kweli?
45
Jonathan Sowa avunja rekodi ya JKT Tanzania Meja Jenerali Isamuhyo. Sowa ameifungia Singida Black Stars goli pekee lililoipa ushindi timu yake huku akiibuka Man of the Match. Kabla ya hapo JKT haikuwahi kufungwa msimu huu nyumbani hata Yanga ilishindwa kuivunja.
28
5
27
991
JKT Tanzania Waibana Yanga mbavu na kutoa Suluhu (0-0). Yanga walikuwa busy kumpromote Chasambi aliyejifunga na Simba kutoka sare ya 1-1,leo nao kimewakuta cha sare ya kutofungana katika dimba la Meja Isamuhyo. Katika mchezo huo beki Wilson Nangu ndiye alikuwa kivutio kwa kuwazuia washambuliaji wa Yanga wasilete madhara langoni kwa JKT.
25
3
26
2,154
Andika 789 kisha toa miaka yako uliyonayo jumlisha 1235 ,majibu utakayoyapata utashangaa,usiniite mchawi tu.
30
5
27
2,594
Mbona wanasenga education is a key na mwizi anayekuvunjia nyumba hajasoma? Akili mtu wangu!😂
15
1
17
1,003
Sema huyu mwana Ladack Chasambi kutoka mitaa ya Msimbazi Simba sports club anatrendi sana Bongo. Alisema anamzimia Maxi Nzengeli na pale Simba hakuna role model wake😂 Juzi akachoma kibanda kwa shuti kali. Sasahivi kinamuwakia,hata apige picha kwa Samsung au iPhone 15 hatabasamu😂
36
8
70
6,601
Good morning buddies, what have you planned for this weekend?
32
6
29
1,963
Newcastle imeigaragaza Arsenal na kuichomoa kwenye michuano ya Carabao cup kwa magoli 2-0. Walidhani Newcastle ni Manchester city eeh! Kimewaramba
40
4
41
1,284
YANGA BILA RAMOVIC YAFANYA MAUAJI Mabingwa watetezi wa nbcpl Yanga wamefanikiwa kuendeleza wimbi la ushindi ligikuu kwa kuichapa Kengold magoli 6-1. Ushindi huo mnono unakuja wakiwa chini ya kocha mpya baada ya kuachana na Sead Ramovic na kukwea kileleni mwa msimamo huku Simba ikisubiriwa kucheza na Fontain Gate,endapo hawatashinda basi Yanga itasalia kileleni.
30
4
23
1,160
SEAD RAMOVIC AITOSA YANGA ATUA CR BELOUZIDAD Taarifa za kushtua kutoka ndani ya timu ya Wananchi Yanga sc zinasema kocha mkuu Mjeruman wa soka la #GusaAchiaTwendeKwao ameondoka kikosini. Taarifa zaidi zinanyetisha kwamba Ramovic alikuwa akilipwa $15,000 na Yanga na CR Belouzidad wamemuwekea mshahara mnono wa $40,000 kiasi ambacho ni kikubwa sana. Offer hiyo imemvutia mjerumani huyo na kuanzia sasa hatakuwa sehemu ya kikosi,hivyo aliyekuwa kocha mkuu wa Singida Black Stars Hamdi Miloud atachukuq rasmi nafasi ya Sead Ramovic ambaye tayari ameshasaini mkataba mpya na CR Belouzidad
171
Baada ya Arsenal kuwachapa man city kono la nyani 5-1 sasa wanaenda Dubai kula bata. Good night buddies.
12
1
13
1,257
Hebu leo tumalize huu ubishani wa hawa ma rapper wawili Drake na Kendrick Lamar, nani mkali? Achana na tuzo za Grammys ambazo Kendrick Lamar aliwagaragaza Drake na Kanye West aka Ye mwenye vituko na mkewe Bianca Censori.
24
2
23
1,640
Cristiano Ronaldo na Lionel Messi naona wanalinganishwa sana kila wakati,sasa umri unawaacha,kwani kati yao nani zaidi na kwanini?
38
3
38
1,337
Kanye West na Bianca Censori wazua utata kwenye tuzo Grammy 2025. Sijui huyu mwanamke Bianca anashida gani kwenye ubongo wake? Kwenye red capert alitoa koti lake na kubakia na nguo nyepesi ambayo ilionyesha kilakitu cha mwili wake. Baadae zilizuka taarifa za kutimuliwa kwenye tuzo hizo ambapo hata hivyo baadae ilikanushwa lakini tabia ya Bianca iliwakera wengi. Hata hivyo Kanye West baada ya Kendrick lamar kushinda tuzo waliyokuwa wakiwania kwenye category moja aliamua kuondoka na mkewe kivuruge Bianca Censori. Sasa tunajiuliza ,huyu anatumwa kuivuruga Jamie kwa tabia zake mbovu au shida ipo wapi?
29
4
33
10,199
Hivi haya makucha wanafuga Ili wafanane na mazombie au?
20
2
23
633
Kidume hii challenge Nimejaribu nimeshindwa wazee! Ila wanawake wanaiweza,sababu ni nini?
24
5
21
654
Nini kilikufanya uwe mwepesi kuoga enzi za utoto wako?
20
3
1
22
1,175