ktnleo (@KTNLeo) header
ktnleo (@KTNLeo) profile picture

Tunakuletea taarifa tendeti, za kuaminika na zisizoegemea upande wowote

Joined June 2013
Photo by ktnleo (@KTNLeo)Photo by ktnleo (@KTNLeo)Photo by ktnleo (@KTNLeo)Photo by ktnleo (@KTNLeo)Photo by ktnleo (@KTNLeo)Photo by ktnleo (@KTNLeo)Photo by ktnleo (@KTNLeo)Photo by ktnleo (@KTNLeo)Photo by ktnleo (@KTNLeo)Photo by ktnleo (@KTNLeo)
Kazungu amebaguliwa si tu na jamii bali pia kwenye maeneo ya kazi. Asema ulemavu umesababisha kampuni nyingi kutilia shaka uwezo wake wa kutekeleza majukumu. Amefanikiwa vipi na hata kupiga hatua maishani licha ya changamoto hizo? Sikiliza masimulizi yake standardmedia.co.ke/podcast/…
4
4
Ni #WawekezajiCorner @alikauleni amerudi na ubashiri mwingine. Leo wanasema hakuna GG. Michuano ni hii… Juventus V Atalanta Villarreal V Barcelona Chelsea V Man United Real Madrid V Sevilla Wamegonga ndipo?
1
11
19
Usiku huu michuano ni: Man City V PSG Atletico V AC Milan Liverpool V Porto GG wapi? #WawekezajiCorner Huu ndio ubashiri wao @SMukangai @walterkinjo @alikauleni na @robintoskin
14
12
32
Ubashiri wa michuano ya leo: Villareal V Man U; Chelsea V Juventus @alikauleni @SMukangai @walterkinjo @Kefa_Nengo
6
10
24
Unadhani maslahi ya watu walio na ulemavu nchini yanashughulikiwa ifaavyo? #KiooChaHoja @zubeidahkananu @RebeccaMuiruri1
15
13
25
Mumewe Mary alifariki baada ya kushambuliwa na kiboko, isitoshe mwanawe pia alishambuliwa na mamba. #UhasamaZiwani
1
3
1
9
Wakazi wamejeruhiwa, wamelemaa na hata kufa. Ndiyo hali ya #UhasamaZiwani Baringo
3
8
6
Kilio na majonzi ya mama Grace Talam ni dhahiri na inasikitisha baada ya mjukuu wake kuuliwa na mamba. #UhasamaZiwani
5
4
13
Majaji wa mahakama ya rufaa sasa wametangaza kuwa watatoa uamuzi wao kuhusu kesi ya rufaa ya BBI tarehe 20 mwezi wa Agosti mwaka huu, baada ya kumaliza vikao vyao vya kusikiliza kesi ya BBI. #DiraYaWiki
1
2
10
Watu watano wametoweka katika kaunti ya Nyeri katika siku tano zilizopita baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana. Watatu ni jamaa wa familia moja, huku mmoja akiwa mfanyakazi wa familia hiyo huku wa tano akiwa mfanyabishara mjini nyeri. #DiraYaWiki
1
2
4
Je, unafahamu ugonjwa wa Kala Azar? #JukwaaLaKTN @zubeidahkananu
18%Ndiyo
74%La
8%Sina uhakika
147 votes • Final results
2
5
10
Tundu Lissu: Mimi siwezi kusema mambo kama haya katika chombo chochote cha habari cha Tanzania, kwa sababu wananiogopa! @TunduALissu @PaulNabiswa
31
209
12
1,074
Tundu Lissu: Tulipoanza kupata shida za Magufuli, ndipo tukamuunga mkono Uhuru Kenyatta wa Jubilee maana Raila Odinga alikuwa rafikiye Magufuli. @TunduALissu @PaulNabiswa
11
72
1
333
Tundu Lissu: Upinzani una nguvu sana sasa hivi zaidi ya wakati uliopita, upinzani sio bungeni tu. Tuna chama kikuu cha siasa Tanzania, CCM bila polisi si kitu. @TunduALissu @PaulNabiswa
4
72
3
249
Tundu Lissu: Kuna vuguvugu kubwa Tanzania sasa la kudai katiba mpya, msimamo rasmi wa rais Samia ni kwamba wanaotaka katiba mpya watasubiri sana. @TunduALissu @PaulNabiswa
6
79
1
280
Tundu Lissu: Uchaguzi wa mwaka jana tulikuwa na nguvu zaidi kuliko wakati mwingine wowote tangu tulipoanzisha chama mwaka 1992, lakini wagombea wetu walienguliwa siku ya uteuzi. @TunduALissu @PaulNabiswa
4
55
2
225
Tundu Lissu: Kwa miaka minne sasa, polisi wamesema kwamba hawana mshukiwa. @TunduALissu @PaulNabiswa
5
79
240
Tundu Lissu: Kifo si jambo zuri, lakini akifa mtu ambaye ameua watu na kutesa watu, ni faraja. @TunduALissu @PaulNabiswa
52
189
12
854
Tundu Lissu: Miezi imekwenda lakini bado tunasubiri kuzungumza na rais Samia Suluhu, hajasema chochote kuhusu sisi tuliokimbia nchi kwa sababu ya usalama wetu, hajasema chochote juu ya kesi za uongo. @TunduALissu @PaulNabiswa
3
52
1
175
Tundu Lissu: Kuna mabadiliko, yule ambaye aliitesa nchi kwa miaka mitano amefariki, tuna rais mpya na katika miezi mitatu ya utawala wake, watu wameanza kupumua. @TunduALissu @ PaulNabiswa
14
143
4
868