OnlyOne❤️ (@KScenesHub) header
OnlyOne❤️ (@KScenesHub) profile picture

❤️🎧

Joined January 2025
Photo by OnlyOne❤️ (@KScenesHub)Photo by OnlyOne❤️ (@KScenesHub)Photo by OnlyOne❤️ (@KScenesHub)Photo by OnlyOne❤️ (@KScenesHub)Photo by OnlyOne❤️ (@KScenesHub)Photo by OnlyOne❤️ (@KScenesHub)Photo by OnlyOne❤️ (@KScenesHub)Photo by OnlyOne❤️ (@KScenesHub)Photo by OnlyOne❤️ (@KScenesHub)Photo by OnlyOne❤️ (@KScenesHub)
OnlyOne❤️ retweeted
Ifikapo 2035 idadi ya waislamu itakuwa kubwa sana kuliko wa kristo duniani .....waislamu watakuwa bilion 2.57 na wakristo bilion2.52
19
31
1
70
1,593
OnlyOne❤️ retweeted
Umasikini unadhalilisha sana, Umasikini unaua ndoto za watu, Umasikini ni mzigo, Umasikini unatesa watu, Umasikini unazika matumaini ya watu. Tumwombe sana Mungu atufanyie wepesi kuukata mnyororo wa umasikini. Good morning X Familia 👊🏾.
29
53
113
1,274
Good morning X familia, amani ya MUNGU hiwe nasi AMEEN 🙏🏾🌹
14
20
26
1,484
Good Morng X familia🌤
16
34
63
1,056
OnlyOne❤️ retweeted
Anko "Sisi Wengine Hatujazoea Kulalamika, Sababu Maisha Tuliyopitia Yametufunza kuwa wakubwa Tukiwa Bado Wadogo.
12
23
38
793
OnlyOne❤️ retweeted
Anko normalise kutumia mama hivi vikaratasi asije akawa kama yule bibi
6
17
31
404
OnlyOne❤️ retweeted
Unavaa unapendeza suti kali suti kali au code kali afu unaning'ing'iza funguo kila ukitembea zinapiga kelele kama kengelee.
16
46
72
1,043
Good morning X familia, amani ya MUNGU hiwe nasi AMEEN 🙏🏾🌤
14
24
27
1,559
OnlyOne❤️ retweeted
😂😂😂Ouya hiii itanisukuma mpka mwisho wa mwaka
Huu mwaka ushajaa mikosi sasa kulikuwa na haja gani kutuonyesha nyuchi kenyewe kadogo 🚮
1
1
1
211
OnlyOne❤️ retweeted
Itoshe kusema Video za Engonga hii Epsod 172 ndo imamaliza sana watoto wetu bafuni sisi wafanya tathimini binafsi kmmk😄 Tujikumbushie kideo hapo chini
4
4
13
947
OnlyOne❤️ retweeted
Mcheza draft anaweza kucheza kete bora zaidi ndani ya sekunde kulikoni akifikiria sana, Katika mtihani wa majibu ya kuchagua jibu sahihi huja haraka sana kulikoni ukitumia muda mwingi kufikiri, Sometime your body/instincts is smart than your brain..amini katika machale yako.
7
23
75
1,916
OnlyOne❤️ retweeted
Kumbe kuna watu bado wanatumia “Last Seen” kule Green App😂😂😂..Yaani mimi nikiwa Online watu wajue? Mimi nishakataa miaka 7 iliyopita.
38
29
7
242
13,942
OnlyOne❤️ retweeted
Unataka uanzishe biashara halafu unaenda kuuliza mtu ambaye aliwahi filisika, hivi unadhani atakupa mawazo chanya? Au sababu aliwahi Fanya hiyo biashara. Kwani kuna ugumu gani, kuuliza ambao bado wapo kwenye game. Kuna muda kufeli nikujitakia tu, badili mtazamo upate ujuzi mpya
8
31
1
47
1,147