mwekwa retweeted
Maulid njema kwa Wanasimba wote π #NguvuMoja
mwekwa retweeted
πππππππ π
ππππππππ ππ
πππ ππ πππππ πππ ππππ.
Legend John Bocco atakuwa mmoja wa wageni maalumu katika Simba Day 2026, lakini pia atashiriki mchezo wa kirafiki kama mmoja wa wachezaji wa timu ya menejimenti ya Simba. Vuta picha hapa Okwi, pale Kagere na Bocco. Kesho hiyooo. #SimbaWeek2026 #SimbaDay2026 #NguvuMoja
mwekwa retweeted
Mrembo mwenye sauti yenye mamlaka, Meena Ally atakuwepo kwenye Simba Day 2026. Vibe lake si wote mnalijua π
yupooooo!!! #SimbaWeek2026 #SimbaDay2026 #NguvuMoja
mwekwa retweeted
Simba imara hujengwa na timu imara.
Nilipata nafasi ya kukutana na baadhi ya wachezaji wapya walioungana na kikosi chetu. Nina imani wataongeza nguvu, ushindani na ari mpya kuelekea msimu ujao.
Kwa umoja, nidhamu na kazi kubwa, tutafikia malengo makubwa tuliyojiwekea na kuendelea kuijenga Simba tunayoitamani. π¦β€οΈ
#Simba #Nguvumoja
mwekwa retweeted
Doumbiaaaaa. #KagameCup2026 #NguvuMoja
mwekwa retweeted
Watu wa PLATINUM hawana jambo dogo π
Basi la kwanza kwenda kwenye uzinduzi wa Wiki ya Simba ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro tayari limejaa. Basi la pili linaendelea kupokea Wanasimba kwa kasi. Wahi na wewe sasa. #NguvuMoja
mwekwa retweeted
General Benchikha anawakaribisha wapinzani wote kupambana na Mnyama π¦ #WenyeNchi #NguvuMoja
mwekwa retweeted
Tuna mchezo mmoja mkononi na tunaenda kushinda na kuongoza KUNDI πππππππ
mwekwa retweeted
Leo ni ππππ ππ ππππππ: ππππππππ ππππππ. #VitaYaKisasi #WenyeNchi #NguvuMoja
mwekwa retweeted
Leo ni siku ya wana Simba kufuraiβ¦ wishing My team @simbasctanzania a good luck in todays Final match Against Galaxy letβs make it to the quarter final β¦π«‘π«‘
#Nguvu moja β at Copperbelt, Zambia




















