Jay-Go (@Joe_Rap) header
Jay-Go (@Joe_Rap) profile picture

Writer|Lyricist

South East Dom-Soul
Joined December 2019
Photo by Jay-Go (@Joe_Rap)Photo by Jay-Go (@Joe_Rap)Photo by Jay-Go (@Joe_Rap)Photo by Jay-Go (@Joe_Rap)Photo by Jay-Go (@Joe_Rap)Photo by Jay-Go (@Joe_Rap)Photo by Jay-Go (@Joe_Rap)Photo by Jay-Go (@Joe_Rap)Photo by Jay-Go (@Joe_Rap)Photo by Jay-Go (@Joe_Rap)
DREAMS ft FID Q,, hii Ngoma mjadala ulianzia hapa enzi za Twitter ,, Kwa sasa Deni tushalikamilisha!! Ahsanteni ipo kwenye all Digital platforms!
9
32
3
123
4,685
BAVICHA hatujaja kufanya siasa za mazoea โ€” tumekuja na moto mpya, mbinu mpya na nguvu mpya Vijana wa Tanzania sahani imeshaandaliwa sasa ni muda wa kula matokeo ya maandalizi makubwa yaliyofanywa kwa weledi na uthubutu Hongera sana @AdvMahinyila, @FeliusFesto na Kamati Tendaji yote ya BAVICHA taifa The movement is alive again. We are so BACK โœŒ๏ธ
7
59
235
2,578
Asante sana Mwenyezi Mungu. Jina lako libarikiwe.
152
537
23
3,045
77,391
MAHAKAMA KUU YA TANZANIA YAIZUIA OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUISIMAMISHA CHADEMA AU KUITOZA FAINI Katika hoja zilizowasilishwa Mahakamani, Mawakili wa CHADEMA walidai kuwa Msajili tayari ameonyesha msimamo dhidi ya chama hicho kabla hata hakijajibu barua ya tuhuma Mahakama ilinukuu hoja hiyo ikisema โ€œthe Registrar has already formed a decision to ban CHADEMAโ€™s political activities by suspension of its registration or take punitive measure irrespective of the defence CHADEMA would advance.โ€ Pia Mawakili walieleza kuwa mchakato huo unaonesha ukosefu wa haki kwa sababu Msajili ndiye mlalamikaji, shahidi na wakati huohuo ndiye anayepaswa kutoa uamuzi Mahakama ilinukuu hoja hiyo kwa kusema โ€œthe Registrar is the complainant, the intended witness and the judge of his own causeโ€ฆโ€ Baada ya kupitia hoja hizo, Mahakama Kuu iliona kuna hoja zinazostahili kusikilizwa na kuamua kutoa zuio la muda dhidi ya Msajili. Katika uamuzi wake Mahakama ilisema โ€œAn interim order prohibiting the first respondent from taking any adverse action against CHADEMAโ€ฆ is granted.โ€ Hivyo kwa sasa Msajili amezuiwa kuchukua hatua yoyote dhidi ya CHADEMA ikiwemo kukisimamisha au kukitoza faini hadi shauri hilo litakaposikilizwa na kuamuliwa kikamilifu
2
24
97
2,637
Sawa Mimi ni keyboard warrior siendi mahakamani wala kwenye shughuli za chama Naomba picha yako moja ukiwa kwenye shughuli yeyote ya chama chetu ndugu mkeleketwa
Replying to @Mwinshehe07
Nyinyi keyboard worrier huwa mnapost tu humu seeking for attention kwa ground ukoo gheto unajamba tu
120
115
9
669
42,950
Mtu kajiapisha kambi ya jeshi huku maelfu walikuwa wanauwawa na majeruhi kupelekwa mortuary! Huu ndo uhaini! Amewekwa kwa nguvu ya dola - hata kura milioni moja hajapata! Msitutishe! Mchutame! Mtawajibika! Illegitimate president committed electoral coup! #SamiaMustGo
9
113
2
423
14,739
Jay-Go retweeted
Boda Boda leo wameokoa Maisha ya mtanzania mwezao aliekua ametekwa Naomba Repost kama appreciation kwa boda boda wote
16
356
1,453
12,287
fans are in perpetual state of "What if?"which is often more powerful than the actual reality Anticipated collabs kama hii ya JOH & FID Q ina thamani kubwa kwenye utamaduni kutokuwepo kwake Kuliko thamani ya wimbo mmoja KIU ya mashabiki juu ya collab ๐Ÿ‘‡
7
3
1
14
2,481
Nina Account ya followers 4,000/= mwenye 50k aje nimpe details za account chap
30
49
3
200
4,230
Solo Thang -Tukusa 3V (Shangazi kaja) _Produced By Black Ninjah youtu.be/on0XIvFqJV4?is=_TJjโ€ฆ via @YouTube Twende na Hii๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
10
36
1
91
9,686
#TajiriLaKihaya Kwa hio Timu za Mpira kuingia Kariakoo zaidi ya masaa 4+โ€ฆ Kusimamisha shughuli za kibiashara na hata kufunga barabara rukhsaโ€ฆ Ila CHADEMA wakiomba kibali cha hata Nusu saa pale pembezon tu- Hawaruhusiwi?? Hayaโ€ฆ
61
136
6
1,078
18,860
Ndugu Watanzania, Kwa heshima na taadhima, ninawaandikia barua hii nikiwa mwenye uchungu wa kweli juu ya hatima ya nchi yetu. Sauti yangu ni sauti ya mamilioni ya Watanzania waliokata tamaa. Ni kilio cha taifa lililonyimwa haki, likakandamizwa kisiasa, na sasa likielea bila dira.Leo tunashuhudia kilele cha udanganyifu wa kitaifa unaoitwa uchaguzi. Kinachoendelea mbele ya macho yetu si uchaguzi, bali ni maonyesho ya kisiasa yaliyotengenezwa na CCM kwa ajili ya kudumisha utawala wake wa mabavu. Mfumo wetu wa uchaguzi umepoteza uhalali. Tume ya uchaguzi haijitegemei. Sheria zimejaa upendeleo. Na uhuru wa wapinzani unadhibitiwa kwa vitisho, vifungo, na masharti ya hovyo. Katika hali hii ya giza, chama kikuu cha upinzani CHADEMA tumechukua msimamo wa kishujaa na wa kizalendo: โ€œNo Reforms, No Elections.โ€ Hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi. Hakuna tume huru, hakuna ushiriki. Hakuna sheria ya haki, hakuna maana ya kura.Msimamo huu wa CHADEMA si wa ukaidi. Ni msimamo wa kulinda heshima ya wananchi, wa kupigania demokrasia ya kweli, na wa kusema ukweli kwa ujasiri wakati ambapo wengine wanaogopa. Lakini kinachouma zaidi ni hiki: wakati CHADEMA wanasimama imara kwa ajili ya taifa, wimbi kubwa la watu โ€” hasa vijana โ€” linakimbilia kuchukua fomu za kugombea. Wengi wao hawana sera, hawana maadili, wala hawana dira ya taifa. Wanaona kutokuwepo kwa CHADEMA kama fursa ya kupenya bila ushindani. Wanadhani kuwa uchaguzi bila chama kikuu cha upinzani ni โ€œmteremko wa kisiasa.โ€ Hawajui kwamba wanashiriki katika kufunika kaburi la demokrasia. Na kilicho cha aibu zaidi ni kuwepo kwa baadhi ya vyama vinavyojiita vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi huu huku wakijua fika kuwa hakuna usawa, hakuna haki, na hakuna matumaini. Hawa si wapinzani โ€” ni wasindikizaji wa watawala. Wamesahau wajibu wao wa kupigania haki ya wananchi. Wameamua kuuza heshima ya siasa kwa tiketi ya kugombea. Sisi ndio tulipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda msingi wa โ€œNo Reforms, No Elections.โ€ Sisi ndio tungepaswa kulia na kudai tume huru. Tungepaswa kuandika, kuandamana, kuhamasisha na kushinikiza mageuzi ya kweli ya kisiasa. Lakini badala yake, tumekuwa mashabiki wa mfumo huu wa hovyo. Tumeingia kwenye siasa bila kusoma historia ya taifa letu. Tumejitosa kwenye uchaguzi wa aibu tukidhani kuwa siasa ni jukwaa la sifa na Fedha badala ya uwanja wa majukumu. Nawauliza leo: Je, ni ujasiri au ni ujinga kugombea uchaguzi ambao tayari umepangwa? Ni uadilifu au ni tamaa kugombea pasipo haki wala sheria ya haki? Na ni uzalendo au ni usaliti kushiriki uchaguzi ambao unawadhulumu mamilioni ya Watanzania kwa kimya? Wito wa โ€œNo Reforms, No Electionsโ€ si wimbo wa CHADEMA peke yake. Ni wito wa kila Mtanzania anayejua tofauti kati ya haki na hila, kati ya uongozi na ulaji, kati ya siasa safi na siasa ya hovyo. Watanzania wenzangu, huu si wakati wa vigeugeu. Si wakati wa kusubiri kufaidika kwenye mfumo uliopinda. Ni wakati wa kusema ukweli, hata kama ni kwa uchache. Wito wangu, tuunge mkono kauli ya โ€œNo Reforms, No Electionsโ€ kwa vitendo, si maneno. Tuwakemee vijana wanaogeuza siasa kuwa jukwaa la kutafuta umaarufu badala ya majukumu Tuwalaani wapinzani bandia wanaosaidia CCM kudumisha mfumo huu wa mabavu. Pasipo mageuzi, uchaguzi ni mzaha. Pasipo uchaguzi huru, hatuna uhuru. Pasipo ujasiri wa vijana, hatuna kesho.
413
994
26
2,960
97,465
Chunga, tamaa mbaya! Picha hii nzuri sana, ilipigwa siku ya Jumatatu, 17.08.2020 mbele lango kuingia katika ofisi za Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Bunda. Hii ni siku ambayo Ester Bulaya alikuwa amekwenda kurejesha fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini. Ubunge ambao hakika, tulishinda. Naonekana hapo nyuma. Uso wenye tabasamu. Nilikuwa Meneja (Campaign Manager) katika kampeni za Ester Amos Bulaya katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 Timu yetu ya kampeni ilifanya kampeni za kisasa sana katika mitaa yote 88 ya Jimbo la Bunda Mjini. Mikutano ya hadhara na kampeni ya nyumba kwa nyumba. Mchakato wote wa uchaguzi uliporwa na DOLA katili la CCM. Fomu za matokeo Na.24 wasimamizi walijaza usiku wa siku ya kupiga kura, ukumbi wa halmashauri. Mawakala wote wa CDM wakaondolewa katika vituo vya kupiga kura. Saini wakajaza wasimamizi wenyewe. Mgombea, Esther Bulaya alikataliwa kukagua fomu. Katika ngome yetu ya majumuisho, iliyokuwa katika Hoteli ya De Light, mawakala wetu walikuwa wanakuja bila matokeo, waliokuja na matokeo hayana saini. Kwa majumuisho yetu, mgombe wangu, Esther Amos Bulaya alipata kura 31,129. Lakini, kura za mgombea wa CCM 13,258 akapewa mgombea wangu, Ester Bulaya. Wakati wa kampeni, ngome yetu ya uchaguzi ilivamiwa usiku na OC-CID Bunda, na kuanza upekuzi bila kibali, majira ya saa 9 usiku. Walimkuta mgombea siku hiyo. Wakatuhoji kila aliyekuwa ndani siku hiyo kwa kuonesha vitambulisho vyetu. Ambaye hakuwa na kitambulisho, walitaka kuondoka naye. Tukaleta noma sana. Vijana wetu wa ulinzi na matangazo wakiwa katika matangazo ya mkutano wa kufunga kampeni, walivamiwa na polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya. Wengine walifanikiwa kukimbia mlimani. Wakalala huko kwa siku tatu. Vijana wetu 13, walikamatwa, wakapewa kesi ya unyangโ€™anyi wa kutumia silaha (armed robbery). Gari ya matangazo iliendelea kushikiliwa hadi baada ya uchaguzi. Siku ya kufunga kampeni tulitafuta vifaa vingine vya matangazo. Vilivyopo, vipo polisi Bunda. Baada ya uchaguzi, siku ya matokeo, Ester Bulaya akakimbilia kujificha Musoma Mjini. Kwa kuwa kulikuwa na sekeseke la kuwakamata viongozi wa CHADEMA. Ni wakati huo Polisi walimkamata Freeman Mbowe, Godbless Lema na Boniface Jacob, Dar es Salaam, kwamba wanaratibu maandamano kupinga matokeo Mimi nilibaki Bunda kwa miezi mitatu nikishughulika hao vijana wetu 13 wa ulinzi watoke gerezani. Nisingeweza kuwaacha. Walikuwa ndugu zangu wakati wa kampeni. Bunda siyo kwetu na siyo kwangu. Hapo ilibidi kuishi hotelini kwa muda wote huo. Kesi inamalizika, nikashughulikia gari na vifaa vya muziki Polisi. Siku moja tukiwa Mahakamani Bunda, tukishughulika na kesi ya vijana wale 13, tunamuona Ester Bulaya akiwa gereji chini ya tenti anaapishwa kuwa mbunge. Hakuwahi hata kunishirikisha kwamba anao mpango wa kuwa mbunge wa viti maalum. Nilishangaa tu ameibuka bungeni, Job Ndugai anamuapisha kuwa mbunge. Nikaendelea kubaki Bunda. Baada ya siku 62, vijana wetu wote waliwaachia huru baada ya DPP kuleta ombi mahakamani hana nia ya kuendelea na kesi. Polisi wakaachia gari. Vijana wetu wakashukuru. Kila mmoja akarejea kwao baada ya kusota kwa miezi miwilo na siku kadhaa gerezani wakimpambania Bulaya. Wakakumbuka ile siku ambayo msafara wa CHADEMA ukikutana msafara wa CCM jioni baada ya mkutano na vita ya mawe na mapanga kuibuka. Watu walichanika. Ester Bulaya amesahau, anajiunga na MaCCM, kutafuta ubunge ambao MaCCM yalitupora kwa watu wetu kuumizwa? Ni jambo baya. Lakini amerejea kwao. Watu wetu walipigwa mapanga na kujeruhiwa, walipewa kesi zisizo na dhamana, wakaishi gerezani kwa muda mrefu ili awe mbunge, leo anajiunga na mbogamboga? Haina noma #NoReformsNoElection
131
244
12
1,595
68,086
Humu ni Mimi tu ambaye sijatia Nia ama!?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ubunge umekuwa kimbilio la Wendawazimu,huko tuendako ni FUTUHI ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’ƒ๐Ÿฟ
1
2
8
309
Mandezi wametia Nia๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜ Ubunge imekuwa ndiyo kazi pendwa Kwa sasa,na ni Kwa sababu tu,kuna pesa nyingi za bure tu,hivi mfano Leo...Mbunge angekuwa analipwa Million 2.5 per mwezi,hakuna sitting allowances,Bajeti ya kujikimu,Yaani ajitunze Kwa mshahara huo huo,Je wangeukimbilia?๐Ÿ’ƒ๐Ÿฟ
2
2
366
Huu ndio msimamo wetu. Hakuna kurudi nyuma, hakuna kuyumba. #NoReformsNoElection
57
438
12
1,483
23,384
Leo hakuna kulala mpaka waingie IKULU. #maandamowednesday
34
95
4
826
31,730
Jay-Go retweeted
KARIAKOO DERBY 1.Naiona @SimbaSCTanzania ikipoteza na kufanywa daraja la ubingwa Kwa Yanga 2024/2025 2.Hii mind game ya ukimya,ilikuwa ya kitoto,na ndiyo itakayowaponza 3.Sioni wakishinda,wakijitahidi sana watapata Sare,ambayo Kwa Yanga Ina faida โœ๏ธ NB: #NoReformsNoElection
3
6
109
Replying to @Joe_Rap
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ila waajiriwa
1
1
1
20