Kitwango Think Bigger Tz.🧠 (@JapharyWisdom) header
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 (@JapharyWisdom) profile picture

Dunia Haina Muda wa kumsubiri Mnyonge✌️/ @YoungAfricansSc💚💛 _ @Mancity 💙🤍/ Maisha ni Darasa. Ninaandika ili TuJifunze Pamoja. #ElimikaBureNaKitwango🧠

Tanzania 🇹🇿
Joined November 2013
Photo by Kitwango Think Bigger Tz.🧠 (@JapharyWisdom)Photo by Kitwango Think Bigger Tz.🧠 (@JapharyWisdom)Photo by Kitwango Think Bigger Tz.🧠 (@JapharyWisdom)Photo by Kitwango Think Bigger Tz.🧠 (@JapharyWisdom)Photo by Kitwango Think Bigger Tz.🧠 (@JapharyWisdom)Photo by Kitwango Think Bigger Tz.🧠 (@JapharyWisdom)Photo by Kitwango Think Bigger Tz.🧠 (@JapharyWisdom)Photo by Kitwango Think Bigger Tz.🧠 (@JapharyWisdom)Photo by Kitwango Think Bigger Tz.🧠 (@JapharyWisdom)Photo by Kitwango Think Bigger Tz.🧠 (@JapharyWisdom)
Ukijua kudeal na Wajinga wajinga Umeyaelewa Maisha😀 Maisha si tu kuhusu Pesa au Mafanikio. Ni kuhusu kujifunza kuishi na aina tofauti za Watu bila kupoteza Amani, Heshima, au mwelekeo wako.
20
70
2
179
12,850
Mnajua nikiwaambia hii dunia ina watu MAKATILI huwa namaanisha sana. Watu wanadhuru watu , watu wanaharibu maisha ya watu , watu wanaroga watu. Leo hii watu wamepoteza huruma kwa wenzao , ubinafsi na husda zimefanya watu wengi waliopaswa kuwa juu bado wanaendelea kuwa chini. Sad truth , maskini kwa maskini hatupendani , hatutaki mwenzetu apate na akipata basi afe. Huku ground kama hauna sababu ya kuishi ondoka , mitaa inanuka hasad , vita , damu , nuksi , mikosi na mabalaa. Huku hapataki sifa , utaumia , ukipata ficha , waoneshe shida tu , ndio wanafurahia. Mitaa ikatufanya tuwe humble , baada ya kugundua unyenyekevu haupunguzi chochote katika maisha yetu.
1
1
11
789
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweeted
Hakuna Mtu mwenye Wajibu wa kukusaidia, usimchukulie Poa anayetoa kilicho chake kwaAjili yako. Jifunze Kuthamini Hata Vitu vidogo unavyofanyiwa. Shukuru kwa Maneno, Heshimu kwa Vitendo na unapopata Nafasi, kuwa Msaada kwa wengine pia. Thamini Watu kabla hujachelewa.
14
38
61
957
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweeted
Maisha ni mafupi kuliko tunavyodhani. Usiahirishe furaha, usipoteze muda kwa chuki, na usiishi kwa ajili ya kuwafurahisha watu. Penda, samehe, thubutu na mshukuru Mungu kwa kila siku unayopewa.🙏
11
86
1
375
11,242
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweeted
Good morning Kuna wakati unaweza kuona wenzako wakipiga hatua kubwa huku wewe ukiendelea kuhangaika kutafuta maisha Usiumie kwa mafanikio ya wengine wala usione kama Mungu amekusahau
21
36
51
1,985
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweeted
Presha ya kuwa provider inaanza mapema kuliko unavyodhani!. Wakati wewe bado unajijenga, Familia tayari imeanza kukuona kama Tumaini lao.
2
8
20
458
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweeted
Obstacles are put in your way to see if what you want is really worth fighting for.
3
12
14
164
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweeted
Good Morning Ladies and Gentlemen If you're jealous of someone else's life don't hate on them but just use them as inspiration to better your own life.
24
26
33
197
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweeted
The one big thing which change people drastically is betrayal. To call it a betrayal it must happen from your trusted and loyal person. The strong people come out with the same behaviour,just with some experience while ordinary people becomes villains. Good morning fam.
88
102
1
148
1,162
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweeted
Huwezi kubadilisha ukweli kwamba wewe ni wewe. Kwa hiyo, badala ya kujikataa, jifunze kujikubali na kujipenda jinsi ulivyo🤝 ~Wazee wa Sumbawanga✍️
11
37
1
62
893
Hakuna Mtu mwenye Wajibu wa kukusaidia, usimchukulie Poa anayetoa kilicho chake kwaAjili yako. Jifunze Kuthamini Hata Vitu vidogo unavyofanyiwa. Shukuru kwa Maneno, Heshimu kwa Vitendo na unapopata Nafasi, kuwa Msaada kwa wengine pia. Thamini Watu kabla hujachelewa.
14
38
61
957
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweeted
Usipime Thamani ya unachotoa KwaKile watachokurudishia.Usifanye Kosa hili,Vinginevyo Utajihisi hauna Thamani Tenda Wema Nenda zako,Usibebe Deni la Shukrani kwenye Moyo wako.Wema unaoufanya unaonesha wew ni Mtu wa namna gani;Mwitikio wa wengine unaonesha wao ni Watu wa namna gani
3
13
13
244
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweeted
Good morning friends of me ayo dimeji. ❤
6
12
15
256
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweeted
Kila siku mpya ni nafasi nyingine ya kuanza upya na kurekebisha pale ulipokosea.
2
11
26
456
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweeted
Tuliona historia kwenye msiba wa Wakili Allute Mughwai inasomwa kwa kupokezana watu zaidi zaidi ya watano Wewe utaacha nini duniani ambacho familia yako itapokezana kusoma kwenye wasifu wako na kitachukua muda gani?
29
41
1
147
4,829
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweeted
Tajiri hachimbi KABURI Ishi Na Watu Vizuri, PESA HUISHA MAZEE..!!
1
1
1
17
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweeted
Ukijua kudeal na Wajinga wajinga Umeyaelewa Maisha😀 Maisha si tu kuhusu Pesa au Mafanikio. Ni kuhusu kujifunza kuishi na aina tofauti za Watu bila kupoteza Amani, Heshima, au mwelekeo wako.
20
70
2
179
12,850
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweeted
Babu yangu aliwahi kuniambia; "ukitaka kuvaa nguo safi, hakikisha wewe mwenyewe ni msafi kwanza, usitangetange kutafuta nguo safi wakati wewe mwenyewe ni mchafu"🤝 Sijui Babu yangu alimaanisha nini lakini najitahidi sana kuyaishi maneno yake🤒
5
20
25
481
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweeted
Anko "Uzuri Huwapeleka Wanawake Wengi Katika Ndoa "Tabia Huwarudisha Makwao.
7
16
27
862
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweeted
Good Morng X familia🌤
21
35
1
50
1,060
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweeted
Kuzaliwa familia maskini ni rahisi kupotea kuzaliwa familia tajiri ni rahisi kua mjinga, maskini au tajiri wote hawatoroki mitego ya maisha Good morning X Familia 👊🏾
17
24
33
800