桜庭 麗愛 @イラスト鑑賞 retweeted
#PATCME
Join us for an insightful session on "Oxygen Therapy for Sick Children"!
🗓 Wednesday, 8th October 2025
🕔 5:00 PM
👩⚕️ Presenter: Dr. Castory Mwanga
🎙 Moderator: Dr. Yustina Tizeba
Link: meet.google.com/sgx-phzc-mgc
Don't miss this crucial learning opportunity!
桜庭 麗愛 @イラスト鑑賞 retweeted
Mwezi wa uhamasishaji wa saratani za watoto Duniani.
#FahamuSarataniZaWatoto
桜庭 麗愛 @イラスト鑑賞 retweeted
Save the Date: August 6, 2025
PAFLAR CME Session
Topic: 2025 ACR Lupus Nephritis Treatment Guidelines
Join us for an insightful session on the latest updates in managing lupus nephritis.
🔗 Register now to secure your spot: paflar.org/activity/2025-acr…
桜庭 麗愛 @イラスト鑑賞 retweeted
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Dkt. Delilah Kimambo ametoa wito kwa benki ya NMB kutoa elimu ya uwekezaji kwa waajiriwa ili kujiimarisha kiuchumi.
桜庭 麗愛 @イラスト鑑賞 retweeted
✨Grateful beyond words✨
To my family, friends, patients ( their families), and colleagues thank you for walking with me through this humbling PhD journey in search of truth and lasting impact
Join me virtually for my Public Defense. Let’s cross this milestone together. 💫🙏
桜庭 麗愛 @イラスト鑑賞 retweeted
Kigezo kikubwa cha ubora wa huduma za afya ni maarifa na ustadi wa wahudumu wa afya.
Mafunzo ya muda mfupi hutoa fursa ya kuongeza maarifa na stadi.
Kuna changamoto kwenye utoaji wa huduma kwa wagonjwa wa figo, ili kupunguza hizi changamoto ni lazima wahudumu wajengewe uwezo.
桜庭 麗愛 @イラスト鑑賞 retweeted
Chuo kikuu na hospitali ya KCMC wameandaa mafunzo kwa watoa huduma kwa wagonjwa wa figo.
Mafunzo haya yanasimamiwa na Mwalimu wetu Prof @kajiru. Hii ni fursa muhimu kwa wataalamu kujenga uwezo katika eneo hili.
桜庭 麗愛 @イラスト鑑賞 retweeted
Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi @muhimbiliuniver kimeandaa mafunzo ya huduna kwa wagonjwa wa figo wanaopata huduma ya Dialysis
Mimi pia nitashiriki katika mafunzo haya ili kutoa uzoefu kwenu na kujifunza pia
Nafasi ni chache, fanya hima ujiandikishe mapema.
桜庭 麗愛 @イラスト鑑賞 retweeted
Nikiwa na Team ya madaktari bingwa bobezi wa magonjwa ya saratani za watoto kutoka mataifa mbalimbali. Imekua fursa ya kujifunza na kutengeneza mtandao mpya wa marafiki.
桜庭 麗愛 @イラスト鑑賞 retweeted
🥳 KARIBU KWENYE KONGAMANO LA 13 LA KISAYANSI LA MUHAS
Tukio linalowaleta pamoja watafiti, wanasayansi na wavumbuzi kutoka kila pembe ya dunia🌎
Usikose fursa hii adhimu ya kushiriki:
📆 18 mpaka 19 Juni, 2025
📍MUHAS , Kampasi ya Mloganzila
⏰ 2:30 Asubuhi
桜庭 麗愛 @イラスト鑑賞 retweeted
Utafiti uliofanywa na wataalamu wa Afya wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, umeripoti uwepo wa dawa za kufubaza Virusi vya Ukimwi kwenye nyama na vyakula vya mifugo (kuku na nguruwe).
bnrc.springeropen.com/articl…
桜庭 麗愛 @イラスト鑑賞 retweeted
Hii nchi ngumu sana. Ila laiti kama wangekuwa wanajua madhara yake.
Utafiti uliofanywa na wataalamu wa Afya wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, umeripoti uwepo wa dawa za kufubaza Virusi vya Ukimwi kwenye nyama na vyakula vya mifugo (kuku na nguruwe).
bnrc.springeropen.com/articl…
桜庭 麗愛 @イラスト鑑賞 retweeted
Tunakusherehekea @mBongo, kongole kwako na team ya @TheRidgeDar, mnafanya kazi nzuri sana.
桜庭 麗愛 @イラスト鑑賞 retweeted
Please support this GoFundMe by donating or sharing—every bit of help makes a difference. gofund.me/32982ac4
桜庭 麗愛 @イラスト鑑賞 retweeted
…I humbled by the invitation to give a talk in the 2025 PAFLAR congress.
….together for a better future.
桜庭 麗愛 @イラスト鑑賞 retweeted
Karibuni kwenye hili kongamano tujifunze jinsi ya kuboresha tiba kwa watoto wa Afrika
KONGAMANO LA 5 - LAGOS
桜庭 麗愛 @イラスト鑑賞 retweeted
The fifth Congress…
Lets join hands to improve care for all African children with Rheumatic Diseases.































