James Mbowe (@JamesMbowe4) header
James Mbowe (@JamesMbowe4) profile picture
Tanzania
Joined July 2020
Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)
Chuki kubwa waliyonayo watu wengi dhidi ya watu waliofanikiwa kisiasa au kiuchumi inatokana na Umaskini wa kipato na umaskini wa fikra. Chuki ikizidi huzaa roho mbaya na roho mbaya na Uchawi ni kama kurwa na dotto.
165
9
28
75
44,292
Hakikisha wanaokuzungaka hawakuzunguki.
46
2
5
80
13,896
Taarifa kwa Umma. Leo ndugu yetu @malisa_gj alikuwa anarejea nyumbani kutokea Nchini Marekani, alikokuwa amekwenda kwa Program maalum ya wamarekani kupeleka viongozi vijana, nitaeleza kesho kwa kina Malisa alishukia Nairobi na kisha kubook ndege nyingine ya Shirika la Flightlink iliyokuwa itue uwanja wa ndege wa kimataifa Kia majira ya saa Sita mchana. Wafanyakazi wa uwanja wa ndege wa Jomo Kenyata airport wana mgomo ulioanza siku ya jana na mgomo bado unaendelea hali iliyopelekea mashirika ya ndege yanayotumia uwanja wa Kenya kufungwa kutokana na mgomo huo. . Sasa ndugu yangu alinipigia simu na kunielezea hali hiyo tukashauriana kwasababu Kenya siyo mbali nikamshauri kwasababu hatujui mgomo utakwisha lini nikamwambia achukue Bolt aje mpaka Count ya Kajiado ambapo na mimi niliendeshq gari kutoka Moshi mpaka Kajiado, nikamchukua tukaanza safari ya kurudi nyumbani tukafika Namanga majira ya saa 10 jioni akafanikiwa kugonga passport upande wa Kenya na alipofika upande wa tz wakachukua passport yake na kumwambia aingie ndani kwasababu passport yake haionekani kwenye mfumo. Nimekaa nae pale mpaka majira ya saa tatu kasoro ambapo maafisa uamiaji kwa kushirikiana na watu wengine ambao hawakuwa na sare walimchukua Malisa wakasema wanampeleka kituo cha Polisi Longido, nikaenda mpaka Longido, nilipofika pale nikamuulizia kwa askari aliyekuwa zamu akasema pale hajapelekwa, lakini akaniambia gari ilyokwenda kumpakia aina ya Hillux double cabin ilipita kituoni wakati wanakwenda Namanga walivyorudi hawakusimama gari ilipitiliza ikiwa kwenye mwendo Mkali. Nimefika kituo cha Polisi Arusha wamesema hajaletwa hapa, nimeondoka naelekea kituo cha polisi Moshi, Ni wito wangu kwa Askari wa Uamiaji watueleze ndugu yetu yuko kituo gani ili tuweze kumpatia Chakula, Jeshi la uamiaji ndio watu pekee wanaojua alipo ndugu yetu maana wao ndio waliomshikilia mpaka anachukuliwa Namanga. . Malisa ni mtu mwema sana sana hanaga shida na mtu hakustahili haya anayotendewa.
85
49
15
263
126,327
James Mbowe retweeted
Kutetea wizi na Ufisadi ni kazi ngumu sana , inahitaji mtu ajitoe ufahamu na ahifadhi akili zake kabatini ndioo aendelee kumtetea mwizi . Ufisadi wa taasisi ,ukilindwa na wana taasisi kunaidhoofisha sana taasisi husika ,ni suala la muda tu .
8
14
52
49
32,965
ko wapi ile zoom meeting? Ushauri wangu kwa Vijana wenzangu kabla hujasambaza taarifa yoyote Hakika kwanza ukweli wa taarifa yenyewe. Hii tabia ya kuchafua majina ya watu reja reja hawa wanaharakati watawaingiza kwenye mtego mbaya mshindwe kujinasua, kuna siku mtamchafua mtu ambaye hamwachii Mungu hapo ndio kilio na Kusaga meno kitakuwa kwako na nduguzo. Akili za kuambwa changanya na zako. Asikiaye na afahamu.
86
6
3
36
19,110
Baba Mchungaji @revdrelionakimaro kwanza nianze kwa kukupa pole kwa taarifa hii ya Uzushi dhidi yako iliyotengenezwa na wanaharakati na kusambazwa kimkakati ili kuchafua Heshima yako na Heshima ya Kanisa. . Kwanza kabisa walioandaa Bango hili Hata hawajui Muundo wa Kanisa ndio maana kwenye hili Bango wameandika KKKT Dayosisi ya Kijitonyama. Kwenye Kanisa hatuna hiyo Dayosisi. Bali tuna KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani Usharika wa kijitonyama. . Najua umetukanwa sana mtandaoni kwa jambo ambalo Hata wewe hulijui nachoweza kukuambia jipe moyo Mkuu kwani Muda ni mwalimu mzuri kuna Siku Watanzania watakuja kugundua mpango na nia Ovu ya wanaharakati ya kuzusha na kusambaza taarifa za Uongo ili kuchafua na kuharibu reputation za watu. Maadamu sasa wamefika kwa Mtumishi wa Mungu tena kwa jambo ambalo halina ukweli wowote uwe na Hakika Mungu hatanyamaza.
75
7
5
74
30,517
Nichukue nafasi hii kipekee kuwapongeza @airtanzania kwa namna wanavyo badili ratiba za ndege mara kwa mara. Mfano leo ndege ya Air Tanzania iliyokuwa iruke kwenda Kigoma saa 5:40 imesogezwa mpaka saa 9:30 sababu wanasema ni Operation yaani siyo hata kwamba hali ya hewa ni mbaya au ndege mbovu bali ni sababu za Uendeshaji. Yaani mnaacha Abiria wanatoka majumbani usiku wanawahi Airport alafu kwa Urahisi kabisa bila Aibu mnatangaza ni sababu za kiuendeshaji. Kwa kweli kutoka Moyoni niwapongeze sana hii inaonyesha ni kwa jinsi gani Shirika letu linavyowajali wateja wake. Kuna mtu aliwahi kuniambia Kirefu cha ATC ni Anytime Cancelation, sasa nimeanza kumwelewa.
100
41
14
567
67,117
Power is not permanent Be humble. Acha nyodo
7
3
8
19,941
Hai kwanza, Pamoja Tutashinda .
39
6
2
110
8,417
Kwake tunaishi na kuwa na Uzima wetu
14
1
1
27
5,640
Jifunze kujisikiliza,
1
1
18
3,783
Mungu akupe Maisha marefu yenye Heri na Baraka nyingi MCHUNGAJI Dr Eliona Kimaro.
12
15
2
177
7,959
Shirika la umeme @Tanescoyetuna wananchi wa Tunduma wamewakosea nini mbona swala la kukatwa kwa umeme huku limekuwa extremely? Au usikute hawa wanahesabika kama wazambia! Hebu fikiria uchumi bila Nishati ya uhakika, mnachochea sana watu watafute bar zenye Generator wachaji simu wakati wanachaji simu na wenyewe wanatumia muda huo huo kujichaji 😭😭
9
6
1
67
5,844
Rais wa Baraza la Maaskofu nchini, Askofu Wolfgang Pisa O.F.M. Cap, amekanusha vikali taarifa iliyotolewa na jeshi la Polisi kwamba Katibu Mkuu wa Baraza hilo Fr.Dr.Charles Kitima (PhD) alikua anapata kinywaji kabla ya kushambuliwa. "Hakuna baa katika eneo aliloshambuliwa Fr.Kitima na hivyo hakuwa anapata kinywaji kama inavyoelezwa. Pale ni mgahawani. Kusema mtu alikua anakunywa saa zote hizo si kweli. Tunaandaa taarifa kamili, tutaitia itakapokua tayari" Amesema Askofu Pisa.
20
35
1
286
12,442
Family over everything 🙏🙏
8
11
2
134
11,071
Pumzika kwa Amani ya Kristo Yesu Papa Francis. Umevipiga vita vizuri mwendo umemaliza na Imani uliilinda Upumzike kwa Amani🙏🙏
7
13
1
90
7,137