Ni kawaida katika nchi nyingi duniani siasa huwagawa watu kutokana na tofauti za mtazamo. Hata hivyo yako mambo ambayo kwa maslah ya taifa huwaunganisha. Kama ambavyo michezo\ misiba inavyotuungasha,Kushikiliwa kwa ndege yetu huko SA, kunastahili kutuunganisha na siyo kutugawa.