January Makamba 2015 (@JMakamba2015) header
January Makamba 2015 (@JMakamba2015) profile picture

Habari zinazomhusu Ndugu January Makamba. Pamoja Tujenge Tanzania Mpya. #TanzaniaMpya

Tanzania
Joined April 2012
Photo by January Makamba 2015 (@JMakamba2015)Photo by January Makamba 2015 (@JMakamba2015)Photo by January Makamba 2015 (@JMakamba2015)Photo by January Makamba 2015 (@JMakamba2015)Photo by January Makamba 2015 (@JMakamba2015)Photo by January Makamba 2015 (@JMakamba2015)Photo by January Makamba 2015 (@JMakamba2015)Photo by January Makamba 2015 (@JMakamba2015)Photo by January Makamba 2015 (@JMakamba2015)Photo by January Makamba 2015 (@JMakamba2015)
January Makamba 2015 retweeted
Tumeanza.
17
49
88
January Makamba 2015 retweeted
Gadson njama akionyesha jinsi january makamba alivyo pokelewa mponde youtu.be/BJvQuz4OD68 via @YouTube
2
8
Matokeo ya Kura za Maoni CCM, Ubunge Jimbo la Bumbuli.
12
9
24
January Makamba 2015 retweeted
Asante wana-CCM wa Bumbuli kwa kunipa kura za kishindo (asilimia 87) ili nipeperushe bendera yetu. Imani huzaa imani.
68
83
109
January Makamba 2015 retweeted
Hakuna haja ya kuomba kura.
14
20
1
45
January Makamba 2015 retweeted
This 90-something man at Mbuzii village said he "pressed the button" for light for first time in his life last week.
22
68
86
January Makamba 2015 retweeted
Wananchi na Mbunge na wao. Mponde, Bumbuli, juzi.
11
19
47
January Makamba 2015 retweeted
Kwa mara ya kwanza katika kampeni, kwa siku 60, wapinzani watalazimika kutetea chaguo lao la mgombea. Kwenye siasa, kujitetea ni kushindwa.
152
173
191
January Makamba 2015 retweeted
Nawashukuru wananchi wa Mponde, Bumbuli, walioniambia leo kwamba sina haja ya kuomba kura, tayari wananiunga mkono.
16
32
71
January Makamba 2015 retweeted
Reelection guaranteed in Bumbuli. Very happy to be back with my people.
16
29
64
January Makamba 2015 retweeted
Mapokezi jana kwenye kampeni za kura za maoni, Kata ya Mayo, Bumbuli.
7
16
29
January Makamba 2015 retweeted
Leo tunawakumbuka mashujaa wetu, Watanzania wenzetu waliopoteza maisha yao kwasababu ya kuutafuta au kuulinda uhuru na usalama wa nchi yetu.
10
35
40
January Makamba 2015 retweeted
Jana, Kiviricha, Bumbuli. Mzee huyu aliniomba niache mkutano nikasikilize shida yake. Nilimkubalia.
7
31
61
January Makamba 2015 retweeted
Dear @POTUS, welcome back to Africa. When you last visited in 2013, I wrote you a letter. I think it's still relevant http://t.co/tyxBI9w1NR
3
51
49
January Makamba 2015 retweeted
3
5
January Makamba 2015 retweeted
January Makamba akizungumza na Hassan (Hance the Music) kijana mwenye ndoto ya kuwa msanii youtu.be/l3fm-Q3baL8
1
10
15
January Makamba 2015 retweeted
Kampeni kijiji cha Baga, Bumbuli, leo. Nimeguswa na mama huyu aliyenishika kichwa na kusema "Hatutakutupa".
10
18
39
January Makamba 2015 retweeted
#TBT Maongezi na kijana Hassan (Hance Music) wa Buhangija, Shinyanga. Ndoto yake kuwa msanii instagram.com/p/5e6RJMB3i5/
8
23
January Makamba 2015 retweeted
Leo nimejiandikisha kupiga kura katika kijiji chetu cha Mahezangulu, Bumbuli. Sote tujiandikishe. #PigaAuPigika
21
35
68