Pinned Tweet
Before I die I want my last words to be
لآ اِلَهَ اِلّا اللّهُ مُحَمَّدٌ رَسُوُل اللّهِ
La ilaha ill Allah Muhammadur-Rasul Allah. Ijumaa Qareem
Chuo Cha Ushirika Moshi uwanja wao unachezewa ligi kuu
Hapa sio Azam Complex au KMC Complex bali huu ni uwanja wa Football wa Chuo cha Muhimbili (MUHAS). Sidhani kama kuna chuo chochote Tanzania hii chenye uwanja wa Football wa hadhi hii. Pia pale pembeni kuna ujenzi wa jengo la mazoezi yaani Gym unaoendelea.
73
Ghost retweeted
Jezi yenye hadhi ya mashindano makubwa barani Afrika 🙌
Rejareja - Tsh. 50,000
Jumla - Tsh. 40,000
Zinapatikana katika duka la JayRutty lililopo Morocco Square, ghorofa ya kwanza. #NguvuMoja
Ghost retweeted
Simba SC have unveiled their home, away and third kits for the 2026/27 CAF Champions League campaign. 🇹🇿
Three new looks for the giants!
Which one is your favourite, guys? 👀
#SimbaSC #NguvuMoja #CAFCLwithMicky #AfricanFootball
Ghost retweeted
👕 𝐔𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐂𝐀𝐅 𝐂𝐇𝐀𝐌𝐏𝐈𝐎𝐍𝐒 𝐋𝐄𝐀𝐆𝐔𝐄 𝟐𝟎𝟐𝟔/𝟐𝟕 👕 #NguvuMoja
Katika duka zako mtafutaji waombee watafutaji wenzako pia.Tunaweza kuwa tupo katika mapigano tofauti lakini vita yetu ni Moja kujikwamua katika umasikini na kuzisaidia familia zetu.
114

































