Nature/Wildlife/People. (@IssaRanger) header
Nature/Wildlife/People. (@IssaRanger) profile picture

Worldwide adventures & MEMES. Lets share our similarities and celebrate our differences. Urafiki wa pesa siutaki.

Kilimanjaro, Tanzania
Joined August 2017
Oya mbona hatujastuana mapema juzi tu jumanne nimepita hapa ningebeba hata ya kwenda kujaza home kwenye mtungi,na nilisimama kabisa aisee
Naskia Oldonyo Lengai inacheua gas huko...inaonekana mzigo upo mwingi chini 😅
1
1
5
457
Replying to @Kicheche_jr
Saa itakuwaje
1
29
Tajiri mume mtarajiwa wa mtu
1
19
Replying to @salmakorosho
Embu njoo pembeni tuzungumze, maana huku kwenye watu wengi watakuamulia
1
37
Replying to @salmakorosho
Mdada mzuri hayo ni manyunyu tu ya mvua kuna sehemu nimepita imeninyeshea
1
53
Hii maafuriko huku Serengeti msijeshangaa fisi zikiletwa town na haya maji.🤣🤣
4
268
Speed ni 50 ukajifanya jeuri ticket yako utakutana nayo Naabi.
7
486
Wadau wa mikato kuna mtu anacho hiki, bei iwe rafiki lakini.
3
176
Pale mti wa shetani dude linakula upepo tu taratiibu. @Dingiiiiiii kaka kwanini paliitwa mti wa shetani 🤣🤣🤣
1
1
8
1,559
Replying to @Psiteshio1
Hehehe
1
1
56