Salum 40sℹ™🇹🇿 (@Inyud_u) header
Salum 40sℹ™🇹🇿 (@Inyud_u) profile picture

Never tell me sky's the limit when there are footprints on the moon.

East Africa
Joined January 2012
Photo by Salum 40sℹ™🇹🇿 (@Inyud_u)Photo by Salum 40sℹ™🇹🇿 (@Inyud_u)Photo by Salum 40sℹ™🇹🇿 (@Inyud_u)Photo by Salum 40sℹ™🇹🇿 (@Inyud_u)Photo by Salum 40sℹ™🇹🇿 (@Inyud_u)Photo by Salum 40sℹ™🇹🇿 (@Inyud_u)Photo by Salum 40sℹ™🇹🇿 (@Inyud_u)Photo by Salum 40sℹ™🇹🇿 (@Inyud_u)Photo by Salum 40sℹ™🇹🇿 (@Inyud_u)Photo by Salum 40sℹ™🇹🇿 (@Inyud_u)
Kifo chako kimetuachia funzo na kuwatambua wale wazalendo wa kweli na wale wafuata upepo kama bendera Unaanzaje kunilazimisha nimkubali kiongozi ambaye hata haeleweki? Endelea kustarehe kwa amani Mzalendo no.1 Afrika hakika ardhi yatu ipo siku itanena ukweli.
6
17
1
60
Ndio
This Post is from a suspended account. Learn more
38
Just Imagine🤣🤣🤣🤣
28
Asante Mungu kwa kuniondolea mnafiki mwengine katika hii app, tuna viongozi hovyo sana taifa hili Sijaona sababu ya alichokifanya🚮
1
1
88
Endelea kupumzima kwa amani JPM
This Post is from a suspended account. Learn more
40
Huyu jamaa kama akili zako haziko sawa hutamuelewa kabisa.. na unaweza mkubali kimya kimya.. #NIPENI_MAUA_YANGU
26
Hoja hujibiwa kwa hoja mh @Nnauye_Nape
unavailable
161
kumekucha, mikataba hii haina tofauti na ile ya awamu ya nne
16
kumekucha, mikataba hii haina tofauti na ile ya awamu ya nne
1
12
Hizi acc. waendeshaji ni wale wale wa enzi ya JPM, sema hapa wanataka kututoa kwenye reli tujisahau, Genge ni lile lile tu, #teammsogakazini
10
Ni Tanzania pekee, ambapo bunge linaacha kujadili vitu vya msingi vya taifa na kuona ni bora limpongeze mtu mmoja tena wa muhimili mwengine wa Dola, na sasa watajadili bajeti nyengine na kuipitisha ili waendelee kuishi kama malaika, ni upuuzi unlimited🚮🚮🚮🚮🚮
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22 itajadiliwa kwenye mkutano ujao wa bunge, Novemba 2023, baada ya kamati za hesabu za Serikali kumaliza kazi zake.
1
1
2
69
kuzima comment ni dalili ya hofu na uoga
unavailable
1
19
Hii ndio Israeli ya kweli👇
Israel inawaonea sana Wapalestina.
19
Mapapai
We say no to Uganda’s homophobic laws; they must be rejected as both unAfrican, anti-human and godless! Sexual activity between two consenting adults is non of any government’s business. Homosexual rights, are human rights! Period!
15
Sasa tunaijua rangi yako, kumbe wewe na fatma tofauti zenu ni majina tu...🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
We are here to send our strong message against Uganda’s Anti-Homosexuality Bill.
14
Kama sio maigizo basi, tuseme tu kuwa dunia imefikia pazuri, watu wameamka...
The BBC presenter asks the American university professor and economist Jeffrey Sachs and mentions China's human rights violations, and the latter replies: I don't know why you should start this interview with human rights violations in China! What about the US violations of human rights in Iraq, Syria and Libya...
7
Replying to @venusnyota
@venusnyota Tunataka kujua hii nchi ya Dubai iko bara gani tafadhali, umakini mnauachaga wapi hadi mnafikia kupost bila kuhakiki??
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba, kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa Balozi wa Tanzania, Nchini Malawi. #MillardAyoUPDATES
16
kuna jambo linaandaliwa hapa, why ifanyike kipindi ambacho vp wa US yupo hapa nchini? Tuisubiri kesho!!!
44
Nasemaje kanisa la roman linatumika sana kusambaza agenda za kishetani mkubali mkatae hebu someni sana historia ya kanisa hili lakini pia someni sana maandiko ya vitabu vya unabii kitabu cha Daniel na Ufunuo. Acheni kujifanya vipofu msio ona
2
136