
C.E.O..@WazawaUnit #DomCityBoy
Dodoma
Joined August 2013
- Tweets12.9K
- Following817
- Followers21.7K
- Likes1.7K
IMMA SADALA retweeted
#DriveShow: “Sababu kubwa ya ndoa kuvunjika sababu kubwa ni Wanaume kutokuwa na PESA. Mwanamke ni ngumu sana kumvumilia mwanaume asiyekuwa na pesa” – Dokta Jackson Mndeme @ukombozi_wa_familia
#DriveShow #FunguaButi #EastAfricaRadio
Ukiachana na kupata marafiki wapya..lakini ndani ya huu mtandao wa X utapata elimu kubwa mnooo katika nyanja mbalimbali..elimu hiyo huwezi ipata fb,insta wala tiktok
1
84
IMMA SADALA retweeted
Kingine cha kujifunza kwenye huu uchaguzi ni kuwa na akiba ya maneno kuepusha aibu za badae,unaweza mtukana mtu leo halafu kesho anakuwa boss wako.
Mnaomlalamikiaga tajiri @moodewji kuwa hatoi pesa mara zile bilioni hajaweka pale msimbazi..Je kipindi hiki anavyoshusha vyuma vipyaa mmejiuliza hizo hela zinatoka fungu gani??
Mjitokeze wakati huu basi ili mumsaidie kutoa pesa za usajili😀🦁🦁
Kwenye Albam ya @Roma_Mkatoliki kuna muwa unaitwa #NdoStoriItakayobakia Feat @OneSix_official oyaa nasemajeee OneSix ndo Choruskiller Tz..kaumiza sana humuuuu..by the way ni albam yamoto mnooo
IMMA SADALA retweeted
Ile @serikalikuu_ yenye mamlaka, mizuka, mistari ya kutosha na flows kali inarudi tena Ijumaa hii 17/05 , siku ambayo tutairudisha upya heshima ya muziki wa Hip Hop nchini Tanzania 🇹🇿
Prod by @ammy_wave 🌊
Pre-save Link in @serikalikuu_ bio
offstep.link/873200418254
Wana HipHop Ngumu kbs...niongeze ngoma zipi hapo playlist yng izidi kuwa yamotoo @pmawenge @NiiteSonga
@gftdson - Chadulu Mentality
Out Now ⚠️
:
Kindly help me to share
youtu.be/JakjggAk5X0?si=Z6-P…
19
IMMA SADALA retweeted
Gereza baya zaidi duniani kuishi nyumba isiyokuwa na amani. Chagua kwa hekima busara mtu unayependa kuishi nae
#Exclussive ebwana video ya #HARUFU By @Roma_Mkatoliki feat #Chidbenz kumbe anayeonekana kwa video sio chidbenz...na ilitokea coz chid alikuja location ameungua so ikabidi atafutwe mtu anayefanana na chidbenz...all in all big up director @blackxtz umeuwaa
1
65
















