MAKAVELI (@Icon_wolf_) profile picture

MBWA MWITU🐺

Tanzania
Joined April 2021
Photo by MAKAVELI (@Icon_wolf_)Photo by MAKAVELI (@Icon_wolf_)Photo by MAKAVELI (@Icon_wolf_)Photo by MAKAVELI (@Icon_wolf_)Photo by MAKAVELI (@Icon_wolf_)Photo by MAKAVELI (@Icon_wolf_)Photo by MAKAVELI (@Icon_wolf_)Photo by MAKAVELI (@Icon_wolf_)Photo by MAKAVELI (@Icon_wolf_)Photo by MAKAVELI (@Icon_wolf_)
MAKAVELI retweeted
Looking forward to the day when we start beating up politicians.
390
7,295
295
30,297
296,220
Ukweli ambao watu wengi hawaujui
Ukweli mchungu kuhusu iphone users, ukitumia cellular data yaani bando la kawaida simu ina overheat tofauti na ukitumia wi-fi.
55
Uku usipokua makini unaacha ndala😂
Kamari ngumu jaman 😂🙌
1
1
1
69
Akishakua mbili bila ndo anaanza kubembeleza kuolewa😂😂
Mtoto wa Raisi wa Kenya amenyenyekea Mwanaume mpaka ameolewa. Kuna wewe na salary yako ya Tsh 500k-1.5mil unasema huwezi nyenyekea mwanaume. Shenzzy,
1
2
92
Aaaaah kmmk🙌😂
This quoted post is unavailable.
56
Kisasi ni haki anko😂
🚨Kwaiyo kumbe Taivina aliliwa ada na kanji 2019 🤣🤣🤣 Anasema mpka wahindi watajane nan alikula iyo fee..!🤣🤣🤣
1
1
1
102
MAKAVELI retweeted
🚨Kwaiyo kumbe Taivina aliliwa ada na kanji 2019 🤣🤣🤣 Anasema mpka wahindi watajane nan alikula iyo fee..!🤣🤣🤣
42
74
2
870
28,454
Tako mbinuko ama🙄
This quoted post is unavailable.
3
17
765
37,806
🙄🙄🙄🙄
hii nchi hii...daaaah!!!
1
113
😂😂😂
unavailable
1
98
Me vs Life this year 😫🙌💔
67
486
12
2,025
133,274
#TajiriLaKihaya TAARIFA YA KUOMBA MSAMAHA KWA WANAHARAKATI Nimeona ni vyema nitumie nafasi hii kuwaomba radhi wanaharakati wote ambao kwa namna moja au nyingine niliwakwaza kwa kuwaita “WANAHARAKATI UCHWARA.” Kwanza kabisa, naamini wote tulikuwa na lengo moja: Mwenyekiti Tundu Lissu awe huru na haki itendeke. Kilichotutofautisha haikuwa lengo, bali njia, mbinu na mitazamo yetu katika kulifikia lengo hilo. Ni kweli tulitofautiana sana. Wengine tuliamini njia fulani ndiyo sahihi, wengine walikuwa na mtazamo tofauti. Lakini leo ninatambua kwamba kutofautiana kimtazamo hakupaswi kutufanya tudharauliane, tuwekeane majina au kupunguza thamani ya mchango wa mwenzetu. Kiukweli, suala la hukumu ya kifo ni jambo zito, linalotisha na kuogopesha. Linaweza kumfanya mtu afikiri tofauti, achukue tahadhari au aone umuhimu wa kutumia mbinu nyingine. Hilo halipaswi kutafsiriwa moja kwa moja kama udhaifu, usaliti au kukosa uzalendo. Nimejifunza kwamba si kila anayechagua njia tofauti na yako ni adui yako, na si kila anayekupinga anakutakia mabaya. Leo, pamoja na tofauti zetu, tunapaswa kukumbuka kuwa mapambano ya haki ni safari ndefu inayohitaji mshikamano, uvumilivu na hekima. Miaka minne tutavumilia, rufaa itaendelea, na kwa vyovyote itakavyokuwa, tutaendelea kusimamia kile tunachoamini mpaka haki ipatikane. Tusikate tamaa. Hakuna marefu yasiyo na ncha. Usiku unaweza kuwa mrefu, lakini hauwezi kuzuia alfajiri kuchomoza. Ninaamini pia kwamba historia haitakumbuka tu nani alikuwa sahihi kwenye mabishano yetu, bali itakumbuka namna tulivyosimama kutetea haki, utu na misingi ya demokrasia. Kwa hiyo, kwa wanaharakati wote niliowakwaza kwa kauli yangu, naomba radhi kwa dhati. Haikuwa sahihi kutumia lugha iliyoweza kudharau juhudi na mchango wenu. Tusiruhusu tofauti za mbinu zitugawanye kiasi cha kusahau sababu iliyotukutanisha. Tunaweza kutofautiana bila kuchukiana, kukosoana bila kudhalilishana na kupingana bila kuwa maadui. Haki ni kubwa kuliko ubinafsi wetu, na safari ya kuitafuta inahitaji kila mmoja wetu. Na hii ndio maana Halisi ya TAJIRI LA KIHAYA NI MMOJA TU✌️
131
120
16
746
39,537
“Kesi yako ya kuiba kwa kutumia silaha imefutwa kwa kuwa upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitisha mashtaka, ila utahukumiwa kwa kosa dogo la “Uzurulaji”
36
99
2
715
14,674
19
202
2,269
Nadhani title ya 'Baba wa Taifa' iwe na ukomo (Iendane na generations), with all due respect. Nyerere awe Baba wa Taifa kuanzia Uhuru hadi 1999. 2000 kuja huku mbele 'Baba wa Taifa' awe TAL (Anapigania uhuru wa vizazi vya sasa na vya baadae, singlehandedly).
8
47
4
312
5,157
MAKAVELI retweeted
One Time for the Champion ✌️
1
56
1
130
2,465
Dogo katoka shule, kanikuta nimekaa nje hapa Kabla hata hajashusha begi wala kunisalimia swali lake la kwanza likawa, "Kaka, vipi TAL ameshinda kesi?" Nimemjibu amehukumiwa miaka 4 jela. Amehuzunika sana, mpaka sasa amekataa kula, anasema hana njaa. 💔
48
134
1
938
25,484
If injustice does not make you angry then you have already accepted slavery.
26
186
4,183
Correction: tunaichukia serikali
Imefikia hatua ninaichukia sana nchi yangu.
5
20
245
7,316
Mtu mmoja tu anaamua kuzima internet nchi nzima!! Utawala wa aina hii ndio tunaukataa na kuupinga. Nchi haiwezi kuendeshwa kwa mood na hisia za mtu mmoja.
67
357
7
2,783
53,330