iBM (@INegast) header
iBM (@INegast) profile picture

| Click the Link to watch my Brand New Video GiveTome 馃敟

Joined April 2016
Photo by iBM (@INegast)Photo by iBM (@INegast)Photo by iBM (@INegast)Photo by iBM (@INegast)Photo by iBM (@INegast)Photo by iBM (@INegast)Photo by iBM (@INegast)Photo by iBM (@INegast)Photo by iBM (@INegast)Photo by iBM (@INegast)
Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary
17
Betting is always rigged 馃様 sa Bornemouth kashindwa vp kukaza 馃
23
Ulijuaje rafiki yako ni wa kishua me aliogea maji ya kunywa 馃槼
19
Maji hayatoki hayajui we uli Tick au Ulitaka reforms 馃
1
18
Kuna mtu ananambia amani ni Bora kuliko maji nipunguze taharuki 馃
15
Ukipulizia Cheap Perfume wakati unatoka harufu inaamua kubaki nyumbani 馃榾
40
Ushakutana na mtu anayelalamikia changamoto ambazo kwako unaona za kawaida tu, That's people tumetofautiana kila mtu anaupokeaji wake wa mambo
24
Binafsi hiyo video imenifanya nipate ganzi nimesisimka mwili 馃様
1
22
Mfaume Mfaume hamna kitu 馃毊
1
80
Yaan Mfaume kapigwa na Ushindi kapewa yeye 馃毊馃毊
1
38
Sema Haya ma VPN yanakera aisee 馃馃毊
1
1
52
Ukitaka kujua wabongo wamepinda hawaelewi kitu saa hii ingia kwenye post ya Mpoto kuhusu msiba wa mke wake hatupaswi kucheka kwenye Mambo ya misiba ila Kuna comment huwezi jizuia kucheka 馃
1
49
Hizi Beki za Madrid mbona za kiwaki sana 馃毊馃毊
1
30
Hii imenigusa sio maisha ya mpira tu hata kwenye maisha ya kawaida #Mourinho the way anavyoongea tu unajua ni kwanini ni kocha 馃檶馃槫
31
Hao jamaa wanaosema tutalinda kura wanachekesha sana 馃槀馃槀
3
1
45
Kwanza unalinda kura ya nani una uhakika utapigiwa wewe 馃槀
11
Dah Jota 馃挃
1
37
Huyu Mzize 馃敟馃敟馃敟馃檶
21
Hii hapa nilikuwa naitafuta, Babu Ngoma aliteseka bwana 馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀
21
78
8
262
16,677
Replying to @Makalla_M @INegast
"Ni mrembo fulan, mwenye urefu wa wastani"
1
1
1
25