GreaterThinker💎 retweeted
Dar es Salaam tunakutana Mnazi Mmoja then uelekeo utakuwa Ikulu.
#D9Tunatoka
GreaterThinker💎 retweeted
#Tanzania: Ahead of protests planned for Independence Day on 9 December, UN Human Rights Office reminds security forces they must refrain from using force to disperse non-violent assemblies and make every effort to de-escalate tensions.
ohchr.org/en/press-briefing-…
GreaterThinker💎 retweeted
People are ready #D9
GreaterThinker💎 retweeted
"Narudia maandamano ni haki ya kila mwananchi, ni njia ya kufikisha ujumbe wao"-; Mzee Butiku
GreaterThinker💎 retweeted
Wanachuo wote wamekimbilia mikoani wengine wameenda kujificha hukoo. K kwao🤣🤣🤣….Wanasahau siku yako ya kufa ikifika hata ukijificha kwenye Kizibo cha Maji utakufa tu!
Wasomi wa hili Taifa bana🤣🤣🤣
GreaterThinker💎 retweeted
Yaani kwa leo tujiandae @tanpol wanafyatua risasi na mabomu kutisha wananchi 🙄
Hivi ndo wanatuuzia woga 😀
Haisaidii! Tunajua mmeshakabwa huko mnachotegemea ni watu wasitoke ila #D9Tunatoka
#D9TanganyikaDay
GreaterThinker💎 retweeted
GreaterThinker💎 retweeted
TUNATAKA MIILI YA WAPENDWA WETU...
TUKIKOSA HILO BASI TUNAOMBA TUONYESHWE WALIPOFUKIWA...
TUKUTANE DECEMBER 9.
GreaterThinker💎 retweeted
Tanzania itakombolewa……….. #D9
GreaterThinker💎 retweeted
Tarehe 9 December, saa 1 asubuhi, Watanzania wote tutaingia barabarani kudai haki kwa amani.
Macho ya dunia yatakuwa Tanzania on Dec 9. TUTASHINDA!! God is on our side. We shall win.
Hakuna kurudi nyuma…..
GreaterThinker💎 retweeted
KIFUNGU 43 CHA SHERIA YA JESHI LA POLISI & POLISI WASAIDIZI (SURA 322, R.E. 2023 KILICHOTUMIKA KUZUIA MAANDAMANO YA AMANI YA #D9 KIMETUMIKA KIMAKOSA.
Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi iliyotolewa hapo jana, hiki ndicho kifungu kimetumika KUPIGA MARUFUKU maandamano ya Kitaifa.
Ukweli ni kwamba ZUIO hilo ni BATILI kwenye msimamo wa sheria hii.
UTARATIBU WA KISHERIA
Zuio la aina hii huweza tu kutolewa pale ambapo kuna TAARIFA (NOTISI) iliyowasilishwa kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) wa eneo husika. Na, sheria hii IMESISITIZA kwamba, hakuna mtu mwingine yeyote, ndani & nje ya Jeshi la Polisi, mwenye MAMLAKA kisheria kuzuia maandamano zaidi ya OCD wa eneo husika – hata IGP hana mamlaka hayo.
Kwenye hili, ili kuwe na ZUIO, ni LAZIMA kwanza kuwe na taarifa RASMI ya maandishi iliyowasilishwa kwa OCD na mtoa taarifa (mtu anayepanga maandamano).
Mapungufu yaliyo kwenye taarifa hii ya Jeshi la Polisi ni kuwa, haitaji jina la mtu yeyote ambaye alipeleka TAARIFA ya maandamano kwa OCD yeyote nchini. Hii ina maana kwamba, matumizi ya Kifungu hiki cha 43 ni BATILI. Yaani, kifungu hiki hakiwezi kutumika kuweka ZUIO kwa sababu ili kitumike ni LAZIMA mazingira & utaratibu ulioelezwa kwenye sheria hii utokee kwanza.
Pia, Sheria hii haijaweka utaratibu au kumpa MAMLAKA askari polisi yeyote kuweka ZUIO (MARUFUKU) ya JUMLA, yaani kuzuia nchi nzima isiandamane. Hivyo, hii barua haina nguvu ya kisheria.
Pia, maandamano ya amani ni haki ya MSINGI ya Kikatiba chini ya Ibara 20(1) na hayawezi zuiwa kwa Sheria yoyote iliyotungwa na Bunge kwa sababu Katiba ndio SHERIA MAMA.
Narudia tena, HAKUNA SHERIA NCHINI INAYOTOA MAMLAKA KWA JESHI LA POLISI KUWEZA KUPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA AMANI, tena ya NCHI NZIMA!
Hivyo basi, ni vyema Jeshi la Polisi LIKAZINGATIA sheria na askari wetu kufahamu MIPAKA & UKOMO wa mamlaka yao kisheria. Wasijipe mamlaka ambayo hawana maana kwa kufanya hivyo ni KUVUNJA Katiba & Sheria za nchi na KUZUA TAHARUKI ndani ya Jamii.
#BabaMwita ☄️
GreaterThinker💎 retweeted
Sikukamatwa, NILITEKWA.
Hukamatwi kwa kuwekewa bastola kichwani na kufungwa vitambaa viwili machoni kwa zaidi ya masaa 6.
Hukamatwi na kufungwa kwenye mti na kupigwa kama mwizi.
Mioyo yetu inavuja damu, Mungu wetu ni mwema AMETUVUSHA.
GreaterThinker💎 retweeted
Dear @Meta @instagram @WhatsApp Leadership,We urge Meta to immediately stop complying with requests from the Government of Tanzania to suspend or disable accounts of human-rights defenders, journalists, and activists who peacefully advocate for justice and
Meta who also owns WhatsApp, banned my number 424-537-3057 from WhatsApp because this is the number Tanzanians were using to send me the photos and videos of the October 29 killings committed by Samia Suluhu which I then posted on this X page.
It’s clear meta has decided to de platform anyone opposing the illegitimate and brutal Tanzania government. Just sad.
GreaterThinker💎 retweeted
Dear Prosecutor Karim A.A. Khan KC,On 29 October 2025, Tanzanian security forces under the direct authority of President Samia Suluhu Hassan opened fire on peaceful protesters, killing more than ten thousand
GreaterThinker💎 retweeted
The United States values its longstanding partnership with the people of Tanzania, which has brought prosperity to our populations and security to the region. Recent actions by the government, however, raise concerns about the direction of our bilateral relationship. The future of our bilateral relationship with the Government of Tanzania will be based on its actions.





























