Lugz🎈 (@HenryLugz) header
Lugz🎈 (@HenryLugz) profile picture
Tanzania
Joined September 2018
Photo by Lugz🎈 (@HenryLugz)Photo by Lugz🎈 (@HenryLugz)Photo by Lugz🎈 (@HenryLugz)Photo by Lugz🎈 (@HenryLugz)Photo by Lugz🎈 (@HenryLugz)Photo by Lugz🎈 (@HenryLugz)Photo by Lugz🎈 (@HenryLugz)Photo by Lugz🎈 (@HenryLugz)Photo by Lugz🎈 (@HenryLugz)Photo by Lugz🎈 (@HenryLugz)
Kama una uhitaji wa vifaa vya ufundi na ujenzi basi karibu LUGZ TOOLS & EQUIPMENTS. Tunauza vifaa vinavyo husiana na ufundi welding, carpentry, umeme, ujenzi wa nyumba na spanners za Magari, Pikipiki, Bajaj na Toyo. Tunapatikana Chamazi Magenge. Cont: 0658-137613
5
39
4
39
9,557
Chelsea is so finished 🚮
2
212
Leteni stake tubeti TUKALIME 🤟
6
15
1
196
5,151
Sitaki kuamini kwamba hizo nyekundu ni alama za damu 😭
Iwambi Mbeya, wamalize barabara harake mweee…. Watu wa Mbeya wataishaaa
94
Give Eric Omondi his flowers
110
864
22
7,266
155,067
Lugz🎈 retweeted
Familia ya Mtoto aitwaye Faith Fredy mwenye umri wa miaka 13 ambaye ni Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Mkazi wa Makumbusho Jijini Dar es salaam, inatangaza kumtafuta Mtoto wao Faith baada ya kupotea tangu Novemba 10, 2026. Taarifa ya Familia imeeleza kuwa Faith ambaye hana tatizo la kiafya, alitoweka nyumbani tangu Novemba 10 2026 alipotumwa Dukani kwenda kununua mahitaji mbalimbali ya nyumbani ambapo mara ya mwisho alikuwa amevaa gauni jeupe lenye vidoti vyeusi na sweta. Familia yake imeomba Mtu yeyote atakayemuona atoe taarifa katika Kituo chochote cha Polisi au apige simu namba 0786782582 au 0773739499.
69
32
12
556
92,913
Lugz🎈 retweeted
Rest in Peace, King Zilla🕊️ Tupac wa Bongo🫡🙌🏾
6
42
2
186
4,541
Sema sheria ina ufala mwingi sana. Jamaa katika kudai haki amejikuta ametengeneza jinai upande wake na ubaya ni kwamba sheria haitumii hisia kufanya kazi. Wakirudi kwenye vifungu vya sheria jamaa atajikuta na yeye ana jinai ya kujibu 🤦🏾‍♂️
Jamaa anapikwa balaa kwa comment section 😂😂😂😂😂
147
Pesa haitaki mtu Muoga....
6
8
3
64
2,669
Ukisoma maoni ya Watz juu ya ishu ya huyu mtoto utagundua kwamba baadhi ya Wabongo tuko wicked sana hatuna hata chembe ya huruma.
Inawezekana Yule Binti hakuhusu kwa namna yoyote ila wewe ni Kaka ama utakuja kuwa Baba tuwalinde watoto wakike wakuu ile kitu sio sawa.!!
1
1
252
Dharau 🙂
Three consecutive wins against Chelsea ✅👊
217
Refa anatuua sana 😭
This is undoubtedly match fixing, I cannot believe my eyes.
1
199
Kwa muda mrefu sasa maisha ya Pascal Mayalla yamekuwa kitandani kufuatia ajali aliyopata huko Zanzibar na kuvunjika mguu. Aliwekewa chuma lakini kimekatika na kutengeneza jeraha jipya kwa ndani. Pascal yupo kwenye hatari ya kupata saratani ya mfupa. Lakini tuna nafasi ya kumsaidia Pascal aweze kusimama tena. M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
Mguu wangu unaoza, nakufa huku najiona, naomba msaada maana nimekata tamaa. Naitwa Pascal James Mayalla, mkazi wa Kahama Shinyanga. Mwaka 2023 nilipata ajali ya pikipiki nikiwa Zanzibar nikielekea kazini. Kwa bahati mbaya nikavunjika mguu mara 2. Nikatibiwa Zanzibar na kuwekewa vyuma. Nilipopata nafuu niliomba kurudi nyumbani Kahama maana Zanzibar sikuwa na ndugu. Hali yangu ikatengemaa kidogo na mwaka 2024 nikarudi Zanzibar kuendelea na kazi. Lakini kwa bahati mbaya mwaka jana, chuma nilichowekewa kilichomoka screw hivyo kikatoka sehemu husika na kuchoma nyama kwa ndani na kutengeneza kidonda kipya. Nilipata maumivu makali sana. Nikaenda hospitali kikatolewa na kuwekwa kingine. Lakini Oktoba 2025 nilipata mtikisiko uliosababisha chuma nilichowekewa mguuni kukatika na kusababisha mfupa kuachana na mguu kupinda. Niliomba nirudishwe nyumbani Kahama. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kutokana na kukosa pesa za matibabu. Hali yangu inazidi kuwa mbaya kwani sehemu ya chuma kilichokatika imesababisha infection kwenye mfupa na kuendeleza kidonda kisichopona (Chronic Osteomyelitis). Nimeelezwa kuwa hali hii inaweza kunisababishia kansa inayotokana na kidonda cha muda mrefu kisichopona (Squamous Cell Carcinoma). Matibabu ninayohitaji kwa sasa ni operation ya kunyoosha mguu, kusafisha kidonda na kuweka chuma kingine. Gharama ni TZS 2.8M tu lakini nimelala kitandani mwaka mzima kwa kushindwa kumudu gharama hiyo. Naomba msaada niweze kupata matibabu mapema ili niepuke risk ya kupata saratani. _____ Kama unaguswa kuokoa maisha ya ndugu Pascal Mayalla tuma sadaka yako kwenda M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
69
1
114
3,137

34
274
20
645
76,099
Bro to Bro we shall win one way or the other...
4
20
370
10,242
Lugz🎈 retweeted
Angelic.
6
30
3
197
8,928
Lugz🎈 retweeted
I created this with Ai Nano Banana Pro + SD 2.5
37
57
11
378
43,933
I promise you this video will change how you think about life.
I have been watching this every morning for 11 months now.
2
10
101
10,944
MAN TO MAN Umri wa miaka 25–35 na kuendelea unaweza kuwa kipindi kigumu sana katika maisha. Unaanza kuona wazazi wako wakizeeka, marafiki wakipungua, msongo wa mawazo kuhusu kazi na maisha, huku ukipambana na mashaka juu ya uwezo wako mwenyewe. Familia yako inatarajia uwe imara, uvumilie na uonyeshe kuwa unaweza kukabiliana na kila kitu. Unaanza hata kupoteza hamu ya mambo ambayo zamani yalikuwa yakikupa furaha. Lakini brother usikate tamaa, endelea kuwa imara. Hata kama mambo ni magumu kiasi gani, Huhitaji kuwa na majibu ya kila kitu leo. Pambana hatua kwa hatua, jipe muda na usisahau kuwa hata mwanaume mwenye nguvu anahitaji kupumzika na kupata msaada. 🤝
36
146
3
810
31,491
Lugz🎈 retweeted
Bedroom essentials
2
8
1
239
10,056
Not about having more. About choosing better.
3
32
584
31,529