
We provide value driven products and services in logistics, manufacturing, trading and retail for our global clients and serve our community. #MakingItHappen.
Dar es salaam, Tanzania.
Joined February 2023
- Tweets262
- Following6
- Followers6.5K
- Likes114
“Mkakati wetu ni zaidi ya utoaji wa vifaa vya kuhifadhi taka; ni kukuza uwajibikaji wakimazingira kwa watoto wetu, kutoa elimu ya mbinu sahihi za usimamizi wa taka mashuleni, tunalenga kuwawezesha wanafunzi si tu kukubali tabia hizi wao wenyewe, bali pia kuwa mabalozi ndani ya familia na jamii.
Kupitia hili, tunahakikisha kwamba kanuni za usimamizi wataka endelevu zinapitishwa, zikiunda athari chanya na za kudumu katika jamii,”alisema Bi. Faith Gugu, Kiongozi wa GSM Foundation
GSM Foundation kuboresha mbinu za uhifadhi wa taka kwa shule za msingi
Katika hatua muhimu ya kukuza utunzaji wa mazingira, GSM Foundation imekabidhi vifaa vya kuhifadhia taka 15 kwa matumizi ya nje, 25 kwa matumizi ya ndani ya madarasa, na tolori 1 kwa shule ya Msingi Pius Msekwa.
Mpango huu ni sehemu ya ahadi ya kuendelea kuhamasisha elimu yauhifadhi wa taka na mbinu sahihi miongoni mwa wanafunzi wa shule za msinginchini kote, na kusaidia serikali katika kutekeleza Mpango wa Kitaifa wa Kimkakati wa Mazingira (NEMPSI) unaoratibiwa na serikali.
#GSMFoundation
#Buildyoutobuildothers
1
13
1,150
WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.
Daima tupo tayari kwenda above & beyond kuhakikisha tunatoa huduma thabiti kwa wateja wote wanaotumia na wanaoamini bidhaa na huduma kutoka GSM.
Tunawashukuru watoa huduma wetu kwa kuendelea kutoa huduma bora zenye ufanisi wa juu zaidi.
#customerserviceweek2024 #AboveAndBeyond
SIKU YA MWANANCHI X GSM WATER🔥
Hali ilivyokuwa kwa Mkapa mchana wa leo katika shamrashamra za siku ya mwananchi @YoungAfricansSC
"Boss kasema njoo na kiu yako, maji utayakuta uwanjani"🔥🔥🔥
#puretastepurelife
Hii ni kwa wapambanaji na vinara wa kujituma na kupiga mzigo maisha yaende.
Boost uwezo wako na michakato yako kwa G-BOOST energy drink yenye ladha ya classic na apple katika ujazo wa 300ml.
G-BOOST inatengenezwa na kusambazwa na GSM.
THIS IS G-BOOST!!!
#GSMGBOOST #GSMENERGYDRINK #JIBUSTIKISAWASAWA #GSMBEVERAGES
PURE TASTE, PURE LIFE
Tunathamini upambanaji na afya njema, kwa mara ya kwanza kabisa tunakuletea maji halisi kwa kila mtanzania katika ujazo wa 500ml, 1L na 1.5L.
BOSS KASEMA KATA KIU!
#GSMBeverages #GSMwater #puretastepurelife #BOSSKASEMAKATAKIU
Raha ya Zogo upate Swahiba wa kupeana Mchongo🫱🏻🫲🏽
Tumefurahi kuungana na @CRDBBankPlc kama mshirika wa msimu wa pili wa kipindi cha Zogo Mchongo.
Msikilize swahiba , Mkurugenzi wa GSM Tanzania akikupa michongo kutoka GSM.
Ila nikuibie siri , usikose ofa kabambe zinazoendelea katika maduka yetu ya gsmhome.
Unakosaje kutokelezea na uzi wa mabingwa katika siku ya mwananchi na msimu wote wa 24/25?!!
Pre-order jersey mpya na bora kabisa za @YoungAfricansSC kwa bei ya jumla, kuanzia pcs 120, kuhakikisha wewe, tawi na wananchi karibu yako mnakua wa kwanza kupata jezi hizi kwa bei nafuu zaidi.
#daimambelenyumamwiko
Super Smooth, Feel Fresh!
Nyoa na jisikie huru wakati wote na shavers za Hiper Razor. Zinauzwa na kusambazwa na GSM Tanzania.
Our sister company is #HIRING
Are you an outstanding manager with vast experience in Beverage industry? We are looking for you.
Send your application through the link below
linkedin.com/jobs/view/39660…
Bado tunakukaribisha ndani ya viwanja vya SABASABA kwa maonesho ya bidhaa na huduma zetu mbalimbali
#Twenzetu77naGSM
16
727











