MC nyeupe (@Gegedu_) header
MC nyeupe (@Gegedu_) profile picture

Identifying the correct and right priority of life is the key to a successful and fulfilled life.✌️✌️✌️

Arusha
Joined March 2014
Photo by MC nyeupe (@Gegedu_)Photo by MC nyeupe (@Gegedu_)Photo by MC nyeupe (@Gegedu_)Photo by MC nyeupe (@Gegedu_)Photo by MC nyeupe (@Gegedu_)Photo by MC nyeupe (@Gegedu_)Photo by MC nyeupe (@Gegedu_)Photo by MC nyeupe (@Gegedu_)Photo by MC nyeupe (@Gegedu_)Photo by MC nyeupe (@Gegedu_)
Nina ndoto Hawa ndugu zetu waliotekwa watapatikana sio muda mrefu Afu kuna mtu mmoja ataangushiwa jumba bovu kama kamfano tu baadae ndio inakuwa imeisha hivyo Naona wanaendelea kulipika polepole
5
10
3
26
5,170
MC nyeupe retweeted
Unaweza kudhani ni unabii Unaweza kujiuliza alionaje Jibu ni rahisi matendo yote haya yanayofanyika yaliandaliwa mapema Na yalikuwa yanasubiri utekelezaji tu Kiufupi sana mkikkubali maridhiano mtakuwa mmesaliti ndugu zetu waliouliwa kisa uchaguzi na waliotekwa na kupotezwa
18
34
999
MC nyeupe retweeted
Watu wanakosoa mwenendo na utendaji wa mahakama sio kuhukumu, watu wanajua utaratibu na wanajua nini ni haki! CJ aache kulalamika akae kwenye bench atende haki. Kalamu yake izungumze kuhusu haki sio mdomo kupiga kelele za amani huku anaona aibu kuizungumzia haki!
21
34
3
129
2,789
MC nyeupe retweeted
Nimetoka gereza la mahabusu Segerea kuwaona wanachama wetu Mwalimu John Pambalu, Colletha ntyidicha na Pendo kileo. Mungu ni mwema wako imara sana na imani yao haijatikisika. Moyo wangu umelowa Machozi pale Pambalu aliponiuliza "Mwaipaya amepatikana?"
1
66
5
376
5,273
Unaweza kudhani ni unabii Unaweza kujiuliza alionaje Jibu ni rahisi matendo yote haya yanayofanyika yaliandaliwa mapema Na yalikuwa yanasubiri utekelezaji tu Kiufupi sana mkikkubali maridhiano mtakuwa mmesaliti ndugu zetu waliouliwa kisa uchaguzi na waliotekwa na kupotezwa
18
34
999
Hakuna wa kuja kutuokoa Si Lissu, si Mange, si mimi si mwanaharakati yoyote! Si Marekani, EU, nchi yoyote Si UN, ICC ama shirika yoyote You get the government you deserve! Ukikubali kudharauliwa, kukandamizwa na kikundi kidogo na kuogopa kuRESIST - basi utaishi ktk dhulma Ndo ukweli mchungu #TutaelewanaTu
18
148
5
540
15,395
HAWA WAHUNI WANALIPWA NA KUWEZESHWA KUFANYA UCHAFU HUU! Kwa nini tunaendelea kuzunguka bila kuchukua hatua ya msingi? Kwa nini tusianzishe Tume Huru ya Uchunguzi au kuruhusu Wachunguzi Huru kuchunguza ukweli wa mambo? Wanaogopa nini? Kuna kitu gani wanachohofia kisichojulikana? Kama kweli hatuna kosa la kuficha, kwa nini tukimbilie MARIDHIANO yasiyo na UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI? Ukweli haupaswi kuogopwa, na uwajibikaji haupaswi kukwepwa. Mimi si mgeni katika nchi hii. Ninafahamu kinachoendelea. Ninafahamu kwamba kuna watu wanaolipwa kwa kazi maalumu ya kutuchafua, kuwaharibia wengine majina na hata kuwezeshwa kutafuta roho zetu. Haya si mambo yanayopaswa kupuuzwa wala kufunikwa kwa kauli za maridhiano. Tunachodai ni rahisi TUME HURU, YA KUAMINIKA NA ISIYO NA UPENDELEO.Tume itakayochunguza, kubaini ukweli na kuweka msingi wa haki na uwajibikaji. Hakuna maridhiano ya kweli bila ukweli. Hakuna amani ya kudumu bila haki. Na hakuna taifa linaloweza kupona kwa kuficha maovu na kukwepa uwajibikaji. ENGLISH VERSION THESE RUFFIANS ARE BEING PAID AND FACILITATED TO CARRY OUT THIS DIRTY WORK!** Why do we keep going round in circles instead of taking the most fundamental step? Why don't we establish an Independent Commission of Inquiry or allow independent investigators to investigate and establish the truth? What are they afraid of? What is it that they do not want uncovered? If we genuinely have nothing to hide, why should we rush into RECONCILIATION without TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY? Truth should never be feared, and accountability should never be evaded. I am no stranger to this country. I know what is happening. I am aware that there are individuals allegedly being paid to smear our names, damage the reputations of others, and even facilitate efforts to threaten our lives. These are serious matters that must not be ignored, trivialised or concealed behind the rhetoric of reconciliation. Our demand is simple AN INDEPENDENT, CREDIBLE AND IMPARTIAL COMMISSION OF INQUIRY.  A commission mandated to investigate, establish the truth and lay the foundation for justice and accountability. There can be no genuine reconciliation without truth. There can be no lasting peace without justice. And no nation can heal by concealing wrongdoing and evading accountability. TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY WILL HEAL THE NATION. BAK MWABUKUSI
32
102
4
323
16,812
- CHADEMA leader Tundu Lissu remains in prison. - Activist Twaha Mwaipaya is still missing following his reported abduction. - Families of victims of the October 2025 crackdown are still demanding justice. -X is banned in Tanzania. We saw this script by Ruto after Kenya’s June 2024 protests: announce dialogue and future reforms to cool public anger while real accountability disappears. Can genuine peace ever start before the political prisoners are freed? It would appear Ruto or people around him are advising her.
14
49
2,295
CCM wameshindwa kutoia akili hakuna maridhiano ya kihuni mtaweza fanya, aliwaonya Polepole na Gwajima kuhusu kufanya uchaguzi wa ovyo. Mkalazimisha, sasa mmekwama nchi imewashinda, kama mlishindwa kufanya uchaguzi mnaweza vipi shinikiza maridhiano na hao matapeli 14? Tumieni fuvu, wananchi hawa upande wenu na shida ya mambo yote iko hapo, hakuna namna mtaongeza nchi bila wananchi kuwa upande wenu
6
31
149
8,397
MC nyeupe retweeted
Haya ndio matakwa yetu wananchi Ninyi hata mkae na malaika mkaridhiana sisi hatuna haja na maridhiano yenu Bali tuna haja na hatima ya nchi ,hatima yetu ,ukweli ,haki na uwajibikaji Ujinga wa hilo kopo lenu hatuna haja nao na tutaupinga kwa kila namna halijalishi ni upepo
1
16
1
39
2,378
Haya ndio matakwa yetu wananchi Ninyi hata mkae na malaika mkaridhiana sisi hatuna haja na maridhiano yenu Bali tuna haja na hatima ya nchi ,hatima yetu ,ukweli ,haki na uwajibikaji Ujinga wa hilo kopo lenu hatuna haja nao na tutaupinga kwa kila namna halijalishi ni upepo
1
16
1
39
2,378
Naendelea ku- typetype tu! 😁 Ila majibu yake si mnaona? Na bado! Nasema #TutaelewanaTu
4
35
1
265
17,753
'Tunafikiri bunduki ndiyo inaweza kulinda amani' – Warioba bbc.in/3WHkdkm
7
117
2
794
16,426
TANZANIA | The ruling party has tried to secure concessions from Chadema leader Tundu Lissu before his treason trial concludes, but its success has so far been limited. ➡️ l.africaintelligence.fr/pkq
1
19
26
1,961
‼️🚨 Gaidi Mwandamizi Namba 101 Mtanganyika - Jaji Shaban Ally Lila‼️ Tunamleta kwenu Gaidi Shaban Ally Lila (Mtanganyika) ambaye ni Jaji na Mwenyekiti wa tume HARAMU iliyoundwa na Gaidi Kiongozi Samia Suluhu Hassan mnamo Mei 2026. Gaidi Lila amezaliwa mwaka 1960.
Ikumbukwe kwamba raia wa Tanganyika wapatao 10,000 wasio na hatia waliuliwa kabla, wakati na baada ya Oktoba 2025. Mauaji haya yamefanywa na familia katili kutoka Zanzibar ya Gaidi Mkuu Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na familia yake Gaidi Shaban Ally Lila anatuhumiwa pamoja na ukatili mwingine wa kisheria ambao amekuwa anaufanya, ana tuhuma za kupokea rushwa kutoka kwa wafanyabiashara wa dawa za kulevya alipokuwa kwenye majukumu katika mahakama za Tanzania. Tuhuma hizi zilizoletwa kwetu na wazalendo ndani ya vyombo hazijawahi kukanushwa wala kupingwa. Hivyo uteuzi wake kuongoza tume haramu ya kuinajisi Tanganyika na watu wake unatokana na uzoefu wake wa kupindisha sheria na taratibu kwa malipo ya fedha. Kwa sasa Gaidi Shaban Ally Lila anaendelea na kazi ya kuchunguza chanzo, wahusika, na waliopanga au kufadhili matukio ya ghasia, vifo na uvunjifu wa amani. Kazi yake kubwa sasa hivi ni kukusanya kila takataka ya taarifa ili atimize lengo la kuwaumiza Watanganyika kwa kesi FEKI za uhaini na ugaidi. Kazi kubwa anayoikamilisha ni kuhakikisha baadhi ya viongozi wa CCM wasiopendwa na Gaidi Kiongozi Samia na familia yake, wanaharakati, wanasiasa hasa wa chama kikuu cha siasa Chadema, viongozi wa dini hasa TEC na baadhi ya KKKT ambao wanasimamia HAKI wanafunguliwa mashitaka ili kuzima harakati zote za kuikomboa Tanganyika dhidi ya uvamizi wa magaidi kutoka Zanzibar. Ndugu Mtangayika, simama kutetea nchi yako. Tafadhali toa taarifa popote pale utakapomuona au kupata taarifa za Gaidi Shaban Ally Lila. Kutoa kwako taarifa ikiambatana na picha au sauti itasaidia kuweka kumbukumbu zitakazowezesha kuchukuliwa hatua zaidi za kisheria. Tusiogope! Tutashinda! A luta continua, vitória é certa! Mapambano yanaendelea, ushindi ni hakika! #FreeTunduLissu #KatibaMpya #SamiaMustGo
4
86
2
260
11,606
Hii ndo self Nduli Idd Amin Mama
11
84
298
16,625
Nasisitiza kumpuuza Samia Suluhu na maridhiano yake ya mchongo….. Si nikajisahau nimepaki kwenye red zone alafu nikaaa hapo zaidi ya 30 mins, Ila kanielewa kuwa nimechanganyikiwa na kupigania haki za Watanzania waliouwa October 29 mpaka sikuona nimepaki kwenye red zone, akanipa badala ya ticket ya fine ya $70. Tunapigania haki popote pale.
33
193
3
1,300
58,776
Kuna msamaria mwema alijitokeza kumsaidia na akataka jina lake lisitajwe ni nani anafanya wema wa namna ile alafu akataka asijulikane?, lakini akatuma waandishi wa habari wakajionyeshe kuwa wamempa msaada! Kama hakutaka kujulikana kwanini alituma waandishi? Pole Angel! 🕊️
65
204
6
1,146
52,988
‼️🚨#EnforcedDisappearance #Tanzania ‼️ Titus John was abducted by armed men claiming to be police but his whereabouts remain unknown Cc @WGEID @OHCHR_ESARO @UN_HRC @IntlCrimCourt @StateDeptARS @FCDOGovUK Titus John maarufu kama Tico, ni mfanyabiashara Kariakoo anauzavifaa vya simu na electronics kwa ujumla Katekwa leo maeneo ya Kimara! Watu 8 na bunduki! Ila polisi hawana ushirikiano! Huu ni utekaji wala si ukamataji! Wapendwa tupambane tukomeshe utekaji! Au kila mtu atafikiwa!
8
128
2
468
26,560
Congratulations to my very own Los Angeles congressman, Ted Lieu, one of the finest members of Congress in the United States. Last year, you took time out of your incredibly busy schedule to speak with me in person after I practically fought my way into and crashed one of your fundraisers! It was a room filled with great people, many of whom had the financial means to make meaningful political contributions. Honestly, I wasn’t sure I would get the opportunity to have a one-on-one conversation with you, given the significant difference in financial standing between me and many of the other attendees. But you never made me feel any less important. You didn’t measure my worth by how much money I could contribute to your campaign. You saw a constituent who was hurting, someone who needed help, and whose voice deserved to be heard. You took the time to listen to my story, understand my circumstances, and, most importantly, your office went above and beyond in trying to get @Meta to do the right thing by reinstating my Instagram accounts, platforms that were instrumental in documenting and exposing human rights abuses in Tanzania. For that, I will always be grateful. In case you weren’t aware, before I finally got my one-on-one moment with you, I had introduced myself to your beautiful wife and explained how desperately I needed an opportunity to speak with you. She was incredibly kind and even gave me a little strategy for making it happen! She told me, “As soon as that person finishes speaking with him, just walk up to him and start talking. Start with one sentence: tell him you’re a single mom of three, and he will listen to you.” And that is exactly what I did! My hope is that we can continue working together, not only to address what happened in Tanzania but also to advocate for meaningful legislation and stronger regulations governing social media companies. These companies have acquired extraordinary power over public discourse. They can silence activists, dismantle platforms used to expose human rights abuses, and effectively erase the voices of millions of people, often without meaningful accountability or adequate legal remedies. Section 230 of the Communications Decency Act needs meaningful reform. We need stronger legal protections for the social media accounts of journalists, human rights defenders, and human rights activists. More importantly, we need safeguards to protect people in the United States from social media companies that may act under pressure, coercion, or direction from foreign governments seeking to suppress speech beyond their own borders. I was silenced by the Tanzanian government while sitting right here in Los Angeles. And it was made possible by Meta. Think about that for a moment. A foreign authoritarian government was able to extend its censorship machinery into the United States through a powerful American technology company. No foreign government should be able to weaponize American technology companies to silence Americans. This is bigger than my own experience and the experience of the Tanzanian people. It is about protecting freedom of expression, defending democracy, and ensuring that technology companies do not become unaccountable gatekeepers of our fundamental rights. What happened in Tanzania, the deplatforming of 2 of the most significant activists during human rights abuses, myself and @MariaSTsehai , is not the first instance meta has acted in favor of authoritarian governments inorder to conceal human rights abuses and mass killings.This has happened in other countries as well. Thank you, Congressman, for remembering that your responsibility is to represent ALL your constituents, regardless of their financial standing, political influence, or ability to contribute to your campaign. That is what genuine public service should look like. I am currently engaged in a legal battle with Meta, one that could potentially have far-reaching implications regardless of
House Democrats elect @RepTedLieu Caucus Chair for the 120th Congress.
21
197
1
1,452
72,054
Watanzania tumpuuze kimama na hizo sinema zake za maridhiano ya mchongo… Tupeleke nguvu kwenye kuandamana siku ya kwanza ya mechi ya AFCON……
30
222
5
1,299
44,403