I’ve just been accepted into Alchemy University! 🎓
After days of FOMO, I’ve finally claimed my Alchemy University early access NFT.
Can’t wait to learn tons of new web3 stuff.
The applications are still open, you should definitely join:
university.alchemy.com/?a=22…
1
GameFi Lyf retweeted
#MaunjaNftInDetailWallet
Karibu tena, wiki iliyopita tuliangazia kwa ufupi wallet ni nini. Lakini sasa tunaenda kuangazia kwa undani zaidi Wallet pamoja na funguo zake. Twende pamoja
: Uzi 🧵
xitter.cf/maujanjanfts/status/15…
Yes karibu tena .... tunaendelea pale tulipoishia kama ndio mara ya kwanza unatujoin karibu follow... Like .... Retweet na turn on notifications ili usiwe unapitwa na madini haya kutoka @MaujanjaCrypto
Leo tutaona tips 4 za kufanya ili uweze kuanza kucheza GameFi
Kama ilivyoelezwa hapo awali, wallet yako ya Web 3.0 utafanya kama akaunti yako... na progress zako zozote zitahifadhiwa kupitia wallet yako.
1
2
Pia unaweza kufuatilia kuhusu GameFi kupitia YOUTUBE youtu.be/hv-_qnc7_Pg
FOLLOW US👇🏿
linktr.ee/maujanjacrypto
3
GameFi Lyf retweeted
🎮🕹️
Replying to @GameFiLyf
Nadhani utakuwa umepata mwanga na picha kuhusu GameFi ... Retweet thread hii ili ipate kuwafikia wengi zaidi
Pia usiache kutufatilia kupitia YOUTUBE, INSTAGRAM, TELEGRAM NA CLUB HOUSE @MaujanjaCrypto
wamiliki wanaweza kuchuma mapato ya viwanja vyao kwa njia sawa na wanavyoweza katika ulimwengu wa kimwili. Mbali na kuuza moja kwa moja ardhi inayomilikiwa, wanaweza kukuza kivutio kama hotel, casino n.k ambacho kinaweza kuleta mapato, au kukodisha kwa mtu mwingine kuchuma mapato
Nadhani utakuwa umepata mwanga na picha kuhusu GameFi ... Retweet thread hii ili ipate kuwafikia wengi zaidi
Pia usiache kutufatilia kupitia YOUTUBE, INSTAGRAM, TELEGRAM NA CLUB HOUSE @MaujanjaCrypto










