EAST retweeted
#TajiriLaKihaya
Hawa Ndio ma Striker Tegemezi wa Orlando Pirates…
EVIDENCE MAKGOPA na YANELA MBUTHUMA…
Hadi muda huu hawajalala… wananiambia wanapiga mazoezi ya namna ya kushangilia Magoli yao kesho…
#TajiriLaKihaya
Ndio Tunamaliza kuona Man Utd wanavyofirimbwa Hapa Marriot Hotel…
Kipa namba moja na mbili wa Orlando Pirates… SIPHO CHAIN na SIYABONGA DLADLA…
Wamenihakikishia CLEANSHEET hapo Kesho…
EAST retweeted
Zimebaki game 26 kumaliza msimu, almost point 78, kwa aina ya mwalimu tulie nae na kikosi bora tulichonacho plus Jan transfer window ninaamin msimu huu tutamaliza top 5.
Tofaut na mwalimu aliepita, huyu ana mbinu mbadala inspite of having shit players kuna kitu kipya nakiona 🤝
EAST retweeted
Ewe shabiki wa Yanga, Muda huu Azam sports2 HD inaonyesha game ya Zamaleck vs Club African,.. embu angalia then utuambie nafasi yako ni ipi kundi hili..
EAST retweeted
Fadlu nae hamna kocha imagine mudathir yule Kuma kazi yake ni ku spin na back passes hajamtoa dakika zote team imemshinda
#FadluOut

























