Lemar. retweeted
Kang'ura nlienda kuangalia mitego nlikuwa nmewekea pesa kumbe iliteguka. Tutapenya aje mamae 🥲
Lemar. retweeted
Nimeinua gas na mkono moja bila kustrain, I hope ni nguvu ndo nikonayo Mingi and not what I'm thinking aki🥹😭
Lemar. retweeted
Nataka niende kwa ofisi za Kenya power kesho niwaulize kama wanaeza nipea kazi ya kukimbisha stima zikipotea
Lemar. retweeted
if you go without something for long enough you'll eventually start to be okay without it


















