FATHER BISMARCK (@FatherBismarck) header
FATHER BISMARCK (@FatherBismarck) profile picture

Businessman|father|Politician| Member of @chademaTazania CDM| A Believes in #Katibampya | .....A great opponent concepts of poverty in TANZANIA

North Dakota, USA
Joined June 2020
Photo by FATHER BISMARCK (@FatherBismarck)Photo by FATHER BISMARCK (@FatherBismarck)Photo by FATHER BISMARCK (@FatherBismarck)Photo by FATHER BISMARCK (@FatherBismarck)Photo by FATHER BISMARCK (@FatherBismarck)Photo by FATHER BISMARCK (@FatherBismarck)Photo by FATHER BISMARCK (@FatherBismarck)Photo by FATHER BISMARCK (@FatherBismarck)Photo by FATHER BISMARCK (@FatherBismarck)Photo by FATHER BISMARCK (@FatherBismarck)
Sorry Sorry My brother Haitakuwa kwako
Mwaka jana kutekwa kwa kakaangu MDUDE nilipitia stress kama miezi mitatu. Huu mwaka kwa ndugu yangu TWAHA kunanitesa sana, sijui hii haki itaisha lini. Kwamba wapigania HAKI WOTE huu ndio mwisho wetu daah..! LEO MOYO WANGU UNAUMA SANA.
1
55
Aaaaaah ni kma walienda kumnyamazisha
Pumzika kwa amani Angle, moyo wangu umeumia sana kwenye hili 💔🕊
21
KUTOKA MAHAKAMA KUU YA DAR ES SALAAM Siku ilishaanza mapema sana hapa Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es salaam. Ukumbi ulishajaa tangu saa 12 asubuhi lakini humu ndani wamejazwa askari kanzu na vipenyo wa kutosha kwenye kila Benchi ili wanachama wetu wakose pa kukaa. Tofauti nan siku zote, leo jengo la Mahakama limesafishwa ni safi kuliko siku zote, na pale njee ya geti la Mahakama wanachama wengi wanaondolewa na kufukukuzwa toka saa moja asubuhi na kuambiwa ukumbi umekwisha kujaaa. Saa saa mbili na robo Mchungaji Msigwa na Mzee Hashim, Mwenyekiti wa Chama Kanda ya Unguja wamefanya maombi kwa niaba ya Dini zote. Benchi ambalo huwa wanakaa viongozi wakuu wa Chama yaani Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu na Wajumbe wa Kamati Kuu leo limekaliwa na maaskari lote. Sijui watakaa wapi na nia yao ni nini? Leo Wapo Mawakili kama 30 hivi humu ndani wa upande wa Mhe. Lissu. Wamekuja kuonesha solidarity na Wakili mwenzao yani Mhe. Tundu Lissu. Mawakili waliopo kwa haraka haraka ninaowaona pale ni-; 1. Dr. Nshala 2. Mpale Mpoki 3. Jebra Kambole 4. Paul Kisabo 5. Edson Kilatu 6. Peter Madeleka 7. Maduhu William 8. Gaston Garubindi 9. Doris Kafuku 10. Nashon Nkungu 11. Sisty Masawe 12. Emmanuel Chengula 13. Deogratias Mahinyila 14. Emmanuel Ukashu 15. Matojo Cossotta 16. Hekima Mwasipu 17. Ikoti Lissu Familia ya Mwenyekiti Lissu pia nao wamefika hapa Mahakamani, wakiongozwa na Dada ake lakini leo ni tofauti na siku zingine wako katika hali ya majonzi kwasababu ya msiba wa Mzee wetu Allute, nawaombea Mwenyezi Mungu awatie nguvu na awasaidie katika hili.🙏
1
429
Government Man make it. Fucking
📍 Bangkok, Thailand
27
Unafahamu majukumu yake kiutekelezaji?
53
Together my brother ❤️
“Nimepigania haki na demokrasia katika nchi hii kwa sehemu kubwa ya maisha yangu. Kuwa na nchi ya kidemokrasia, inayojali haki za watu wake, inayojali utu wa binadamu, imekuwa ni ideal ambayo nimeipigania kwa nchi yangu. Msimamo huo umenigharimu sana. Msimamo huo umeniletea madhila mengi sana. Msimamo huo, kwa siku zilizobaki za maisha yangu kama Mungu akinajalia, ni msimamo ambao nitaendelea kuupigania kwa siku zilizobaki za maisha yangu. Na kama ikibidi kufa, ni msimamo ambao nipo tayari kuufia.” — Tundu Antiphas Mughwai Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania, 28 September 2026
2
6
110
New York: sijaona boda boda, uchafu wala vurugu. Viongozi wa Tanzania, kabla ya kuchekelea miji ya wengine, tuangalie kwanza Dar es Salaam yetu. 😂
Huyu lazima tumpopoe sasa 🙄 mayai viza yamekosekana New York ati?
36
Hey @mosseri see what you have done!?@Meta bowing to an authoritarian regime and geo restricting my account?! This is NOT compliance but COMPLICITY and you received no real legal justification from the
‼️🚨TAARIFA MUHIMU‼️ Akaunti yangu ya Instagram na za Meta zimefinywa Tanzania! Sasa kama unatumia hii 1.1.1.1 ya Cloudflare elewa kuwa hii si VPN ya kweli maana IP yako inabaki ya Tanzania na akaunti yangu ni GEO RESTRICTED Sasa kuelekea #MO29 download VPN inayokutoa NJE ya Tanzania utaonekana uko Ulaya au Marekani au Sauzi 😅 Hata ukija tu hapa kwa jirani server 🇰🇪 utaiona akaunti yangu! VPN muhimu maana watakuja ku restrict social media zote TUJIANDAE Pia kila siku tuwaandikie bosi wa Instagram @mosseri na bodi ya Meta inayosimamia utendaji wa Meta @OversightBoard kuwaomba wafungulie akaunti ya Dada wa Taifa Mange Kimambi Tusichoke maana mapambano haya hadi tupate HAKI! 👊🏽🔥 Hey @mosseri see what you have done!?@Meta bowing to an authoritarian regime and geo restricting my account?! This is NOT compliance but COMPLICITY and you received no real legal justification from the illegitimate govt of Samia Suluhu - it is just that you were threatened that they will make Meta unavailable in Tz 🇹🇿 I thought your policy says Human Rights over profits! Kindly restore my account in Tanzania and restore the account of @mangekimambi Let the murderous regime counter with arguments dissenters and human rights activists and don’t be complicit in silencing us! Cc @OversightBoard
1
33
illegitimate govt of Samia Suluhu - it is just that you were threatened that they will make Meta unavailable in Tz 🇹🇿 I thought your policy says Human Rights over profits!
13
Our president Call him TUNDU LISSU
Tunapojiandaa kupumzika usiku huu tusisahau Tundu Lissu yupo Ukonga akiteseka jela - na angeweza hata kesho akatoka angeamua kufanya dili na hawa wauaji! Tumwombee sana Lissu ili Mungu aendelee kumpa moyo wa uvumilivu na ujasiri aendelee kutuonyesha njia 🙏🏽 #FreeTunduLissu
54
Nachukua fursa hii kuwashukuru na kuwaombea baraka with a special shoutout keyboard na microphone warriors wote mliokuwa mnahudhuria kesi ya Tundu Lissu kimyakimya kila siku ✊🏽 Mnatu represent vyema na Mungu awalinde! Maana mmeacha shughuli zenu kuwa hapo Mahakamani- come rain or shine! Na hamtambi wala hamna kitu mta gain zaidi ya thawabu! Ndo maana tunasema kuwa Tundu Lissu ni icon wa Taifa tutamlinda kwa wivu mkubwa #FreeTunduLissu
28
Hakuna wa kuja kutuokoa! Tujiandae kabisa kisaikolojia! Lissu hatupambanii bali anatuonyesha njia Sisi ndo tunatakiwa kumpambania na kujipambania Waovu hawaendi kumwachia labda akubali masharti yao Tundu Lissu is human - he needs our support! Nobody is coming to save us! #FreeTunduLissu
54
📌MLIOMBA TUNATEKELEZA 👊🏽 ‼️MAFUNZO YA KIDIJITALI KWA VIJANA‼️ Tunafuraha kukualika kushiriki mafunzo maalum yaliyoandaliwa kwa ajili ya vijana, yenye lengo la kuongeza uelewa, kujenga uwezo, na kuwapa vijana ujuzi wa kisasa unaohitajika katika mazingira ya sasa ya kijamii, kiteknolojia na kisiasa. Mafunzo haya yatafanyika mtandaoni, hivyo mshiriki anaweza kuhudhuria kupitia simu au kompyuta popote alipo. Mada Zitakazofundishwa 1. Uandishi wa Habari wa Kiraia (Citizen Journalism / Digital Journalism) 2. Elimu ya Katiba Mpya 3. Usalama Mtandaoni (Digital Security) — Kwa Kundi Maalum 4. Ujenzi wa Harakati (Movement Building) Wahi ujisajili sasa mapema nafasi ni chache Ingia hapa: forms.gle/QFAgSsozn8Zdzt3k7 Jaza fomu kabla ya September 24 Mafunzo yataanza September 28 #WenyeNchiWananchi
12
Yeye binafsi yuko upande wa wale wanaoomba na watakaoshangilia nikipatikana na hatia. Pia IGP na CDF ambao wako safarini hata wakirudi hawawezi kuwa mashaidi wangu kwani nao wanaombea nipatwe na hatia washangilie” @MariaSTsehai
3
14
30
945
Haya ni maneno ya DCI Kingai kwa mujibu wa Mwenyekiti Tundu Lissu. Kwamba atashangilia sana Mwenyekiti akipatwa na hatia. Kingai
34
Final submission ni hoja za mwisho za kisheria ambazo kila upande huwasilisha baada ya ushahidi wote kufungwa. Na kwa kesi ya jinai kama hii ya TAL, Jamhuri itajaribu kuonyesha kwamba imethibitisha kosa beyond reasonable doubt. @MariaSTsehai @HildaNewton21
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 433 Jaji Ndunguru anawasha kipaza sauti anasema tumesikia hoja za mshtakiwa na Mahakama inatamka kwamba shauri kwa upande wa utetezi limefikia mwisho. Mhe. Lissu: Waheshimiwa Majaji kwa vile sasa kesi ya pande zote mbili imefungwa tunaomba Mahakama itupangie siku ya kuja kuwasilisha hoja za mwisho. Sijawasiliana na upande wa mashtaka naomba nipendekeze tarehe yangu ya kuwasilisha hoja za mwisho. Waheshimiwa Majaji natambua kwamba shauri limepangwa kuisha tarehe 25 September 2026 na mwenendo wa kesi una kurasa zaidi ya 1000, itakuwa kazi kubwa sana lakini naomba mimi kuanzia Jumatano ya tarehe 23 Septemba 2026 nitakuwa tayari kwa ajili ya kufanya final submission. Jaji Ndunguru: Upande wa mashtaka mnasemaje? Katuga: Tunaungana na mshtakiwa ila hajasema tufanye kwa maandishi au kwa mdomo. Kwa tarehe aliyoipendekeza sisi tutajitoa Jumatano hiyo hiyo na sisi tutakuwa tayari kufanya final submission. Waheshimiwa majaji ingawa upande wa utetezi umefunga kesi ila tulikuwa na hamu sana ya kufanya cross kwa mashahidi wa Lissu waliokuwa wamebakia Watu wanacheka sana, wanamuona Katuga kama kituko😂😂😂😂 Jaji Ndunguru: Hiyo amri mbona mahakama bado haijaitoa? Tunakubaliana kuwa siku ya Jumatano shauri litakuja kwa ajili ya mawasilisho ya mwisho saa tatu kamili asbuhi Imepigwa High Coooouuuuurrrrtttttt Majaji wanatoka, Mhe. Lissu anaangana na Mawakili wake pamoja na Viongozi wa Chama pamoja na watu mbalimbali waliojitokeza Mahakamani. Naomba Repost yako.
1
2
5
212
Na defence itaonyesha mapungufu, contradictions, lack of mens rea, attribution au reasonable doubt kwenye prosecution case.
1
1
13
Prosecution must prove the case, and defence does not have to prove innocence.
Jaji Ndunguru ametamka wazi kwamba, baada ya Mahakama kusikiliza hoja za Lissu kuhusu mashahidi waliobaki, defence case imefikia mwisho. Hii maana yake ni kwamba evidentiary stage ya kesi imefungwa kwa pande zote mbili. Hakuna tena upande unaoendelea kupresent evidence unless Mahakama yenyewe, kwa sababu maalum ya kisheria iamue vinginevyo. Kesi imefungwa ni transition kutoka evidence stage kwenda final determination stage. Kuanzia Jumatano, nguvu haitakuwa tena kwenye mashahidi, ila itakuwa kwenye interpretation ya record, burden of proof, credibility, evidentiary weight na application ya sheria kwenye facts zilizothibitishwa Mahakamani. Prosecution must prove the case, and defence does not have to prove innocence.
1
3
91
Jumatano, nguvu haitakuwa kwenye mashahidi, itakuwa kwenye interpretation y record, burden of proof, credibility, evidentiary weight & application y sheria kwenye facts zilizothibitishwa Mahakamani. Prosecution must prove the case, and defence does not have to prove innocence.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 433 Jaji Ndunguru anawasha kipaza sauti anasema tumesikia hoja za mshtakiwa na Mahakama inatamka kwamba shauri kwa upande wa utetezi limefikia mwisho. Mhe. Lissu: Waheshimiwa Majaji kwa vile sasa kesi ya pande zote mbili imefungwa tunaomba Mahakama itupangie siku ya kuja kuwasilisha hoja za mwisho. Sijawasiliana na upande wa mashtaka naomba nipendekeze tarehe yangu ya kuwasilisha hoja za mwisho. Waheshimiwa Majaji natambua kwamba shauri limepangwa kuisha tarehe 25 September 2026 na mwenendo wa kesi una kurasa zaidi ya 1000, itakuwa kazi kubwa sana lakini naomba mimi kuanzia Jumatano ya tarehe 23 Septemba 2026 nitakuwa tayari kwa ajili ya kufanya final submission. Jaji Ndunguru: Upande wa mashtaka mnasemaje? Katuga: Tunaungana na mshtakiwa ila hajasema tufanye kwa maandishi au kwa mdomo. Kwa tarehe aliyoipendekeza sisi tutajitoa Jumatano hiyo hiyo na sisi tutakuwa tayari kufanya final submission. Waheshimiwa majaji ingawa upande wa utetezi umefunga kesi ila tulikuwa na hamu sana ya kufanya cross kwa mashahidi wa Lissu waliokuwa wamebakia Watu wanacheka sana, wanamuona Katuga kama kituko😂😂😂😂 Jaji Ndunguru: Hiyo amri mbona mahakama bado haijaitoa? Tunakubaliana kuwa siku ya Jumatano shauri litakuja kwa ajili ya mawasilisho ya mwisho saa tatu kamili asbuhi Imepigwa High Coooouuuuurrrrtttttt Majaji wanatoka, Mhe. Lissu anaangana na Mawakili wake pamoja na Viongozi wa Chama pamoja na watu mbalimbali waliojitokeza Mahakamani. Naomba Repost yako.
3
14
764
Katika Mazingira haya waheshimiwa majaji maana yake ni kwamba sina mashahidi zaidi kwahiyo naomba kufunga ushahidi kwa upande wa utetezi. Ni hayo tu waheshimiwa majaji.

17
298
Katika Mazingira haya waheshimiwa majaji maana yake ni kwamba sina mashahidi zaidi kwahiyo naomba kufunga ushahidi kwa upande wa utetezi. Ni hayo tu waheshimiwa majaji.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo September 18, 2026 Last time tuliishia part 431 so leo tunaendelea na -; Part 432. Mhe. Tundu Lissu ameingia Mahakamani watu wana vibe sana wanaimba Mwamba Mwamba huku wakipiga makofi mengi sana. Majaji wote watatu wameingia na kuketi kwenye viti vyao. Wakili wa Serikali Ajuaye amesimama na kutambulisha jopo lake na kuwa wako tayari kuendelea. Mhe. Lissu na yeye anasema niko tayari kuendelea. Mhe. Lissu amesimama na kusema kwamba nimekutana na Kamishna wa Polisi Ramadhani Kingai ambaye nilikuwa nimependekeza awe shahidi wangu wa leo, nimekutana nae Mahakamani kwenye chumba hiki hiki waheshimiwa majaji, naweza kuthibitisha kwamba ameheshimu wito wa Mahakama amekuja na nimezungumza nae kuhusu yeye kuwa shahidi wa upande wa utetezi na nimezungumza nae kiasi cha kutosha, baada ya kumueleza maeneo ambayo ningependa ayatolee ushahidi ameniambia kwamba yeye hawezi na hayuko tayari kutoa ushahidi kwa upande wangu kwa maneno yake mwenyewe amesema “Yeye yuko upande wa wale wanaoomba na watakaoshangilia nikipatikana na hatia” Kwahiyo amesema hayupo tayari kuja kutoa ushahidi kwa niaba yangu. Nimemuelewa Waheshimiwa Majaji kama hayuko tayari siwezi kumlazimisha kutoa ushahidi ambao hataki kuutoa. Waheshimiwa Majaji Kingai ameniambia kitu kingine kuhusiana na mashahidi wengine wawili IGP Camillius Wambura na CDF Jacob Mkunda, amesema vilevile hata wao watakaporejea nchini na kupata wito wa Mahakama msimamo wao utakuwa ni huo huo kwamba na wao hawatakuwa tayari kutoa ushahidi kwa upande wa utetezi kwasababu ile ile kuwa wako upande wa wale wanaoombea na watakaoshangilia nikipatikana na hatia. Katika Mazingira haya waheshimiwa majaji maana yake ni kwamba sina mashahidi zaidi kwahiyo naomba kufunga ushahidi kwa upande wa utetezi. Ni hayo tu waheshimiwa majaji. Naomba Repost yako.
1
2
7
176
“Kingai alikuja na hasira, amesema hajawai kuwa rafiki yangu yeye ni adui yangu….”-; @MariaSTsehai Mhe. Lissu. Kingai
“Kingai alikuja na hasira, amesema hajawai kuwa rafiki yangu yeye ni adui yangu….”-; Mhe. Lissu.
3
19
279