GAS FASTA (@FastaGas) header
GAS FASTA (@FastaGas) profile picture

Faster, Cheaper Gas Delivery Service. Ensuring every home in Tanzania has access to clean cooking gas. ~ Press Link Below 👇🏻 to order your cooking gas NOW!

Joined July 2021
Great news! We are preselected for the Startupper of the Year by Total Energies. We need your likes 1- Click the link on our BIO 2- Sign up to vote 3- Search for GAS FASTA 4- Click on Like to vote for Gas Fasta 5- Share the link 🔗 startupper.totalenergies.com… – at Dar es Salaam, Tanzania
1
2
2
7
467
Pata Oryx Gas popote ulipo kwa urahisi, uharaka na usalama kupitia Gas Fasta inayopatikana ndani ya M-Pesa App. #OryxEnergies #Oryx #OryxEnergiesTanzania #PoweredByAfrica @oryxenergytanzania – at Dar es Salaam, Tanzania
2
1
322
Pongezi kwa kutimiza miaka mitatu ya uongozi. Jitihada za Rais wetu Dkt. Samia Suluhu katika kuwafikishia Nishati safi ya kupikia kwa kila mtanzania imeleta tija kubwa. – at Dar es Salaam, Tanzania
1
158
Moja kati ya changamoto inayojitokeza sana wakati wa kupika ni gas kukatika kabla ya pishi kukamilika , watu wa jikoni wanalijua hili ! @gas_fasta wanakupa ahadi ya kusahau kilio cha aina hii kuanzia leo kwa sababu #GasNiFasta popote ulipo. #GasNiFasta – at Dar es Salaam, Tanzania
1
1
308
Zoezi la utiaji wa saini wa hati ya makubaliano ya ushirikiano kati yetu na @CloudsMediaLive Makubaliano haya yanahusisha ushirikiano katika kutangaza, kusambaza na kutoa elimu juu ya matumizi ya Nishati ya Gesi chini ya @FastaGas #NishatiSafi | #GasNiFasta
5
10
441
Shukrani zangu kwa Serikali na taasisi zote zinazohusika katika kufanikisha @FastaGas ushirikiano wetu na @CloudsMediaLive una lengo la kuchagiza lengo la Serikali mpaka kufikia 2030 Watanzania 80% wanatumia Gesi kwenye shuguli zao. ~ @albeiti91 #NishatiSafi  |  #GasNiFasta
2
7
11
578
@FastaGas haitachaji gharama za kufikishiwa Gesi mpaka mlangoni kwako, gharama itahusisha ule mtungi wa gesi au vifaa husika ulivyoagiza. Uharaka na urahisi ndio kitu pekee ambacho tuna uhakika kwenye huduma zetu. ~ @albeiti91 #NishatiSafi  |  #GasNiFasta
1
5
4
453
Njia nyingine kwa watu wasiotumia simu janja ambayo ni kupiga simu kwa kutumia namba 0768 882 222, huduma hii ni masaa 24 kwa Dar Es Salaam nzima. ~ @albeiti91 CC: @CloudsMediaLive #NishatiSafi  |  #GasNiFasta
5
4
479
Kuna njia nyingine ambayo wananchi wanaweza kuagiza kwa kutumia WhatsApp AI generation, kupitia namba maalumu ambayo ni 0768 882 222 na kuagiza #GasFasta. Njia hii inakupa machaguo kulingana na uhitaji wako. ~ @albeiti91 @CloudsMediaLive #NishatiSafi  |  #GasNiFasta
1
4
4
455
Kupitia teknolojia (application) ambayo mteja ataweza kuchagua aina, uzito na gharama anayoweza kulipia. Mteja anaweza kulipia kwa mfumo wa simu au kulipia kwa taslimu (cash). ~ @albeiti91 #NishatiSafi  |  #GasNiFasta
3
6
7
635