Brayans retweeted
“Be of good courage, And He shall strengthen your heart, All you who hope in the Lord.”
Psalms 31:24
Brayans retweeted
#Zaburi 63:1
"Nafsi yangu inakuonea kiu"
Unaweza kumfundisha mtu kuomba, lakini huwezi kumpa njaa ya kuomba.
Unaweza kumpeleka mtu kanisani, lakini huwezi kumlazimisha kumtamani Mungu.
Wenye njaa ya Mungu hata wakienda Ibadani hawarudi vile walivyoingia
Brayans retweeted
Ukijua kuna ushindi unaopatikana kwa kuamua kukaa kimya utaacha kushiriki kila vita.
Brayans retweeted
Baraka ya kwanza ni kuamka Salama,
Ahsante Jehovah kwa siku nyingine tena 🙏🏻.
Good morning to everybody.
Brayans retweeted
Waefeso 6:10
"Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake."
Brayans retweeted
“Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.
”
— Wafilipi 4:13 (Biblia Takatifu)
Brayans retweeted
Nguvu zako zinapaswa kuelekezwa kwenye kujenga maisha, kazi, biashara, familia na kutimiza malengo yako.
Brayans retweeted
Kama una uelewa wa kwamba MUNGU humletea RIZIKI kila binadamu kwa wakati wake, basi huwezi kumwonea WIVU na KUMCHUKIA mtu yoyote kwa mafanikio yake.
Brayans retweeted
Kuna vitu Mungu anakuchelewesha kuvipata kwa sababu anakutengeneza uwe tayari kuvipokea. ❤
Brayans retweeted
Before investing your money in something you don't understand, invest time in understanding it first. The promise of quick returns can be attractive, but financial ignorance can be very expensive.
















