Mr. handsome retweeted
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha, tarehe 21 Novemba, 2026, kwa ajili ya kuwatunuku Kamisheni,
Mr. handsome retweeted
Katiba Mpya hii hapa
Nchi itulie sasa wakuu, Chondechonde, kiongozi keshatoa tamko na commitment.
Mr. handsome retweeted
Yani nyie Maquma mmejipostisha humu kwa kujifanya mnasikitika kifo cha Mtoto Angel tena mkiongozwa na @HecheJohn na wanaharakati uchwara mmeshindwa hata kutokea msibani.
Huwa nawaambia humu mtandaoni tofauti kabisa na ground yani unakuta humu mijitu inaongea mpka mishipa inatoka
Mr. handsome retweeted
Asubuhi ya baraka leo nikiwa njiani kuelekea Shule ya Polisi Tanzania-Moshi, nimepata fursa ya kusalimiana na kuzungumza na wananchi wa Bomang’ombe, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro.
Mr. handsome retweeted
Hawa chadema @ChademaTZ2 mbona wanachangisha tena michango mingine bila kutuambia ile milioni 300 zimetumika wapi?
Wajinga ndio waliwao.
Mr. handsome retweeted
GEITA, TUNAIJIA! Kesho ni siku ya burudani, networking na vibe za vijana. Saa zinahesabika, maandalizi yamekamilika! CHIMBO LA VIJANA BRUNCH 2026, tunakutana Vitiwanja vya CCM, Katoro Geita. Usikose kuwa sehemu ya historia!
Mr. handsome retweeted
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipiga picha ‘selfie’ na wananchi wa Bomang’ombe, wilayani Hai mkoani Kilimanjaro baada ya kuwahutubia, tarehe 20 Novemba, 2026.
Mr. handsome retweeted
SI-NDOTO TENA!
Vaccines for livestock, progress for the herder, and now more factories to process our meat. Going from 3 to 7 plants shows a promise being kept. Thank you, Mama Samia, for delivering!
#SiNdotoTena #SamiaDelivery
Mr. handsome retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Bomang’ombe, Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro waliosimama barabarani kumlaki akiwa njiani kuelekea Shule ya Polisi Moshi kufungua
Mr. handsome retweeted
SI-NDOTO TENA!
From 3 factories to 7, our livestock sector is growing up. Herders now have more places to sell, and young people have more places to work. Congratulations, President Samia, on this bold progress!
#SiNdotoTena #SamiaDelivery
SI-NDOTO TENA! Clean, modern meat processing is now growing across Tanzania. From 3 plants to 7 means better quality, wider markets and better prices for herders. Congratulations, President Samia, on this great reform! #SiNdotoTena #SamiaDelivery.......
SI-NDOTO TENA! A herder’s hard work now meets a modern factory floor. Going from 3 to 7 meat plants lifts the whole livestock value chain and grows our economy. Thank you, Mama Samia, we are proud of you! #SiNdotoTena #SamiaDelivery
25
Mr. handsome retweeted
SI-NDOTO TENA! A herder’s hard work now meets a modern factory floor. Going from 3 to 7 meat plants lifts the whole livestock value chain and grows our economy. Thank you, Mama Samia, we are proud of you! #SiNdotoTena #SamiaDelivery
Mr. handsome retweeted
Busu la upendo kutoka kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa wana Arusha
Mama tunakuahidi tutaweka Arusha safi na kuoinda Amani ya nchi yetu





























