Sekretarieti ya Maadili (@Ethics1996) header
Sekretarieti ya Maadili (@Ethics1996) profile picture

Ofisi ya Rais, Sektretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imeanzishwa chini ya Ibara ya 132 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977.

Dodoma, Tanzania
Joined September 2023
“Baraza la Wafanyakazi ni kiunganishi kati ya wafanyakazi na mwajiri’’
1
39
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimiwatu, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Bi. Teddy Njau akielezea Muundo wa Taasisi kwa Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa ofisi hiyo lililofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi tarehe 17 Oktoba, 2025.
67
Ni mchezo wa kirafiki wa ndani dhidi ya wakongwe na vijana wapya ndani ya Taasisi, tukiwakaribisha kwenye Utumishi wa Umma.
26
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu , Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Bi. Teddy Njau akitoa neno la utangulizi kwa washiriki wa mafunzo ya awali kwa watumishi wapya wa ofisi hiyo. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa ofisi hiyo Dodoma tarehe 6 Oktoba, 2025.
52
Kamishna wa Maadili Mhe. Jaji (Stahiki) Sivangilwa Mwangesi akitoa hotuba kwa washiriki wa mafunzo ya awali kwa watumishi wapya wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa ofisi hiyo jijini Dodoma tarehe 6 Oktoba ,2025.
30
Kamishna wa Maadili ameiaga Timu ya Maadili inayokwenda kushiriki michezo ya SHIMIWI mkoani Mwanza. @SaidMtanda @mwanzars1
1
21
S/SGT. Mussa Ntimizi akichangia Mada kuhusu changamoto za kimaadili kwa wanafunzi na ufumbuzi wake Mdahalo uliofanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Arumeru tarehe 26 Agosti, 2025.
19
Bi. Florah Msilu ambaye ni mdau wa masuala ya maadili akichangia mada kuhusu Changamoto za kimaadili kwa Wanafunzi na ufumbuzi wake. Mdahalo huo ulifanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Arumeru tarehe 26 Agosti, 2025.
20
Bi. Salama Ally ambaye ni Mkuu wa Dawati la Jinsia Wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha akichangia Mada katika Mdahalo kuhusu changamoto za kimaadili kwa Wanafunzi na ufumbuzi wake. Mdahalo huo umefanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Arumeru tarehe 26 Agosti, 2025.
31
Bw. Gerald Mwaitebele Katibu Msaidizi , Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kanda ya Kaskazini akifungua Mdahalo kuhusu changamoto za kimaaadili kwa Wanafunzi na ufumbuzi wake. Mdahalo huo umefanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Arumeru tarehe 26 Agosti, 2025.
36
Wadau wakutana wilayani Arumeru mkoani Arusha kujadili changamoto za Maadili kwa wanafunzi. @Rc_arusha
12
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe. Dkt. Vicent Mashinji akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa klabu ya Maadili ambao ni wanafunzi wa Shule Msingi Dodoma Makulu wakati alipotembelea Banda la Sekretarieti ya Maadili katika Maonesho ya Nanenane jijini Dodoma tarehe 4 Agosti 2025
37
"Wananchi tusaidieni kuchagua viongozi waadilifu" Bw. Salvatory Kilasara, Katibu Msaidizi Idara ya Ukuzaji Maadili.
10
NANE NANE 2025 Picha za matukio mbali mbali Wananchi wakiendelea kupata elimu na huduma katika banda la Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwenye Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima (Nanenane) yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.
45
Katibu Msaidizi Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kanda ya Kati Dodoma Bi. Jasmin Awadhi akitoa elimu ya Maadili kwa Wananchi katika banda la ofisi hiyo kwenye Maonesho ya Sikukuu ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma tarehe 3 Agosti, 2025.
23
Karibu Banda la Sekretarieti ya Maadili katika Maonesho ya Nanenane mkoani Dodoma kuanzia tarehe 1 Agosti, 2025. @WizaraKilimo
13
Kamishna wa Maadili ameongea na BBC kuhusu Maadili nchini. @bbcswahili
6
Katibu Idara ya Ukuzaji Maadili Bw. Waziri Kipacha akiteta jambo na viongozi wa kimila kutoka mikoa ya kusini waliofanya ziara Maadili kwa lengo la kushirikiana katika kukuza Maadlili nchini. Viongozi hao wamekutana tarehe 10 Julai, 2025 jijini Dodoma katika Ofisi za Maadili.
18
Katibu Msaidizi Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kanda ya Kaskazini , Bw.Gerald Mwaitebele akitoa mada kuhusu Maadili kwa watumishi wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI) Mafunzo yalifanyika katika ukumbi wa TAWIRI Arusha tarehe 20 Juni, 2025.
1
74