U can never go wrong,doing the right thing...Thanks Y.E. Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia for picking the right person for the post which is so much demanding.
Rais maana yake ukuu wa mamlaka tatu.( Mkuu wa Nchi, kiongozi wa Serikali , Amiri Jeshi Mkuu)
mamlaka moja wapo pekee ndiyo inaweza kulinganishwa na mamlaka ya mihimili mingine...hatuhitaji kuwa wanasheria kuisoma na kuielewa Katiba yetu ya nchi.
Happy New year our Presindent @MagufuliJP and hoping for more success this year as you have said , u have our support with 100% commitment to work to achieve our National Goals.
Christmas is about spending time with family and friends, it's about creating happy memories that will last a life time.
Merry Christmas to you and your family, special greetings from Eng Kundo &Family to u all Tanzanians @uzalendowetu @DrengKndsnr @drgambol @ccm_tanzania
Hii nini maana yake?? Unabishana na mh Rais @MagufuliJP?? Hv uliwahi kufikiria u 're the hard working RC??? Nadhani wewe unaweza kuangukia kwenye category ya most controversial and most favoured RC. Kwenye kuchapa kazi tuachie Mtaka na Simiyu yetu bana.@MtakaAnthony
For every action in nature there is an equal and opposite reaction.. sheria ni msumeno,inakata kote kote..for the first time nafarijika kuona sheria inafanya kazi ipasavyo, Hongera Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Dr.John P.Magufuli @MagufuliJP .
Now am very proud 2 b Tanzanian
I love politics and politicians ... U don't predict when they will be ur friend likewise when they will become ur enemies...lol
2
I love this faces ...jeshi la police linatakiwa kuwa na sura kama hizi na intelligensia ndani yao...natumaini wasaidizi wao watafanya kama wanavoelekeza na kutenda haki kwa raia na jeshi kuwa sehemu ya jamii. I love this 3 mzuka
Huwa natofautiana na wewe kwenye mtazamo wa kisiasa na sijui kama tutakuja kuwa na mtazamo sawa ,ila kwa hili la leo nakubaliana na wewe 100% @YerickoNyerere_
Rais @MagufuliJP ni wa aina yake na haijawahi kutokea...wale mabwabwaja njoni na kelele zenu maana hata hoja hakuna ...ili tuwaone mna hoja hebu anzieni huko kwenye kujaza form za maadili ya viongozi hafu ndo tujue mnatosha kuwa na hoja zenye uzito...lacvyo kaeni huko mle ruzuku
youtu.be/G7V3eWCxtas
Hakuna hoja aliyojibu @LazaroNyalandu hapa zaidi ya kuhangaika kujitetea na kujustify maovu yake.@HKigwangalla endelea kuchapa kazi
You go public i come after u in public, u show maturity i show maturity...Hongera sana @HKigwangalla kwa kuonyesha heshima iliyopita kiwango kwa mh@kkagasheki.u 're true leader.
Does this mean simple or simplicity ??? Nataka kujua tu atawajibishwa kwa sheria ipi Huyu jamaa aliyewin nyumba za Lugumi until he declared hana pesa??#lifecontinues















