Emmanuel congo retweeted
Team Pixel, tujuane hapa! 📱 Kama unakubali experience unayoipata kwenye Google Pixel, acha Like ❤️ na Repost 🔄. Pia share ni kitu gani unakipenda zaidi kuhusu Pixel yako.
Emmanuel congo retweeted
Sema wanangu hii ni mbaya unakwenda kufanya biashara pahala alafu unaanza kuwachukua watu video wakiwa uchi bila lidhaa yao ifikewakati tukuwe unadhani video ikitrend na wenyewe wakaiona inakuwaje 🙌😔
Emmanuel congo retweeted
Rais Vladimir Putin wa Urusi aligundua kuwa beji ya Mmoja ya Mawaziri wa Tanzania ilikuwa imejipinda, na akairekebisha.
#KitengeUpdates
Emmanuel congo retweeted
Hamasa la watu waliolipiwa ndege na malazi kwenda Morocco kushangilia Serengeti boys 😂😂😂
Emmanuel congo retweeted
Wanawake wengi 👩 hawajui namna ya kuosha uke,wanadanganywa sana 😔 na wanaojiita makungwi 🗣️.Mwanamke,osha uke kwa staili hii kitaalamu 🩺✅
Msisahau kupima 🧪 H. pylori 🦠,dundumio 🫁, mafuta 🩸,sukari 🍬,brusela 🧫. Haya matatizo 😷 ni balaa jipya mjini ⚠️🚨
#doktamathew 🩺 #fyp 🎥 #highlights ✨ #viral 🚀🔥 #afya ❤️ #elimu 📚 #wanawake 👩🌸 #kinga 🛡️
Emmanuel congo retweeted
Dalili 8 zinazoonyesha bado
HUJAWA SERIOUS NA MAISHA hata kama una miaka 25 au umevuka 30 👇
Emmanuel congo retweeted
#UZI
💨 Picha za Mchana nani katisha? 👇
Jumla ni picha 28 zitaamua nani ni nani kwenye #BatoLaPicha
iPhone 14 Pixel 7




















